Sisi wenye tunamuonea kwa mtandao, hatupati full picture😂😂as in sielewi kabisaa i just see him taller than everyone, but sielewi tena, then first time kumuona alikua kwa maandamano na GENZS na alikua tu anatembea peke yake, sahii anarogaaaa😊😊😊adi nashangaa na MUNGU maneno yake ni ya ajabu, umegrow ukiwa mrefu, hakuna mtu anakutambua, then boom, your time has come my son 😊😊❤❤in God's voice🙏
For sure, that's how God is, imagine wakati wake umefika, kazi yake anaonga anavaa nguo anatoka bila kusweet anaingiza pesa,,, hata bila kufanya kazi, jamani Mungu ni wa ajabu
I love your seriousness ur humble u talk less tall handsome bradley ue time to shine with u trending ur not even showing off like some of the kenyan celebrities and some gospel singers wanapenda kiburi lakini wewe uko humble
When u are s celeb,u r enable to keep up with some things.imagine expected to smile to everybody every time even wen things are not okey.even wen sick...inachokesha anyway..
Wacha kuwa ndimu sana, learn some personal skills. Smile, wave, and just show some form of appreciation to those who adore you. These are the guys wenye watakutoa block hivi karibuni.
Wah! Hao madem wameonyesha skills ngori ngori iyo sector ya mutura! They are seasoned members, tumewacheki🧐😃... izo ni dakika ngapi mmekula izo mutura nonstop? hehehe... ni moto but zinapulizwa tu zipoe watu wakisonga😊... at some point, mmoja alianza kujipepeta ulimi, I thought ni pilipili imemzidi lakini akarudi tu tena, like a pro!😎 na mnajua hawazikuli na toothpick! aje sasa? izo tools huharibu taste ya mutura; lazima you attack na vidole na ukamate vizuri for that wholesome feeling, si mnatambua?🤌🏾🙂👍🏾... Alafu hii mutura ya thao kumbe ilikuwa starter! Because kuna time nimeskia "kichwa ama matumbo?" I was expecting kuskia "iko sawa" lakini kumbe pia mi sielewi! Matumbo won🤠💪🏾... watu wako ready for chapter 2!😋 Eh, na ni warembo kupindukia, apo nayo tuseme tu ukweli, I swear, Mungu moja!🙌🏾 lakini hii combo ya beauty na appetite pia inakaa fiti, eih!🫠... Ah, ebu acha nireport kwa mutura, naona masaa zimefika... na leo nakula roll mzima pekeyangu; the bar has been raised by the two seniors/mafundi👷🏾♀️🧑🏾🔧👌🏾🔥😃... nimefika, acha nilipe kwanza ndo nikule in peace, bila wasiwasi🙂↕️... baadaye baadaye wasee🤜🏾👋🏾
This dude is very humble, hakai vurugu,,,,,i like how he greets people so calmly
Kumbe huyu jamaa ni mutu wa kulkula na wenzake 👏👏
Sisi wenye tunamuonea kwa mtandao, hatupati full picture😂😂as in sielewi kabisaa i just see him taller than everyone, but sielewi tena, then first time kumuona alikua kwa maandamano na GENZS na alikua tu anatembea peke yake, sahii anarogaaaa😊😊😊adi nashangaa na MUNGU maneno yake ni ya ajabu, umegrow ukiwa mrefu, hakuna mtu anakutambua, then boom, your time has come my son 😊😊❤❤in God's voice🙏
For sure, that's how God is, imagine wakati wake umefika, kazi yake anaonga anavaa nguo anatoka bila kusweet anaingiza pesa,,, hata bila kufanya kazi, jamani Mungu ni wa ajabu
Whoever opened the channel for him is a true hero
hii ni kazi ya director trevor
@director Trevor mwenyewe
Sure?@@maunakeya7590
indeed
Director Trevor
Bradley the giant, a man of people.
You are very humble guy may God give you many years of life
He is a graceful figure, a peaceful soul ❤️🌟✨
Director Trevor
Good job 🥳🥳🥳
Jamaa Roho safi apewe Job
Mimi nilimuona tao pale Kenkom akipita na mbogi. But alikuwa shy sana. He just smiled at me. He is very humble.
