Kwa mantiki iliyo kwenye maelezo ya barua hiyo tena iliyo andikwa na wanasheria inamaanisha kunautafiti umefanyika na umeonyesha biashara imedolola kwa sababu moja ambayo ni maneno ya Ally kamwe.Au hoja yao inasimama wapi?
kuiponda jezya simba ni sawa ipo ,niutani,,,kuiponda sandaland si sawa kwasabab sandaland sio simba..ni kampuni ya biashara ambapo simba ni kam mteja..mimi na wewe ni watani nikiiponda nguo uloivaa ni sawa tu ,,ila nikiliponda duka ulonunua nguo yko si sawa kwasabab cna utan na mwenye duka,,,ni kam naaribu biashara yake maana ana wateja wengne sio wewe tu. kwahiyo Ally kamwe haja chunga miiko ya kazi yake ...
Ww huna akiri kwaio unaona ariorifanya ni sahihi yy anatafuta ugali na mwenzie anatafuta ugali sio kuingilia biashara ya mwenzie kma kuwa msemaji adili na timu pizani sio kutaka njee ya kazi ambayo haimuhusu
Watanzania tujifunze kuheshimu biashara za watu, haya mambo ya brand kisheria yananguvu, fuatilieni maswala ya kina 50 cent, P. Didy na baadhi ya makampuni makubwa duniani. Ni issue za brands na campanies na watu wakikutia kwenye kona utakojoa dagaa.
Hayo unayajua wewe yng na simba ni watani wa jadi mboa ahmed Ali kaziponda sana jezi za yng aseme tu ametoa jezi mbaya haziuziki ndio mana anaanza kutapatapa sisi yng mzingo umesha kata kitambo sana halipwi hata mia mbovu na msamaha hatuombi😂😂😂
Ndo maana unaona huyo Sunderland(taasisi) inamshitaki ally kamwe(mtu binafsi) na sio yanga. Hilo ni swala la kisheria liko technical na sio utani wa hadi. Elewa msingi wa hayo madai Ally akutumwa na yanga kuongea Vile Bali na yeye aliongea kiutani tu. Sasa unapoambiwa taasisi kama yanga, simba na hao Sunderland wanakuwa na wanasheria wao, majukumu Yao ni kulinda maslai mapana na hadhi ya taasisi. Ukizingua unashughulikiwa. Hapo ni issue ya ally inabidi amtafute wanasheria na sio yanga itatoa wanasheria. Wasemaji wetu wote hufanya hayo makosa kimihemko inabidi wabadilike sio ally peke yake.
Icho kijamaa Ally kamwe kinaropokaga tu sijui hakifikirii anacho ongea, mwenzie Ahmed Ally mbona haropoki sijui mtengezaji wajez za YANGA ni mbovu haongeagi kabisa, ila hiki Ally kamwe roporopo mkakifunge tu hilo kijamaa
kuiponda jezya simba ni sawa ipo ,niutani,,,kuiponda sandaland si sawa kwasabab sandaland sio simba..ni kampuni ya biashara ambapo simba ni kam mteja..mimi na wewe ni watani nikiiponda nguo uloivaa ni sawa tu ,,ila nikiliponda duka ulonunua nguo yko si sawa kwasabab cna utan na mwenye duka,,,ni kam naaribu biashara yake maana ana wateja wengne sio wewe tu. kwahiyo Ally kamwe haja chunga miiko ya kazi yake .
Ally Kamwe kakosea . Hakushtakiwa kwa kuponda ubaya wa jersey , tatzo kaongelea issue ya CLIENT na MZABUNI . hilo ni kosa kisheria . Usifikiri jamaa kufungua kesi ni mjinga .
Kuna mda hawa wasemaji ni muhimu wawe makini maana watu wanaweka pesa kwenye bishashara na kupitiaaa iyo bishara watu wanalipa kodi na tbs imekaguaa na jamaa amessjiliwa Kufanya bisharaaa na TRA na Analipa kodi apunguze kuingilia bishara za watu ni mbayaa sanaaaa
Mijezi mibaya imedoda mnasingizia sababu Ali kamwe hakun cha ubaya ubwela wala nini atoe jezi mzur mbona Za Yanga zinapondwaga mar vitenge vya kigoma lakini ulisikia kashtakiw mtu maan biashara inaenda ni maneno ya wapinzani tu Ila ni jezi mzur nyie sasa mmmh masanda tu
Inawezekana ameponda ila ameepuka mitego ya kisheria..mfano akisema Jezi za nyuma mwiko fc au utomax ni mbaya...yupo salama maana hatuna timu inaitwa nyuma mwiko au utomax...ila akisema jezi za Yanga sc ni mbovu..hapo ajiandae..waangalie wasemaji wanpoongea..wapo makini..hawatumii majina halisi wanapoponda wenzao.
