Huyu kila siku anasema simba na kocha hawajui.Lakini Simba ndo ina magoli mengi,clean sheet nyingi na point nyingi.Sijui anataka wacheze vipi? Nafikiri apewe ukocha yeye.Mpuuzi kweli.
Nakubaliana nawe upete kocha Fadlu sub zake hazijadiliwi sana kwa vile TU timu inapata matokeo lkn aaaah tumwachie yeye na wale wanaodhani kutoa mtizamao wako ni kumwingilia.mfano Jana Ahoua na mkwala walistahili kutoka dk 30 au zaidi lkn mpaka Ahoua kwa busara kajivunja,wakati nje Kuna Chasambi,Awesu,Ateba mavambo samahani kwa nitaowakera
Upete nkukubari sana kwauchambuz napenda kukufatiria sana
Why ufikiri na wakati game umeitazama inakuaje ❤❤❤❤
Ubaya ubwela kama wote tmekubali
Upete mbona km unaumia hivi.
Huyu kila siku anasema simba na kocha hawajui.Lakini Simba ndo ina magoli mengi,clean sheet nyingi na point nyingi.Sijui anataka wacheze vipi?
Nafikiri apewe ukocha yeye.Mpuuzi kweli.
Upete we ni yanga usipindishe SBC ndo walikamia sana
Nakubaliana nawe upete kocha Fadlu sub zake hazijadiliwi sana kwa vile TU timu inapata matokeo lkn aaaah tumwachie yeye na wale wanaodhani kutoa mtizamao wako ni kumwingilia.mfano Jana Ahoua na mkwala walistahili kutoka dk 30 au zaidi lkn mpaka Ahoua kwa busara kajivunja,wakati nje Kuna Chasambi,Awesu,Ateba mavambo samahani kwa nitaowakera
Wewe unajua kuliko kocha.Hongera.