You're going far Bradley
This tym round am the 1st to enter Goliaths account the 1st😂😂😂😂
I love your seriousness ur humble u talk less tall handsome bradley ue time to shine with u trending ur not even showing off like some of the kenyan celebrities and some gospel singers wanapenda kiburi lakini wewe uko humble
Ungependa kuwa hivo
God's time is always the best
Goliath bana smile kidogo😅😅 unaniangusha
Uzuri wa Goliath Ni mhumble kimpango😮
True even he was Manga in Kangemi he his a gud person
Ukumbuke pia kuna kagoliath ka bungoma kanachoma sana nakamulika2😂😂😂
This young man is very hamble, God will uplift him to his glory ❤
Huyo boyz ako hapo kando ameweka mkono agotewe akaona anachoka akaenda.Good thing he is humble.
He is very polite and humble
Go go Bradley ❤
Mbona na smile😂😂
Big blessing to trevor❤❤❤❤ bro shikilia huyu boy
I love how humble this guy is ... good job bro❤❤❤
Noma sana
Humility is key... Long live Gen Z Goliath
Wakenya si mnaangalia sana🤣🤣🤣
acheni kujifanya hamjaona hao warembo wanararua mutura na bado wanataka matumbo
😂😂
Ni team yake
Hakuna Kitu tamu kama mutura na tumara😂😂
@@nashryans7727
Nikila naharisha 😂
Jitengeze kijana hii ni zari la mentally limekuangukia don wast money. Focus may God open more door for you 🙏🏽
Watu warefu Hua as such Ni most their nature God grant humbleness,tufupi ndio subua pilipili😅😅
His very handsome ❤❤❤Trevor hehe chunga elbow isiku wai😂😂
With treavour you are going to shine
enyewe wanawake ni gharama. wanakula kuliko bradely
New subscriber, Goliath ufike Mombasa 😂😂
Kabisa!
Ati hamjaona kuna jamaa amelengwa kugotewa hapo😂😂😂😂😂
Kwani hao madame hawashibi😂😂😂😂
It's your time bro go go go much love from central ❤❤
Bradley mrefu wetu wa ungem.
🎬🎙️🎸📡📺🇰🇪🇺🇲✈️📻👍ras edu ni mwana mziki kutoka western Kenya brandly ni rafiki yangu 🎬🎙️🎸📡📺🇰🇪🇺🇲✈️📻👍
Bradley nimekutafta stage sikuoni bana
Good job, Trevor❤
Bradley keep it right na usikubali kukutana na ule jamaa wa bungoma anataka kutap your blessings wakikuyu na huyo kuro wa kibera
True
Wakikuyu tena wameduu nini sema wambui sio wote
Acha ujinga.
Am a kiuyuk hii tabia ya kutanja our community with wrong motive should be sued
@@user-mag-spears.2024 in kikuyu court and i dont know kikuyu
Noma saana
gotea morio apo nyuma mkono imechoka
😀
God's grace walaiii
That dude in black cap after taking a photo he's asking money from people who are taking photos hii kenya iko na mambo
Ati Trevor Ako biz Sasa 😂😂😂
😂😂😂😂😂
Man of people
Uyo buda lightskin kando ya Bradely haoni analemgwa 😂😂Thooo!
Hongera kwa directeur travour 🎉🎉
😂enjoy na step brother Isaac anakutqfuta juu sahii umekuwa bro wake😂😂😂
juzi ilikua Stephen bhingi 😂😂😂alitrend mpaka parliament 😂😂😂😂sai ni goliath 😂😂😂😂manager anamanage urefu ama nn sasa😂😂😂aki waluhya
ati Mpatie NYororo Moja
Me I would love one day to meet this guy one on one....kama Hawa ni watu wafupi hivi...what about me na hii ufupi yangu Ngai??
Kwani haongeagi😅😅😅
Trevor is such a great guy..
Msijifanye hamuoni uyo jamaa amelengwa na Bradley mara kaa mbili akijaribu kumgotea😅😅😅
Tupitiane🎉
Nipitie nikupitie
@@MaximillanMatuli mm nilikupitia jana
huyo dame anawashwa bana
Kuja utembee uku kwetu manze tukuome you are very tall
Huyu atakula nyororo moja 😂😂😂
Hio mtura inafika kwa tumbo kesho 😂😀
msito 🤜
Wale watu Wa "nipige kama we Ni mwanaume" siwaakii😊
I was there 😂
Most famous man on earth.😮😮😮
😂😂😂😂on earth tena
happy for a brother
Huyu jamaa anachekanga kweli ama
New chokora in town 😮😮😮😮
Msanii 😂😂😂😂kwisha mimi.
