Lilikuwa kanisa la Mungu. baada ya kumwacha Mungu wa kweli na kumuingiza mungu mgeni wa utatu mtakatifu kanisani, Bwana amewaacha sasa limekuwa pango la wanyang'anyi. Hata wewe semba tunajua wewe ni padri. Unang'ata na kupuliza.
@@Pr.Anania76 siri ziko kwenye maandiko. Vitabu vya nabii vimetupiliwa mbali mmebaki kusoma vitabu vyao tu. Nenda ABC uliza vitabu vya nabii kama utapata. Ila lesoni haukosi. Tafuta kwenye biblia kama utapata utatu mtakatifu. Nyie watumainieni tu hao wanathiolojia. Amkeni
Haihita theologian bible iko wazi kuliezea hilo ni sawa mme na mke kuwa kitu kimoja na Kwa taarifa ni kwamba Roho mtakatifu ndiye anayetukumbusha dhambi na kutuombea Kwa namna isiyoelezwa Kwa lugha ya kibidamu
Amen
Barikiwa
Amen huu ujumbe naomba ufundishwe makanisani ili watu wapate kuelewa
Kabisa
Amina
Barikiwa
Mungu akubariki sana
Amina
Naomba namba za huo Mchungaji Paul semba
Pr Semba
[Mobile] 0621 154 690
[Mobile] 0621154690
😢😢
Lilikuwa kanisa la Mungu. baada ya kumwacha Mungu wa kweli na kumuingiza mungu mgeni wa utatu mtakatifu kanisani, Bwana amewaacha sasa limekuwa pango la wanyang'anyi. Hata wewe semba tunajua wewe ni padri. Unang'ata na kupuliza.
Leta ushahidi
@@Pr.Anania76 siri ziko kwenye maandiko. Vitabu vya nabii vimetupiliwa mbali mmebaki kusoma vitabu vyao tu. Nenda ABC uliza vitabu vya nabii kama utapata. Ila lesoni haukosi. Tafuta kwenye biblia kama utapata utatu mtakatifu. Nyie watumainieni tu hao wanathiolojia. Amkeni
Ikiwa Mungu si mmoja katika nasfsi 3 nini maana ya Roho mtakatifu , nini maana ya Mwana / Neno?