Habari dear. Jumapili nimetafuta clip uliyopika hz chichiri kwako sikuona ila leo ndio nimeiona. Mie nilipika lkn sikutia mafuta, pia unga nilichanganya na wa mahindi na mafuta sikueka. Swali: mafuta usaidia nini. Je ukichanganya na unga wa mahindi nao auna shida. Asante sana poa samahani ka usumbufu @mziwanda bakers
I guess Im asking randomly but does someone know of a way to log back into an instagram account? I was stupid lost the account password. I would appreciate any help you can give me
@Bryce Reece Thanks for your reply. I found the site thru google and I'm in the hacking process now. Seems to take a while so I will get back to you later with my results.
Eeewaaa hongera🎉ujuz mzr
Hongera kazi nzuri
So sweety I will try
MashaaAllah nimezitamani na tena hizi ukianza kuzila husikii kuacha hasa ukiwa hujala😂😂na ziwe fresh utajutraaa shukran kipenzi ❤️
Kujuta hasaa ni kunywa maji tu
Ma sha Allah,...nazipendaga hizi😋😋
😋😋🙏🙏
Napenda sana unavyo elezea!!!!!
Mungu akubariki sanaa hujui tuu
Masha Allah shukran yani apo umetuokowa wengi mi uwanga nazipenda uko kutengeza kila cku na sema cna kifaa thanks so much mziwanda
Your welcome my dear 😘😘
Thanks sister I'm glad to know the other simple way to use.
Mashallah nice
Naomba kujua kwanini umeweka na unga wa mchele?..
For taste pia inasaidia kuwa crunch
Unaweza tumia hata unga wa ngano badala wa mchele.
Jamani madam kwenye kopo nimeweka hata itoki daaah
Mashallah
Umetengeneza vizuri na mi nitatengeneza
Dada I love you. Nimependa ulivyopika na ushauri wako pia ubarikiwe sana
Amiin
Nitajaribu njia hii maana me huwa natumia mifukotu,asante dear
Hii nzuri pia dear
🎉
ASANTE
Mahitaji jmn sijaelewa vzr
Naomba kufunzwa jinsi ya kutengeneza unga wa mchele
Nataman sana kukupgia nafanyaje?
Naweza tumia unga ngano
Kongole kwa kuwa mwalimu mwema unaelezea kwa urahisi mno Asante
Shukran
🌹🌹🌹🌹
Shukran habibty
Je unaweza tumia unga wa ngano kama hauna wamchèle?
Jaribu utupe mrejesho dear
Habari dear. Jumapili nimetafuta clip uliyopika hz chichiri kwako sikuona ila leo ndio nimeiona. Mie nilipika lkn sikutia mafuta, pia unga nilichanganya na wa mahindi na mafuta sikueka.
Swali: mafuta usaidia nini.
Je ukichanganya na unga wa mahindi nao auna shida.
Asante sana poa samahani ka usumbufu @mziwanda bakers
Hauna shida pia ila wa Mchele mtamu na mafuta husaidia zichambuke zisinyonye mafuta
Habari mamy ivi unga wa mahindi unasaidia nini na naeka kiasi gn?
Unga wa mahindi unasaidia nn mamy?
Alafu kilo natakiwa niuze sh.ngapi kwa bei ya jumla?
Somo zuri shukran San, je waweza eka unga wa mahind?
Ndio unaweza pia
Ivi uo unga wa ndengu ni unga gn jmn
Upo ukienda sokoni hua wanauza
Si wadengu jmn? Au dengu huzijui?,unaweza nunua zilizobarazwa na ukasafa mashinen ukapata unga wako,mi Huwa ntafanya hivo
Samahani ety kwa Nini unaweka na u nga wa .mchele
Sasa hivi ukitaka kufanya biashara yake soko lake yani namaanisha sehemu ambayo zinaweza kuuzika ni wapi???
Chooni
Wanafunzi,mashuleni,
Hello! Tunashukuru kwa elimu bora lakini jitahidi kutumia vipimo halisi mfano kilo nusu kilo badala ya vikombe ili iwe rahisi kwa wanafunzi wenu.
Shukran kwa ushauri
madam nataka kupakia uji kweny pumping bag nvalishe zile nozzle zakuandikia kwenye bag nkamulie jikon
Itatoka moja moja ni sawa tu love
Nimesabuzibuuu SI ndo subcrv
Nilazima ueke baking soda
Thanks ,still waiting for the mabuyu recipe Be blessed
Thank you dear
I guess Im asking randomly but does someone know of a way to log back into an instagram account?
I was stupid lost the account password. I would appreciate any help you can give me
@Everett Tobias instablaster =)
@Bryce Reece Thanks for your reply. I found the site thru google and I'm in the hacking process now.
Seems to take a while so I will get back to you later with my results.
@Bryce Reece It worked and I now got access to my account again. I'm so happy!
Thanks so much, you really help me out !
Dad kama sina unga wa mcher nafanyaj
huo unga wa Michele au corn flour ni lazm
Mchele aina gani
Heiii
Asante sana dada Kwa kufundisha vizur ,, je nikiihitaj machine ya tambi makadirio ni shi ngapi??