Smile when greeted by fans
When u are s celeb,u r enable to keep up with some things.imagine expected to smile to everybody every time even wen things are not okey.even wen sick...inachokesha anyway..
He is just being him, atajifunza mos mos, bora ako humble is enough for now
Warembo wakukula mtura😂😂
😂😂hao madem wanakula sana kuliko goliath
Huyu ndo New age Og 😂
Akuna mtu anaongelea ule mse ameleta gota akalengwa🤣🤣🤣
Hakumuona
Brand hauwachi simu itulie baaane😂😂
Hii youtube by end month ialtakia ina earn 2M per month
Mtura roysambu,we unakula wale watu walidisapper maandamano😂😂
Trevor akona na yeye hapo
Kwa viatu azijapatikana bd na km ako nayo n again bc ana sprit y kuomoka
Msani ama comediya
Mnipitieni pia Mimi nitawapia tafathali
Huyu ndiye Goliath tunatambua yule mwingine ni Nebuchadnezzar 😅
Avae jezi ya Victor Wembanyama, hii ya Kobe bryant si yake😂😂😂😂
Brandley anafaa kusimama president ndio akitembea aonange shida zetu tukiwa chini🤨🤨🙂
😂😂😂
BRADLEY MAY GOD TAKE YOU FAR AND FULFILL YOUR HEART DESIRES 🙏🙏🙏
Aki nikifika Kenya natamani kufika roysambu nikitambo pana
karibu mama😁
awachiwe mutura yote huyo 😅😅
hUYO MADHA HAPO 12:30 AKO NA ZA OVYO😂
I like the fact that his fame has not gotten to him
MZEE MZIMA GOLIATH HAKUSKIA PAHALI HIYO MTURAA IMEENDA
Huyu kunywa maziwa fresh kabla ifike kwa tumbo inakuwa maziwa mala😂😂😂😂
Badilisha sura iwe ya furaha bana
Gen Z Goliath. Sasa tungoje Gen Z David au sio?
Travor ni celeb youtube
GOLIATH ALAFU KUNA YULE MWENZAKO ISAAC MWAMBIE AACHE KIHEREHERE 😂😂😂😂
Wacha kuwa ndimu sana, learn some personal skills. Smile, wave, and just show some form of appreciation to those who adore you. These are the guys wenye watakutoa block hivi karibuni.
I just like how you are trending without too much hustle plz make good use of the opportunity for better
Wah! Hao madem wameonyesha skills ngori ngori iyo sector ya mutura! They are seasoned members, tumewacheki🧐😃... izo ni dakika ngapi mmekula izo mutura nonstop? hehehe... ni moto but zinapulizwa tu zipoe watu wakisonga😊...
at some point, mmoja alianza kujipepeta ulimi, I thought ni pilipili imemzidi lakini akarudi tu tena, like a pro!😎
na mnajua hawazikuli na toothpick! aje sasa? izo tools huharibu taste ya mutura; lazima you attack na vidole na ukamate vizuri for that wholesome feeling, si mnatambua?🤌🏾🙂👍🏾...
Alafu hii mutura ya thao kumbe ilikuwa starter! Because kuna time nimeskia "kichwa ama matumbo?" I was expecting kuskia "iko sawa" lakini kumbe pia mi sielewi! Matumbo won🤠💪🏾... watu wako ready for chapter 2!😋
Eh, na ni warembo kupindukia, apo nayo tuseme tu ukweli, I swear, Mungu moja!🙌🏾
lakini hii combo ya beauty na appetite pia inakaa fiti, eih!🫠...
Ah, ebu acha nireport kwa mutura, naona masaa zimefika... na leo nakula roll mzima pekeyangu; the bar has been raised by the two seniors/mafundi👷🏾♀️🧑🏾🔧👌🏾🔥😃...
nimefika, acha nilipe kwanza ndo nikule in peace, bila wasiwasi🙂↕️... baadaye baadaye wasee🤜🏾👋🏾
Be blessed beyond repair for the love and support of Our Goliath Tall Gen-Z Bradley Marongo
Balakhususuna wame mwirobi siene ta
NEPHILIM OR ANNUNAKI. Where did he come from if he got an ID and birth certificate this year