Aende akatengeneze jezi za kmc, pamba,prison nk Wala hatasikia hayo maneno lakini Simba na Yanga ni laxima tu hata km jezi zitakuwa mzuri watakosoa tu pumbavu zake
Anaesema huu ni mpila,,alishawahi kuskia Ahmed all anasema biza za GSM hazina ubola au ndo mladi umejua kusoma na elim yako ya memkwa basi unaandika tu mladi maandishi yanaonekana
Alikamwe anapaswa kuitania simba siyo kumfata mtu kwenye kaz yake yaan Ahmed ayatanie maj ya Gms ajifichie kwenye kichaka cha utan wa simba au magodoro ya watu kamwe utan hajui mwenye kumbukumbu atakumbuka badala ya kutania simba akamtaga mgunda kuwa ni Andaz sijui sasa utani wakumlenga mtu yeye aitanie simba tu hakuna atakae zingua
😂😂😂...tumeshamjua mwenye njaa tayari...wewe bando lako la kuunga...hujalipa kodi ya nyumba...unamtetea Ally kamwe?? Wacha afunzwe adabu kama ilivyokuwa kwa manara😂😂
@@rockygappi1018Adabu ipi kwa kusema jezi mbaya mbona huyo wa kwenu alisema jezi za Yanga kama vitenge vya kigoma nani alihangaika nae na ziliuzika balaa hizo za kwenu kweli ni mbaya zingekuw mzur msingejali maneno
Kuna watu wanaongea sana hizi kampuni ni brand za watu na zina sheria, Ali kamwe hajaisema simba hapo kaichafua kampun yake ziwe jezi mbaya au nzr usichafue kampn brand ya mtu ndio haya sasa
@@OfficialjustjOfficialjustjWala habari hana mijezi mibaya haiuziki asingiziwe Ali kamwe haa mwacheni toeni jezi bora zitauzika hata watu waziponde kama ni Bora Bora tu.
Mwanaume mwenzio anapambania brand yake iwe salama na ikue afu ww ambaye huna hata brand brela hawakujui unataka sema nn haswa Acha hisia kwenye biashara
@@AnnaJayden-k4mkama nyie ndiyo maan tunawafunga kutania mtanie nyinyi mkitaniwa mnakimbilia kushtaki nyie s mnasema jezi zetu ni vitenge vya kigoma tunapotezea maan tunajua ni utani nyie sasa au ni kweli mbaya
Kwa lipi mijezi mibaya wasimsingizie Ali kamwe haiuziki maan haina ubora mbona za Yanga mnaziponda mara vitenge vya kigoma hat huyo msemaji wenu namba moja lakini haka zinauzika balaa
Mmh comment nyingi zimejaa chuki. Wasemaji wote wakubwa ni waropokaji inategemea tu kaongelea wapi na kasi yake ya kutrend mitandaoni. Hakuna msemaji mkamilifu wote wanakosea. Sanda anajidharirisha tu, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
@@OfficialjustjOfficialjustj hakuna asiye penda kutaniwa club yake ila huwez tania magodoro ya GSM ukilala yana bonyea mbele ya maik au maji GSM ma baya yana chumvii sasa hapo yanga anahusikaje hama mipaka kamwe
Iwe utani iwe kwl ally kamwe huyo sahihi na mijezi mibaya sana...na imedoda ss jezi mbaya zitaacha kudoda...mbn ngoi watu wanasemaga jezi sio nzuri ila yeye anaiza kila kukicha....wewe sanda toa vidabwada vyako ww...hauna jezi hapo.
Huelewi maana ya utani wa jadi pole sana simba na yanga vijembe kawaida so hata Hamed ally huwa anatusi jezi za yanga ushaona ameshtakiwa? Kuwa muelewa utani wa jadi hio ndo maana yake bro huo ni mtaji uliodemand ushafeli.
Mlipishe tu kwasab kinaropokaga sana ile skuile kinasem et viti vya Azam complex vinawabana mashabiki hawakai kwa raha, Mlipishe tu na utajiri WA huyo GSM wake atamlipia lazima aingie hasara akilipa Billion 3
Hiyo ni biashara yake unahis akiachwa na kashachafua brand ya Sanda, biashara zake zikiaharibika kwasab ya hayo maneno ya huyo Ally kamwe utamlipa ww pesa?? Au, hiyo ni fundisho kwake mala Mia angeongea mshabiki ila sio yeye msemaji mzima anaongea upuuzi
Amsamehe tu ila ampe onyo aya mambo enyewe huwa ya utan lakin kwenye biashara ya mtu mbaya .amakweli ubaya ubwela haiachi mtu salama billion tatu nyingi ickie tu
Ivi kweli uyo mtu ana akili kweli ao hazitumiki wakati Ahmedy ally alivyo Iponda jezi yayanga alijisikiya aje kwani utani kwenye mpira sokawaida ao hana mtaji anahitaji mtaji kutoka kwa msemaji wetu ally kamwe uyo baba ajichunguze nomwehu kabisa
Sanda land ni kampuni maskin sana ndo maana wanatoa jezi mbovu kuto kununuliwa ni kwa sababu Kuna washabili wanajua vitu Bora so asitafte jinsi ya kuludisha hasara na hawezi pata chocchote kwa aAlly Kamwe Zaid ya kujidhalilisha au kachuja anatafta trend kwa watu maarufu kama Ally Kamwe watu wanazikwa na sanda ila sii mtu mzima avae Sanda so kilicho wangusha ni nembo sio Ally Kamwe
