Mkasi | S15E13 with Chege Extended Version

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น •

  • @fettylishaz2384
    @fettylishaz2384 8 ปีที่แล้ว +1

    Kipindi kizuri cn na nimeipenda anavyojibu chege HD raha safiiiii

  • @hennaali823
    @hennaali823 6 ปีที่แล้ว +1

    I like my EAST AFRICA MUSICIAN no matter what and AFRICA in general specially Swahili songs BIG UP Chege

  • @henrygaya613
    @henrygaya613 7 ปีที่แล้ว +1

    what Kenya and other artists love about this man Chege he thinks before you na huwezi kumshurutisha aseme asilotaka... big up Chigunda u are one of mature artist hv seen in this century

  • @starbwoy7356
    @starbwoy7356 8 ปีที่แล้ว +2

    Congrats Chege keep it up hawakuwezii kichwa cha bongo

  • @sahariakonai3274
    @sahariakonai3274 8 ปีที่แล้ว +4

    I wish cku moja mumdondoshe masanja mkandamizaji mkasini daah itanoga mbayaaaaa trust me.,

  • @furahamialano85
    @furahamialano85 5 ปีที่แล้ว

    Chege uko wapi kwa sasa tunakukumbali sana tana sana good

  • @gillymunisi5316
    @gillymunisi5316 8 ปีที่แล้ว +2

    CHEGE safi sanaaaaaa nimegundua unanidhamu sanaa

  • @nshimirimanaadidja2853
    @nshimirimanaadidja2853 8 ปีที่แล้ว +2

    Napenda sana Mkasi Tv

  • @honestbsn3044
    @honestbsn3044 8 ปีที่แล้ว +1

    salama mnajichanganya ustar una wazidii mnaletea poz wasanii haipendezi ..
    huwezi ukawa unamuhoji msaanii ingali hujui unacho uliza e.g kuhusu video then mnajibu amja onah shee badilikenii mnatazamwa na watu wanao fahamu about fame.. mnajisahau sana

  • @arabianlady6303
    @arabianlady6303 8 ปีที่แล้ว +1

    salaam napenda kazi hako saaaaana

  • @kefawales8187
    @kefawales8187 8 ปีที่แล้ว +1

    moja ya interview mbaya kabisa ni hii

    • @henrygaya613
      @henrygaya613 7 ปีที่แล้ว

      mbaya kivipi? or you dont understand the theme of the show?

  • @princebabel6821
    @princebabel6821 8 ปีที่แล้ว +1

    Napenda xna the way alivyokua anajibu Maswali, Penda xna Chege.

  • @oyay2821
    @oyay2821 8 ปีที่แล้ว +2

    chege ni very smart kwa kujibu maswali bila ya kuji kanganya

  • @TheBousaad
    @TheBousaad 8 ปีที่แล้ว +2

    salama naomba urudie interview na Mwana FA

  • @samweldaniel1564
    @samweldaniel1564 8 ปีที่แล้ว +1

    katika interview mbovu kabisa mlizo wahi kunya ni hii........

  • @giftmtenga7379
    @giftmtenga7379 8 ปีที่แล้ว +2

    Nice salama

  • @familylove5417
    @familylove5417 8 ปีที่แล้ว +4

    muba wee kaa kimya tu hta huwelewki wallah

  • @jokha.m.badaralesry4829
    @jokha.m.badaralesry4829 8 ปีที่แล้ว

    asant mm nilikua nasubiliakwaamu nimsikiliz chege namkubl san

  • @zuhuraali9983
    @zuhuraali9983 8 ปีที่แล้ว

    chenge nakukubali sana unajielewa wewe kama wewe muelewa siyo mtu wa skendo hadi wanaishiwa na maswali

  • @mwajumamapunda624
    @mwajumamapunda624 8 ปีที่แล้ว +2

    yan uyu chege ajielew kwel nimecheka maana swali juu ya swali yan akiulizwa swali na yy anaumuuliza mtangazaj swali

  • @abdyup-d5108
    @abdyup-d5108 8 ปีที่แล้ว +2

    marekani is a continent Tanzania ni nchi tena ndogo soo mnahitaji bara zima kwanza.Muba uza sura acha kuuliza maswali

  • @ahmedalminshad1211
    @ahmedalminshad1211 8 ปีที่แล้ว +1

    Hahaha Salama hii noma waaah

  • @jacksonmarejehe1336
    @jacksonmarejehe1336 8 ปีที่แล้ว +3

    swali lajibiwa kwa swali hahahahaha, jamaa mgumu kufunguka, Mubbah mpka anapanick 😅😅.....Iko poa sana by the way

  • @rukiahussein9737
    @rukiahussein9737 8 ปีที่แล้ว +2

    😂😂😂😂😂😂😂Nimekupenda bure chege 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅hukubali kabisaa kitu usichokuwa na uwakika

    • @halimams2127
      @halimams2127 5 ปีที่แล้ว

      San nimempenda hata mm

  • @DAMUSAFI
    @DAMUSAFI 8 ปีที่แล้ว

    Kama mnavyo warudisha watu kwenye kipindi kila mwaka huwaga tungependa kila mwaka mmrudishe ZIMBWELA jamaa he is very smart on his own way I do really like his thought it make you see far...

