CCM wameshindwa kuongoza nchi hii ndiio maana mambo hayo yanaendelea wanajua wakifanya uchaguzi huru na haki watashinwa vibaya na CCM wanajua wananchi wengi hawaipendi tena CCM
. Nawapa Ndugu zangu wote waliouwawa Kikatili, Namwomba Mungu Awape Subra Ndugu marafiki Chama chetu Pole sana Mwenyekiti na vyongozi wote Wanachama Mungu wetu atupe Utulivu kila chenye Mwanzo kina Mwisho Nguvu iko kwa Mungu Machozi yetu atayafuta tunalia usk na mchana watoto wanauliwa, Wametekwa Soka Na wenzake hatulali Rais Samia ingekuwa ni watoto wako Ungelala, usingizi?Tafakari hili
Maypppppp tanzania damu inanuka mboqe achana na uchaguzi mtakufa sana ss ni ngombe kweli chakura cha simba tunauwa h8vyo kisa uchaguzi kweli serkali mnatuua kosa ga i kubwa
Jamani nchi hiiya Tanzania utazani watanzania wote hatuna akili. Makosayotehaya Mbona yanatosha kurudia uchaguzi. Hata raisi mwenyewe Haoni na kutoa tamko mahusis kiutuuzima Ili kujisafisha? Kwani zambihizi na aibu nikwa rais. Hebu raisi Samia kemea uchafuhuu. Viongozi wako wachini wanakuaibisha mkuu
Huu sio uchaguzi ni uchafuzi kama ccm wamebaha kwenye uchaguzi wa wenyeviti ambao hawapewi mishahara je uchaguzi wa wabunge ,,,madiwani na rais itakuaje
Kwa hio mtu akiuwawa ni ccm kaua na kiongozi wa ccm alieuwawa ifunda je ? Nichadema ndio walioua au tuache mihemko na uongo wa kutengeneza na wewe mwandishi acha habari chonganishi msenge wewee
CCM wameshindwa kuongoza nchi hii ndiio maana mambo hayo yanaendelea wanajua wakifanya uchaguzi huru na haki watashinwa vibaya na CCM wanajua wananchi wengi hawaipendi tena CCM
Mungu yupo atafanya soon mtashangaa mtashangaa
😢😢😢Polisi, anayeonewa ndiye anayekamatwa. Uchaguzi ufutwe huu. Wamekosa nini, au ni kosa kugundua mbinu ovu kama hizi!!!
Tutaelewana mbele ya Mwenyezi Mungu. Maana ndo mwenye hukumu
Huuu ni uchaguzi wa umwenyekiti wanauwana je uchaguzi mkuu itakuwaje😢😢
Ndio hapo
CCM hawawezi kushindana wao nikuua tuu
Ila wajue tu yupo Mungu na kisasi nacho kitaanza haraaka saaaana maana mwenye nguvu atatokea kama simba 😭😭😭
. Nawapa Ndugu zangu wote waliouwawa Kikatili, Namwomba Mungu Awape Subra Ndugu marafiki Chama chetu Pole sana Mwenyekiti na vyongozi wote Wanachama Mungu wetu atupe Utulivu kila chenye Mwanzo kina Mwisho Nguvu iko kwa Mungu Machozi yetu atayafuta tunalia usk na mchana watoto wanauliwa, Wametekwa Soka Na wenzake hatulali Rais Samia ingekuwa ni watoto wako Ungelala, usingizi?Tafakari hili
Aah Kwann au ubishi
Mbona kwetu hatujaona muyasemayo Au mwataka madaraka tulieni mkafundishwe mkikomaa mtaweza
Na shinyanga tulikamata polisi hawajachukua hatuayeyote wanatujibunendeni mahakamani
Maypppppp tanzania damu inanuka mboqe achana na uchaguzi mtakufa sana ss ni ngombe kweli chakura cha simba tunauwa h8vyo kisa uchaguzi kweli serkali mnatuua kosa ga i kubwa
Wantanzania ni mambulula yaani ni zaidi ya makondoo hivi nchi kama kenya usenge kama huu hauwezi fanyika
Bora ata kondo kaka watz ni mavi kabisa
Shida sana mungu atawaukumu
Jamani kuweni na hofu ya mungu mpaka mtu anauwawa kisa vyama
Mungu tutetee kwakwer
Tanzania hakuna vyama vingi ni ccm na jeshi lake ndio wanaongoza inch
Sio maeneo mbalimmbali ni nchi nzima
Chadema ni maka kufa hatuiachi tutakifia chama chetu
Jamani nchi hiiya Tanzania utazani watanzania wote hatuna akili. Makosayotehaya
Mbona yanatosha kurudia uchaguzi. Hata raisi mwenyewe Haoni na kutoa tamko mahusis kiutuuzima Ili kujisafisha? Kwani zambihizi na aibu nikwa rais. Hebu raisi Samia kemea uchafuhuu. Viongozi wako wachini wanakuaibisha mkuu
hatari sana kwanini jamani wasitede haki
poleni mm nilijua hayo ndy maana niko home
fisiyenu ni janga la taifa m
na policcm yao
Eeeeeeer POKISI WAPO WAPI? SERIKALI WEEEE
Ngoja siku utawawa na wewe we mbwa unayesema taarifa ni za uongo ndiyo utajua hujui
Aiseee
Aisee unakuwa na amani kabisa ktk kiti hicho
Yesu wangu
Ubaya ubwela
Ccm niwauuji
Kila nafsibitaonja mauti
Una muua mtu kisa uchaguzi wa mtaa
Mama Samia ukiwa Amiri jeshi Mkuu na rais wa JMT na M/K wa CCM unaionaje hali hii ya nchi yako.😢😢😢😢
Wakati yeye ndio kaagiza haya yote jiongeze
Yaani mwizi uende kushitaki kwa mwizi huyo huyo
😢😢😢😢
Huu sio uchaguzi ni uchafuzi kama ccm wamebaha kwenye uchaguzi wa wenyeviti ambao hawapewi mishahara je uchaguzi wa wabunge ,,,madiwani na rais itakuaje
Rip
Propaganda na kiki habar za uongo
R4
Kwa hio mtu akiuwawa ni ccm kaua na kiongozi wa ccm alieuwawa ifunda je ? Nichadema ndio walioua au tuache mihemko na uongo wa kutengeneza na wewe mwandishi acha habari chonganishi msenge wewee