😂😂 ...wewe ni mropokaji asiyejua lolote...hapo Ally alipaswa kusema jezi mbaya na sio kutoa taarifa za uzushi kuwa uongozi wa simba umemsusia hilo ndio kosa na subiri uone kama yataisha kiurahisi
Ndipo na ninyi mtailipa selikari, sababa ninyi ni waongo mnaibia serikali, Blera imesajiri kampuni inayoitwa Sandaland na sio Sanda, kuweni makini na hilo
Utani wetu ndo mpira wetu umejikubalisha kuingia kwenye mpira wetu ujikubalishe kuingia kwenye UTANI wetu. Nb: bodi ya ligi watu wadizaini hii wataharibu mpira wetu
nnjaa unayp ww ila jamaa hana njaa ila ameamua kumkomesha asimharibie biashara zke kuwa muelewa wtu wanawekeza hela nyingi na uyo Kamwe anapesa za kumlipa jamaa si njaa tupu pale Yanga hela za kuwalipa wachezaji waliowaacha hdi leo hawajazilipa
@@JechaMakameIssa-gs2blkumkomesha wapi biashara imedoda mbona msemaji wenu anazipondaga sana jezi za Yanga mara vitenge vya kigoma nani anaangaika nae na wala hazidodi hizo zenu kweli mbaya kama mzuri mbona hamnunui anamsingizia sababu Ali kamwe
Alikamwe ni mropokaji mnooooo na hana sifa ya kuwa msemaji wa team kaendekeza maneno machafu mnoooo uswali umemzidia mshikaji acha ya mkute Afunishwe namna ya kuwa msemaji
Huyo ata 40M cash cjui km anayo. Sasa unamdai 3B!!! Hamuoni wachezaji wanaendesha crown gari zisizofika ata 50M, hana uwezo huo acheni madai yasiyo na uhalisia.
Watu wanatengeneza brand na majina kwa Ghalama alafu wengine wanazishusha kimzaha mzaha 😊 Namtafuta Debra Fernandez Mavambo kwa alivyotukanwa kisa jina twaweza pata donge nono😂
Kwa mantiki iliyo kwenye maelezo ya barua hiyo tena iliyo andikwa na wanasheria inamaanisha kunautafiti umefanyika na umeonyesha biashara imedolola kwa sababu moja ambayo ni maneno ya Ally kamwe.Au hoja yao inasimama wapi?
Kwa tunao elewa ameona jezi azija uzika na mtaji umekata ndio anaona amuonee aly.kamwe amlipe 😂 mbona za yanga mnazipondea na hamna makasiriko
😂😂Kabisa atalipa kamwe hizo Hela ila wakati mwingine atakuwa amekoma.
@@Yuleyule-u6ckupondwa lazimwa zipondwe kwani uongo mbaya haziuziki
kuiponda jezya simba ni sawa ipo ,niutani,,,kuiponda sandaland si sawa kwasabab sandaland sio simba..ni kampuni ya biashara ambapo simba ni kam mteja..mimi na wewe ni watani nikiiponda nguo uloivaa ni sawa tu ,,ila nikiliponda duka ulonunua nguo yko si sawa kwasabab cna utan na mwenye duka,,,ni kam naaribu biashara yake maana ana wateja wengne sio wewe tu. kwahiyo Ally kamwe haja chunga miiko ya kazi yake ...
😂😂😂😂😂kiukwel mnachekesh
Mnataka mtaji ili mchapishe jez nzuri
Fara uee😂😂
🤣Ndo UBAYA UBWELA huo.
Jasho la mtu haliliwi kizembe shaur yenu
Ww huna akiri kwaio unaona ariorifanya ni sahihi yy anatafuta ugali na mwenzie anatafuta ugali sio kuingilia biashara ya mwenzie kma kuwa msemaji adili na timu pizani sio kutaka njee ya kazi ambayo haimuhusu
@cosmascastory9193 kwaiyo ww ndo unayo akili
Watanzania tujifunze kuheshimu biashara za watu, haya mambo ya brand kisheria yananguvu, fuatilieni maswala ya kina 50 cent, P. Didy na baadhi ya makampuni makubwa duniani. Ni issue za brands na campanies na watu wakikutia kwenye kona utakojoa dagaa.
Hayo unayajua wewe yng na simba ni watani wa jadi mboa ahmed Ali kaziponda sana jezi za yng aseme tu ametoa jezi mbaya haziuziki ndio mana anaanza kutapatapa sisi yng mzingo umesha kata kitambo sana halipwi hata mia mbovu na msamaha hatuombi😂😂😂
Mpeni kichwa achezee za uso pale Kisutu😂😂😂@@temiluyangi6343
Ndo maana unaona huyo Sunderland(taasisi) inamshitaki ally kamwe(mtu binafsi) na sio yanga. Hilo ni swala la kisheria liko technical na sio utani wa hadi. Elewa msingi wa hayo madai Ally akutumwa na yanga kuongea Vile Bali na yeye aliongea kiutani tu. Sasa unapoambiwa taasisi kama yanga, simba na hao Sunderland wanakuwa na wanasheria wao, majukumu Yao ni kulinda maslai mapana na hadhi ya taasisi. Ukizingua unashughulikiwa. Hapo ni issue ya ally inabidi amtafute wanasheria na sio yanga itatoa wanasheria. Wasemaji wetu wote hufanya hayo makosa kimihemko inabidi wabadilike sio ally peke yake.