  • @rozzyvan2169
    @rozzyvan2169 8 ปีที่แล้ว +1

    muba anaboaaa!

  • @nshimirimanaadidja2853
    @nshimirimanaadidja2853 8 ปีที่แล้ว +1

    Da Salma Big Up

  • @esthernyokabikimiti8584
    @esthernyokabikimiti8584 8 ปีที่แล้ว +1

    chege what had you eaten😂😂😂 l felt like he's gonna punch somebody. love from 254

    • @alvinkhari3197
      @alvinkhari3197 3 ปีที่แล้ว

      You probably dont give a shit but does any of you know a way to get back into an instagram account??
      I was stupid forgot the password. I would appreciate any assistance you can give me.

    • @raidenkobe9623
      @raidenkobe9623 3 ปีที่แล้ว

      @Alvin Khari Instablaster =)

    • @alvinkhari3197
      @alvinkhari3197 3 ปีที่แล้ว

      @Raiden Kobe Thanks for your reply. I got to the site thru google and Im in the hacking process now.
      Looks like it's gonna take quite some time so I will reply here later when my account password hopefully is recovered.

    • @alvinkhari3197
      @alvinkhari3197 3 ปีที่แล้ว

      @Raiden Kobe it did the trick and I finally got access to my account again. I am so happy!
      Thank you so much, you saved my ass!

    • @raidenkobe9623
      @raidenkobe9623 3 ปีที่แล้ว

      @Alvin Khari No problem :)

  • @hssn2020
    @hssn2020 8 ปีที่แล้ว +1

    leo ndio mara ya kwanza mmemuweka star kikaangoni. Naona chege aliomba maji baada ya hiyo show.

  • @dramataizaplatnumz
    @dramataizaplatnumz 8 ปีที่แล้ว

    iko powa

  • @doneebahatimallya2040
    @doneebahatimallya2040 8 ปีที่แล้ว +1

    show safiii

  • @zulachama1067
    @zulachama1067 7 ปีที่แล้ว

    nice question salama to the point

  • @mnuquer
    @mnuquer 8 ปีที่แล้ว +1

    hardest interview ever.........sema mchizi yuko too personal...... he doesnt want to generalize issues!! and he dodges questions alot

  • @abdyup-d5108
    @abdyup-d5108 8 ปีที่แล้ว +1

    Tanzania mna lazima mpate soko la nje ni lazima bcoz watanzania population ya wapenda mziki ni ndogo saana.so msijifanye kujibu kinyume na hicho

  • @hillsgate386
    @hillsgate386 8 ปีที่แล้ว

    Salma jamani,Akothee tena? hapo hata Muba ameshangaa.
    I like your shows u guys big up.

  • @marciakassimkassim9275
    @marciakassimkassim9275 8 ปีที่แล้ว +1

    Chenge..unakaa kukali ukali

  • @yasserabubakar6167
    @yasserabubakar6167 8 ปีที่แล้ว

    sj ningeomba umlete juma nature coz kuna faida. tutapata ndani ya kipindi hicho

  • @dhuraykhapazi5506
    @dhuraykhapazi5506 8 ปีที่แล้ว

    ovyooo kama nchi iso jumbe alafu salama acha kumpamba eti anajua kizungu hajui chochote zamani nilikuwa namuona huyo jamaa mjanja kumbe ndo wale wale yaani hajui kama UK ni ulaya

  • @dacksondomician6905
    @dacksondomician6905 ปีที่แล้ว

    Chigunda nakukbal

  • @allystily7315
    @allystily7315 8 ปีที่แล้ว +2

    wakati kundi linavunjika nilikua form 2 ama 3... nakumbuka nilikua nakaa keko nafanya mazoezi pale taifa viwanja vya nje ambapo ndio kambi ya Tmk ilipokuepo. kiukweli necha aligombana na fella na kukawa na kundi kugawana na palitokeaga vurugu wakaita polisi baadhi ya wasanii wakakamatwa. nachokumbuka tulikaa na necha pale pembeni ya uwanja tunaofanyiaga mazoezi kipindi kile na kina Kr mulla necha aliongea sana na kubwa alizungumzia ugomvi wake na fela. hakuelewana na fela kipindi hicho fela alikua na gari flani sikumbuki sana nahisi ni escudo necha akasema ile gari amedhulumiwa na fela na mambo mengine mengi sikumbuki sana ila hakuwa na suala la mapenzi. Kiukweli nilikua ngumu kujua ntaenda upande gani maana necha alikua zaidi ya brother na inspiration kwa watoto wakitemeke kipindi kile.ilikua pigo sana sana kwa muda ule kundi kuvunjika binafsi naikumbuka sana ile time. nakumbuka T-shirt zangu za TMK yale maprova meusi daaah.....

  • @giftmtenga7379
    @giftmtenga7379 8 ปีที่แล้ว

    Nice salama