Ngumi bado ni mbwegze👊👊atunauwo underration‼️‼️‼️
Kueni wa true sheng ni art. Mnaeza bonga io tu sheng yenu yenye mnaitambua.. hate ni expensive appreciate your fellow ghetto youths..
The last guy speaks sense!!!
Huyo jamaa amevaa vest akifanya ngoma moja ya hiphop inaeza wai..akona sauti fit sana..next video..afanye free style na hiyo. Sheng..
Kalelewa Koch ka growia koch nikasome Korogocho primo but hiyo sheng zime come waa🤔🤔🤔much love💓💓💓
Kabisa ...tunatambua saunya
Shembeteng ndio lumbutugha siku himbitizi😁😭🇰🇪
Hahàa Ako kajamaa kagreen tishoo😅😅
mbokonye ni sheng ya zamani kijana
Uyo wa shomwi amebanja rial lakini bado mbogi ni genje⚡ na ngumi ni mbwegze👊👊
THUMBS UP..some of them songs niza kutupanisha Watoi.. VIDUNGI NA GWAI NA UTHEGI DIO ZAO..is that the kind of life they will want there children to live,sababu mavjana wanainga hizo fom za hizo ngoma zao mbenze na jamo..soon wi will hv young rambos in our streets or TUPAC OR B.I.G bullshit in nai..
Kujenj Kibich wacheni zenu,,,kila ghetto iko na sheng yake bana.
Achaneni nama dawoo😂🤣🤣🤣
Kali
We notnice mulisema hamutoi episode ingine bana
Ati mbokonye na warena nyi ndo mumezindua...mambwau nyinyi.....mbokonye na warena sheng za kimbota sana
Na hii bmbogi Ni wasafi😂😂
Sahunya Bado ni sakwekwe pia ama mraba
🔥🔥🔥
Mbokonye ni bike uku kayole ni sheng ya tene sana
Na stay lucky summer lakini nime grow Mathare north
Genje th-cam.com/users/shorts6FXy7b6wzz8?feature=share video fisa
Jua kali Alishaa Sema Sheng zi ukua all over so all those groups that are coming saying they introduced Sheng we are so sorry to guys, you are young guys you don't know wat you are talking about you know nothing Sai ndio mnafunguka macho Sheng was there in even during freedom fighters ndio traiters hawangejua wanaongea nini so nyamazeni
hao wanatambua sanse ss tunatambua police watiaji
hao wakapige ngasha
Sheng is originally Nakuru.i was a teen back then in 1987 .tukiwa makanga kwa nissan za shabab. Corrupting english and swahili ..
Alaaaa
Asap sare kayamba uzaskii mbudhe zaa mbogi Gêñjë ukuwa olipa sare izo.mbokonye kituuu ni peng mnareverse words mbogi Gêñjë uwa hai reverse words fikeni studio joo
Gotta city👊
Nauliza kama naeza join chocolate city niko na passion yaku act plix
Chocolate city
Dotty Dotty..... East and Central Africa.... Koch Ndio Kusema. Sheng za hao wengine ni Sexually intoxicating...... Morally degrading.... Dotty Chini kwa Chini za Choki ndio tulipenda.
Bomboo wewe ndo fala umeskia mandawuo n mafala respect lugha yako huyu mboiz wa yellow.... tii
Anaku yap yap wazing,😂😂 ingieni studio mtupigie izo sheng zenyu basi.... Sheng si ya mtu iyo ni lugha ya kila youth ni vile ina change ,, msare vako za ku diss art ya mse na ndo anatoa rent na shuksha kwa hiyo sheng mnalia ni yenu,,, na si ka ma youth hatufai kua tuna clout chase juu ya vitu ndogo ka lugha hizi tumeachia watoi wa kisagara wa runda,,, si ma ghetto youth tupige tu mboka safi daily ingia gwedhe yako ukishukru sir jah na itakua fiti🙏
This guys are comfusing themselves in every ghetto you Sheng ni tofauti Gikomba also wako na yao so nyinyi shindeni hapo kama ni music do music stop drama
Izi Sheng za Koch ziko chini bana niza 19 0-long. Tembea Wanyee 4W na 46 0ngwaro. Hizi za kupiga ndaki mosheki zilibalead na u-kuso. Sheng zilotumiwa 2015-16 ndio Hao vijana waumojing wanachant.
Wanatambua lagunya sisi tunatambua .... Masaunyaa 👊👊👊 hio nayo umewachant bandiii 😂😂😂😂
Hapa lazima ukuje na kitabu na kalamu 😁