@@MaregesiMafuru Kwahiyo nyie Makolo hamjanunua Masanda yenu kisa Ally Kamwe 😜😜😜😜
@@JosephChrisant😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Hahahahaaaa...mmechoka...baada ya mauzo kudoda sasa mmeamua kutafuta mauzo kwa Ally kamwe...s 😂😂😂😂😂
Icho kijamaa Ally kamwe kinaropokaga tu sijui hakifikirii anacho ongea, mwenzie Ahmed Ally mbona haropoki sijui mtengezaji wajez za YANGA ni mbovu haongeagi kabisa, ila hiki Ally kamwe roporopo mkakifunge tu hilo kijamaa
Una uhakika kuwa haongei
Usijisahaulishe wewe aliponda sana jezi zetu kwamba kama vitenge vya kigoma mkuki kwa ngurue eee
Shabiki wa kweli hata jezi ipondwe lazima anunue kuisapot tim yake. Kama jezi hazinunuliki lpunguza bei
kuiponda jezya simba ni sawa ipo ,niutani,,,kuiponda sandaland si sawa kwasabab sandaland sio simba..ni kampuni ya biashara ambapo simba ni kam mteja..mimi na wewe ni watani nikiiponda nguo uloivaa ni sawa tu ,,ila nikiliponda duka ulonunua nguo yko si sawa kwasabab cna utan na mwenye duka,,,ni kam naaribu biashara yake maana ana wateja wengne sio wewe tu. kwahiyo Ally kamwe haja chunga miiko ya kazi yake .
Ally Kamwe kakosea . Hakushtakiwa kwa kuponda ubaya wa jersey , tatzo kaongelea issue ya CLIENT na MZABUNI . hilo ni kosa kisheria . Usifikiri jamaa kufungua kesi ni mjinga .
Atajua mwenyewe ni kweli mbaya
Kuna mda hawa wasemaji ni muhimu wawe makini maana watu wanaweka pesa kwenye bishashara na kupitiaaa iyo bishara watu wanalipa kodi na tbs imekaguaa na jamaa amessjiliwa Kufanya bisharaaa na TRA na Analipa kodi apunguze kuingilia bishara za watu ni mbayaa sanaaaa
Utan upo lakin siyo kwenda nje na club sanda ile kaz sawa nawao maji Gsm au godoro uyachafue nje nautan hapo sasa hajui alimuitaga mgunda andaz
Mambo ya ubayaaa ubwelaa haijawah mwacha mtu salama 😂😂😂😂😂
Mijezi mibaya imedoda mnasingizia sababu Ali kamwe hakun cha ubaya ubwela wala nini atoe jezi mzur mbona Za Yanga zinapondwaga mar vitenge vya kigoma lakini ulisikia kashtakiw mtu maan biashara inaenda ni maneno ya wapinzani tu Ila ni jezi mzur nyie sasa mmmh masanda tu
PROFESSIONAL JOURNALIST AKUSOMA LECTURE YA DEFORMATION CHUO NINI 😂😂🫵🏿
Jezi mbaya kweli,mbona jezi za Yanga zimepondwa na Ahmed, huu mpira mzee😂
Inawezekana ameponda ila ameepuka mitego ya kisheria..mfano akisema Jezi za nyuma mwiko fc au utomax ni mbaya...yupo salama maana hatuna timu inaitwa nyuma mwiko au utomax...ila akisema jezi za Yanga sc ni mbovu..hapo ajiandae..waangalie wasemaji wanpoongea..wapo makini..hawatumii majina halisi wanapoponda wenzao.
Aende akatengeneze jezi za kmc, pamba,prison nk Wala hatasikia hayo maneno lakini Simba na Yanga ni laxima tu hata km jezi zitakuwa mzuri watakosoa tu pumbavu zake
@@jemimabakari ulimsikia lin Ahmed akimzunguzia GSM huwa anaponda yanga sio brand ya ya GSM na kamwe anatakiwa awazodoe simba asimuzgumzie sandaland
Anaesema huu ni mpila,,alishawahi kuskia Ahmed all anasema biza za GSM hazina ubola au ndo mladi umejua kusoma na elim yako ya memkwa basi unaandika tu mladi maandishi yanaonekana
Alikamwe anapaswa kuitania simba siyo kumfata mtu kwenye kaz yake yaan Ahmed ayatanie maj ya Gms ajifichie kwenye kichaka cha utan wa simba au magodoro ya watu kamwe utan hajui mwenye kumbukumbu atakumbuka badala ya kutania simba akamtaga mgunda kuwa ni Andaz sijui sasa utani wakumlenga mtu yeye aitanie simba tu hakuna atakae zingua
Hilo litakua fundisho Kwa wote wanao halibu biashala za watu
Upati Ata mia na msamaa atuombi tutamuomba msamaa Allah pekeake acha njaa
😂😂😂...tumeshamjua mwenye njaa tayari...wewe bando lako la kuunga...hujalipa kodi ya nyumba...unamtetea Ally kamwe??
