Mambo 4 yanayompa shetani umiliki katika maisha ya mtu na ulimwengu wake. PST ELISHA KINDAMBA

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 26 ส.ค. 2024
  • Shabaha kuu ya ulimwengu wa roho katika nuru na katika giza ni Mungu kuwa na uwezo wa umiliki maisha yako lakini wakati uwo uwo shetani nae anatafuta fursa ya kuamua nini kitokee kwenye maisha ya mtu.
    Mambo 4 yanayompa shetani umiliki katika maisha ya mtu na ulimwengu wake.
    1. Makosa, Dhambi na Uwovu.
    2. Urithi wa roho za kifamilia.
    3. Ushirikina na ujumbe wa shetani.
    4. Mamlaka na tawala za shetani.
    ‪@ecclesiamission_‬

ความคิดเห็น • 4

  • @christinamrope5690
    @christinamrope5690 หลายเดือนก่อน +1

    🙏

  • @UPENDOHOSSEAHOSSEA
    @UPENDOHOSSEAHOSSEA หลายเดือนก่อน +1

    Be blessed pastor am blessed with your teachings may GOD give you more returns with blessings