Wacha afunzwe adabu kama ilivyokuwa kwa manara😂😂
@@rockygappi1018Adabu ipi kwa kusema jezi mbaya mbona huyo wa kwenu alisema jezi za Yanga kama vitenge vya kigoma nani alihangaika nae na ziliuzika balaa hizo za kwenu kweli ni mbaya zingekuw mzur msingejali maneno
Kuna watu wanaongea sana hizi kampuni ni brand za watu na zina sheria, Ali kamwe hajaisema simba hapo kaichafua kampun yake ziwe jezi mbaya au nzr usichafue kampn brand ya mtu ndio haya sasa
Kwa iyojezi za yanga Co brand
Kila kukicha ally kamwe ni kutafuta lugha za kejeli wakati Ahmed All ana ongea kuisifia timu yake lkn huyo ndo hivyo tena alipishwe amezoea
Toka hapa huyo Ahmed wenu mbon alizichek jezi zetu kama vitenge vya kigoma zimedoda jezi zenu mnatafut visingizio
Mnahuwakika bado yupo hai maana bilion3 siomchezo pengine mtu kashakunywa sumu 😂😂😂😂
@@rehemaissa9438 na kama Yupo wakae nae Kwa uangalizi tusije sikia amejirusha kwenye kigholofa Cha njano na kijani 😄😄😄😄😄😄😄 B3 sio mchezo
@@OfficialjustjOfficialjustjyupo nandio kwanza ally kamwe anamtupia vijembe tena jezi mbaya chezea ally kamwe ww😂😂😂😂
Hapati hata mia
@@OfficialjustjOfficialjustjWala habari hana mijezi mibaya haiuziki asingiziwe Ali kamwe haa mwacheni toeni jezi bora zitauzika hata watu waziponde kama ni Bora Bora tu.
@@seciliamchalo5627 subili kipigo kingine Cha korosho
Labda kama kuna inshu nyingine, but kwenye mpira kutaniana kwenye vitu vinavyo tokea ni jambo la kawaida
Kwa jezi zipi haswaa yy aseme anataka mtaji maana office yake hata haina jezi,njaa kali.
@@roseafrael75 mta jua hamjui huo ndio ubaya ubwela
Mwanaume mwenzio anapambania brand yake iwe salama na ikue afu ww ambaye huna hata brand brela hawakujui unataka sema nn haswa
Acha hisia kwenye biashara
@@OfficialjustjOfficialjustjhakun cha ubaya ubwela jezi zenu zimedoda sababu mbaya mnatafuta pa kujifichia aibu
@@karimkinwary4668 huyo kamwe mshamba
Jezi ni mbovu aiseeeeee
Makasiliko Yamemkamata Jezi Mbovu Ndio Kwani Uongo
Wewe huogopi mwenzako B3 zinataka kumtoka na wewe unajisajili tukae mbali na wenye pesa.lakini B3 mbona nyingi Sana au ndio kufundishana adabu
@ mbona Wao Wanatutania Cc Tunavaa Vitenge Tumemshitaki Nani Pale Amna Kesi Ni Ubabaishaji Tu
Kiburi chenu ndo maana mnafungwa
@@AnnaJayden-k4mkama nyie ndiyo maan tunawafunga kutania mtanie nyinyi mkitaniwa mnakimbilia kushtaki nyie s mnasema jezi zetu ni vitenge vya kigoma tunapotezea maan tunajua ni utani nyie sasa au ni kweli mbaya
😅😅😅@@richardsalim1042
Dah,,,na saivi Yanga imepoteza mwelekeo, hiyo billlioni tatu ni kuongeza machungu,,,Ally Kamwe kama namwona akilia lia
Kwa lipi mijezi mibaya wasimsingizie Ali kamwe haiuziki maan haina ubora mbona za Yanga mnaziponda mara vitenge vya kigoma hat huyo msemaji wenu namba moja lakini haka zinauzika balaa
Itakuwa kweli mbovu mbona kachukulia serious 😂
Jez mbovu,kuambiwa ukwel ndo unaowauma
Shida imeanzia apa...ujue unapolopoka sana uwe unajua sheria kama afanyavo rais wa chadema tundu lisu
Mmh comment nyingi zimejaa chuki. Wasemaji wote wakubwa ni waropokaji inategemea tu kaongelea wapi na kasi yake ya kutrend mitandaoni. Hakuna msemaji mkamilifu wote wanakosea. Sanda anajidharirisha tu, kizuri chajiuza kibaya chajitembeza.
Tatizo Ali ametaja brand angesema tu jezi mbaya ila asingeitaja brand nyie endeleeni kumtetea huyo Ali Komwe ni lopolopo sana
Kumbe uyo sandaland ni chizi hajui mpira asa mangapi yanga ina semwa vibaya kama vpi aache mpira mpuuzi mkubwa
Kama kitu hujui siyo mpaka ukoment utan hajui aitanie simba siyo brand ya mtu kama unakumbukumbu aliwah muita mgunda andaz utanihuo haupo tania club
Aliye kwambia mpira ni kuchafuana nani!?msiishi kwa mazoea Sheria zipo!
Wew ni mbuzi kama msemaji hupaswi kuzngumzia brand ya mtu aiponde simba sio sandaland
@@LucasRuben-x1tkabisa big up Sana mwana unaelewa
@@OfficialjustjOfficialjustj hakuna asiye penda kutaniwa club yake ila huwez tania magodoro ya GSM ukilala yana bonyea mbele ya maik au maji GSM ma baya yana chumvii sasa hapo yanga anahusikaje hama mipaka kamwe
Uyooo jamaaa chizi kweli Mona anachekesha sandaa yn kuponda jezi ndo umshitaki mtu alikmwe yupo sahiii kabisaa anaweza kusema lolote kuusu jezi yn anachekesha sana kwa kweli
Akishindwa yote ayo tumuowe pls na atuzalie paka badala simba
Fara sana Sanda ,
Dogo ajifunze asiwe anaropoka ropoka ovyoo
Wewe mwenyewe umeropoka
Iwe utani iwe kwl ally kamwe huyo sahihi na mijezi mibaya sana...na imedoda ss jezi mbaya zitaacha kudoda...mbn ngoi watu wanasemaga jezi sio nzuri ila yeye anaiza kila kukicha....wewe sanda toa vidabwada vyako ww...hauna jezi hapo.
Umeona zimewadodea mbona hata msemaji wao anazipondaga san jezi zetu na zinauzika
Huelewi maana ya utani wa jadi pole sana simba na yanga vijembe kawaida so hata Hamed ally huwa anatusi jezi za yanga ushaona ameshtakiwa? Kuwa muelewa utani wa jadi hio ndo maana yake bro huo ni mtaji uliodemand ushafeli.
Mimi nimwanasimba,nakuomba umusamehe Ally kamwe hajui alitendalo,tafadhali musamehee ,hata vitabu vya mungu vinatukumbusha kusamehe,nakuomba umusamehe hajui alitendalo ninjaa tu ndizo zilimtuma aongee,msamehe .Mimi mwanasimba tafadhari nakuomba msamehe.
Naona wewe ndiye mwenye njaa
Sawa Jezi mbovu ila Cha Moto lazima aoneshwe uliwahi kuna Ahmed Aliy anaupungufu wa kifikra wa kuongelea Brand za GSM
Hakuna mashitaka hapo, hayo maigizo tu. Huyo Sanda hawezi kushinda hiyo kesi
GSM kaingiaj ap ama me ndo cjaelew xax sanda na GSM kwel
Sindano imewachoma nikuombe kitu ally kamwe endeleaa kuwasema ivo ivo
Hii imeuma kwa kweli , jezi mbaya
Yale majersey ni mabovu...na mabaya...
Yaani ali kamwe awahimize makolo wasinunue Jersey ya timu yao ...huyu Sanda hakuna kitu ...
Tena akae kimya
Mlipishe tu kwasab kinaropokaga sana ile skuile kinasem et viti vya Azam complex vinawabana mashabiki hawakai kwa raha, Mlipishe tu na utajiri WA huyo GSM wake atamlipia lazima aingie hasara akilipa Billion 3
hakuna cha kulipa hapo anapoteza muda tu
@FredrichNJKishindo mzee hiyo kesi sio bwabwaja hapo barua nzima imeoneshwa, hiyo lazima alipe hawez mtu kuharibu brand ya mtu, haujawah kuona Diamond kuwafungulia kesi wanaoharibu brand yake??
Hiyo ni biashara yake unahis akiachwa na kashachafua brand ya Sanda, biashara zake zikiaharibika kwasab ya hayo maneno ya huyo Ally kamwe utamlipa ww pesa?? Au, hiyo ni fundisho kwake mala Mia angeongea mshabiki ila sio yeye msemaji mzima anaongea upuuzi
Ila acha nnceheke sasa mmekosa soko la kuuza jez mnatafuta mtaji kwa ally kamwe😂
Wew dili na vipigo vyenu visivyo isha kama alikakamwe kavuka mipika acha akutane na misimba tumlalue mnafungwa hadi mwapoteza utimamu wakili
@rashidgogo5558 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kosalak kusema vitu vya ndani vya biashara ya mtu ikiwa yy aimhusu
@@rashidgogo5558wewe mwenyewe hauna utimamu wa akili
Acha puuzi msemaji wa utopolo huwa anaropoka hovyo na domo lake kubwa
Mnataka fidia kwani mlimu shirikisha kutengeneza izo sandalend, 😂😂😂😂😂😂😂
Mara ngapi Ahmed ally amezunguzia jezi za yanga kuwa vitenge mbona ngoi hajamshtaki mtu njaa hiyoo 😂😂😂😂😅
Watengeneze jezi nzuri, Aya mambo ya kuonaga jezi hazi nunuliwi kisa ubovu wake afu kuzingizia watu hatutaki
Amsamehe tu ila ampe onyo aya mambo enyewe huwa ya utan lakin kwenye biashara ya mtu mbaya .amakweli ubaya ubwela haiachi mtu salama billion tatu nyingi ickie tu
Ulimi kiungo kidogo lakini matatizi yake ni makubwa
Sasa mahakamani si anajibu tu kuwa kwa upeo wake jezi ni mbaya hakuna kesi hapo 😂
JICHANGENI MASHABIKI WA YANGA WOTE SIO MNAPAYUKA MSAIDIENI MWENZENU HZO BILLION 3 MANA AKIPELEKWA JELA ATAENDA KUPIDIDIWA KULE😂😂😂MSAIDIENI UTOPOLO MWENZENU HUYO
Njaa mbaya sana huyu jamaa kweli mbumbumbu FC
Ushamba kupeleka utani wa mambo ya mpira mahakamani....issue ya mabango mlipofungwa 1-5 nayo walitaka eti kuipeleka mahakamani😂
Billion 3 labda auze hadi vinyweleo😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Ameishiwa mipango zimemdodea jezi za hovyo anatafta shortcut ya kurudisha hasara jezi mbovu.
Sisi watani bhana kama uwezi utani tupishe
Amedhihirisha kuwa jezi ni mbovu
Ivi kweli uyo mtu ana akili kweli ao hazitumiki wakati Ahmedy ally alivyo Iponda jezi yayanga alijisikiya aje kwani utani kwenye mpira sokawaida ao hana mtaji anahitaji mtaji kutoka kwa msemaji wetu ally kamwe uyo baba ajichunguze nomwehu kabisa
Kitu unaweza ona Cha kipuuzi lkn akidhamiria sanda kinaweza kufika mbali.suala la kisheria Lina Mambo meng so complicated
Mbona wao wanaiponda jezi ya Yanga 2:21
Tena wanaziita vitenge vya kigoma na hata hatujalip tunatamba nazo
Kwani Siri hiyo jenzi mbaya ubunifu mdogo ndo mana hawataki kuinunua mkubuke kumshataki pia ashamed ally kusema za yanga anamatambala
Safi sana usitegemee uchafue kazi za mtu alafu uendelee tu kula makande uswahilini.Sasa mahakama ndio impe msamaha.... kumbafuu😂😂
Sanda land ni kampuni maskin sana ndo maana wanatoa jezi mbovu kuto kununuliwa ni kwa sababu Kuna washabili wanajua vitu Bora so asitafte jinsi ya kuludisha hasara na hawezi pata chocchote kwa aAlly Kamwe Zaid ya kujidhalilisha au kachuja anatafta trend kwa watu maarufu kama Ally Kamwe watu wanazikwa na sanda ila sii mtu mzima avae Sanda so kilicho wangusha ni nembo sio Ally Kamwe
Kweli jezi mbaya,,aje anishitaki na mimi
😂😂 ...wewe ni mropokaji asiyejua lolote...hapo Ally alipaswa kusema jezi mbaya na sio kutoa taarifa za uzushi kuwa uongozi wa simba umemsusia hilo ndio kosa na subiri uone kama yataisha kiurahisi
@@rockygappi1018kwani uongo hazijauzika ni mbaya kama hawajamsusia zingeuzika zimedoda jumba bovu wanamwangushia Ali kamwe kumbe kweli mijezi mibaya
Ndipo na ninyi mtailipa selikari, sababa ninyi ni waongo mnaibia serikali, Blera imesajiri kampuni inayoitwa Sandaland na sio Sanda, kuweni makini na hilo
KAMWE KASEMA UKWELI JEZI MBAYA NA UNATUTENGENEZEA JEZI MBAYA....AHMED ALLY NAE AJIANDAE CLIP ZIPO
Kwenda huko shabik la utopolo ww
Nilikua natafut hii comment km clip zip bac ni vzr malip ni hap hap dunian
Huna hadhi hiyo kudai ela yote hiyo jitafakari umishiwa vibaya
Km sikusikia vizuri km hajatajwa sanda land pale Bali nilisikia sanda je brand yake inaitwa sanda au sandaland?
Utani wetu ndo mpira wetu umejikubalisha kuingia kwenye mpira wetu ujikubalishe kuingia kwenye UTANI wetu.
Nb: bodi ya ligi watu wadizaini hii wataharibu mpira wetu
kuna utani halafu kuna kumtag mwenye bland kama hamjui Sheria kaeni kwa kutulia msubili ali komwe atasemaje
We sanda umedoda unatafuta mtaji kwa Ally hupati kitu na mijezi yako ya hovyoo kwendraa
uzur wake ata ikiwa itamlazimu kulipa io ela kamwe
ww utoi ata mia mbovu
ila unavochochea moto sasaaaaaaa
@gabrielmwambogo3891 haikuhusu
@@ShangweSylus-nf6we ndo nyie watu wanafik
mtu unamtia moyo kufanya ubaya ubwela siku ukiona kimemlamba ww uyooooooo unatimua mbio
@@gabrielmwambogo3891nani akimbie kumchangia mtu mtaji? Atalipwa akizidi kulia lia, jezi ni mbaya ndiyo kwani alikuwa haoni au?
basi na amedy Ali na yeye atoe billion 4. Yeye ashasema pia jezi za yanga mbaya acheni njaa
Kama timu imewashnda kuendesha fungukeni
Kimefanana na james delicious
Jamani utani simba hawauwezi eeeeeh hamna kuomba msamaha apo😮😮😮
Bila shaka Uto Wana pesa watamchangia zitalipwa
Sanda ni nani?
Safi sana wamezidi kuropoka 😂😂wamwondolee adhabu ya kulipa aite tu press conference kama alivyokuwa amefanya na aombe msamaha
Msamaha kwa kipi huu utani ndugu asikasirike kama jezi za Yanga mnavyozisema vitenge vya kigoma na wala hatujali
Huyo sandaland inaonesha amefilisika sana. Anamdai Maiti Sanda. Kweli.
Njaaa mbaya sana mnataka kuifanya Tim kubwa kweli jezi mbaya sana
nnjaa unayp ww ila jamaa hana njaa ila ameamua kumkomesha asimharibie biashara zke kuwa muelewa wtu wanawekeza hela nyingi na uyo Kamwe anapesa za kumlipa jamaa si njaa tupu pale Yanga hela za kuwalipa wachezaji waliowaacha hdi leo hawajazilipa
@@JechaMakameIssa-gs2blkumkomesha wapi biashara imedoda mbona msemaji wenu anazipondaga sana jezi za Yanga mara vitenge vya kigoma nani anaangaika nae na wala hazidodi hizo zenu kweli mbaya kama mzuri mbona hamnunui anamsingizia sababu Ali kamwe
Uyo sandalandi kumamako anaona ajauza jezezi ana taka ela kwa yanga kumamako naya bibi wa mamako sanda kama yamkewako kibuyu
Sasa anataka Ally amtangazie biashara au??
Mbona ahmed ally anasemaga yanga ni wachawi ila sisi tunamchukulia utani tu je na sisi tukimshtaki hii itakuwa utani wa jadi au vita?
Mim shabik wa simba lkn sion Kosa la Ally kamwe
jezi za kuvaa vigagula zile
Viburi mno ndo maana mnafingwa
@@AnnaJayden-k4m hata kama túkifungwa ila jezi zenu mbovu hata zile wanagawaga wabunge kipindi cha uchaguzi zinauafadhari,
Alikamwe ni mropokaji mnooooo na hana sifa ya kuwa msemaji wa team kaendekeza maneno machafu mnoooo uswali umemzidia mshikaji acha ya mkute Afunishwe namna ya kuwa msemaji
Majezi ya Simba ni mabaya,,sanda ha ubunifu,,😂😂
Hivi hawa wanaodai watu billion za pesa Huwa Wana akili timamu kweli
Huyo ata 40M cash cjui km anayo. Sasa unamdai 3B!!! Hamuoni wachezaji wanaendesha crown gari zisizofika ata 50M, hana uwezo huo acheni madai yasiyo na uhalisia.
Ali kamwe umeutaka utaupewa. Mdomo uliponza kichwa.
Sasa yeye atoe sanda halafu mtu amlipe bilion hebu awe serious
😂😂😂😂😂 AMSUBILI AKIFA😅 ULIONA WAP alie hai akavaa SANDA😂😂
Katukosea saana Wana SIMBA HUYU BWEGE, KWANN atuvishe SANDA😭😭😭
😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
Acha kifundishwe afabu kimezid
Njaa huwezi kutoa jezi alafu uweke logo ya sanda utarajie wateja vaa jezi zako na mkeo tatizo sio m'bunifu
Mnaumwa mavi yenu kweli hampati hata mia
Njaa majezi mabaya au all kamwe akushitaki wewe kwa kutengeneza sindiria
Mijezi mibaya we mboja kijambio chako kibaya lkn unatembea nacho? Sindiria ndio kijiji gani? Toka shamba huko acha kufukuza Nyani.
sikilizia sasa uone kazi
Huyo Ana njaa aende kijijin kwao akalime Jez ni mbaya 2 ndo ukweli huo
Huyo mtoto Ali kamwe hata baba yake kamuuzi sina mpeni adabu kidogo kawatukana mpaka wazee adabu hana hapewe adabu
Ndooo tusha amua sasa tunatak b3
Siku ingine aisememeee nyuma mwiko na sio Simba
Sandaland usituchokoze yanga sasa hivi tuna hasira vibaya mno tunatafuta sababu ya kupiga mtu tuache na semaji letu
Kazi za watu hazitakiwi kuingiliwa
Mfanyabiashara gani hajui hasara? Anajidhalilisha kama zimedoda aangalie alipokosea😊
Jersey mbovu bhana
Alikamwe awezikuomba msamaa wowote wasemaji wasimba walisema tumetrngenezewa vitenge uniutani wajadi broo
Sanda Hana akili nae
Sanda haziuziki nahapo hamtalipwahatamia wapumbavunyie kengewakubwanyie
Watu wanatengeneza brand na majina kwa Ghalama alafu wengine wanazishusha kimzaha mzaha 😊 Namtafuta Debra Fernandez Mavambo kwa alivyotukanwa kisa jina twaweza pata donge nono😂
Sasa madela nani atayanunuwa???