We actually see him in viral video ..in which he is singing a Bollywood song and I'm damn sure 1.4 billon of population.of. India Love his singing and voice.. much appreciated..#love from India 🇮🇳
Mjomba,,,,unajua ww n muislam bora wengebakia kupenda tu mziki,sio kuimba mana utaacha kovu ukiingia kaburini itakutesa kovu ulioiacha ndugu hta mm nakubali sana songs and move za kihindi ila ila sitamani kuimba kwan nitaacha kovu,ila mawazo yangu tu mana ukibaki kuskiliza bs inaweza siku tutatubu ila ukiimba ata ukitubia,,bado umeacha kovu
*TANGAZO KWA WAKAZI DARESALAAM* Tunatafuta watu 15 watakaosajiliwa katika PROJECT yetu inayoanza Mwezi huu wa Kwanza 2019, watakaolipwa kuanzia Tsh 70,000 Kila siku VIGEZO -Mkazi wa Dar es Salaam -Umri kuanzia 23yrs -Mwenye Uthibitisho wa uraia kwa kuwa na kitambulisho Chochote. Mawasiliano zaidi ya ofisini tuma neno :NIPO TAYARI: KWENDA NAMBA +255 745 314 802 WhatsApp pekee √ NB: Watapitia mafunzo baada ya uainishwaji NAFASI NI KWA WAKWANZA
We actually see him in viral video ..in which he is singing a Bollywood song and I'm damn sure 1.4 billon of population.of. India Love his singing and voice.. much appreciated..#love from India 🇮🇳
Mashaalah👏👏👏👌👌👌kwel 🇹🇿🇹🇿tunavipaji , kama unaamini gonga like yako apa ili twende sawa
Bongo flava gift 2019 ok mwenye nafasi talent hii apo support this guy
In Shaa Allah mungu atakufikisha mbali kipaji unacho ndugu yangu
Great to see a news reporter reaches him
yan we jamaa dah...yan unaacha madrasa na kuingia kweny mziki subhanallaah Allah akuhifadh akhy..mche Allah sna yan unaitaj nasaha sna akhy dah
Subhanalla 😢
Ushatoboa kk...big up
Du anaweza sana huyu kaka jaman mashaallah
Full (nigerian group) singing: th-cam.com/video/t4NoR6GOkRY/w-d-xo.html
#sonunigam
Come and see this man from Tanzania covering ur song amazingly
Mashallaaah nakupenda bure unasauti tamu na kutoa nyoka pangoni mora akujalie kufike mbali
Wow wow wow Amazing
SRK # sharu Khan.🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nice...Sna Broo✌
Mashallah mashallah mashallah
Nice video (india)
my zackaa ur the best
Unaweza jama ,mond msahidiye kijana
Waooo zak mungu akulinde utafika mbali ww
Waooooo
Zacka is amazing
Anaweza San ten san
Zacka real channel name please
Maashaallah
Nice one
Mashaallah
❤️❤️❤️❤️❤️😍😍😍speechless
Kal Ho naa Ho' umepatia sana brother weka bidii utafika mbali kazi nzuri MashaAllah
Duu unaweza khaa
mashaallaah
Bless mwanangu
Too good bro
Ushatoboa kak sis tupo nyuma yako
Kiukweli voice unayo tena nzuri
Jamaa mpaka huku india watu wanamkubali
Super
Jamaa anaweza
Ongeraa kaka bunju tunajivunia
MAASHAALLAH
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Mashaallah
Hongera
Mashaallah wameona wanamsaidije sasa wadau wa mziki
Unajua sana kihindi kuliko Tanzania songs
Nice
English subtitles would be great
nakukubali mpaka naboeka yan.
Mjomba,,,,unajua ww n muislam bora wengebakia kupenda tu mziki,sio kuimba mana utaacha kovu ukiingia kaburini itakutesa kovu ulioiacha ndugu hta mm nakubali sana songs and move za kihindi ila ila sitamani kuimba kwan nitaacha kovu,ila mawazo yangu tu mana ukibaki kuskiliza bs inaweza siku tutatubu ila ukiimba ata ukitubia,,bado umeacha kovu
Daaaah jamaa anaweza
Big up
Dinny mwambie anitafute tuungane tuimbe sote mm pia mpenz wa nyimbo za kihindi nazipenda sana wallah
njoo tuimbe wote
@@rasterwangu9708 swa ila mm natoka 254 mombasa si mtanzania sijui itakuaje tupatane
kila kitu dunia ya sasa kinawezekana Allah atatuunganisha from zanzibar
@@rasterwangu9708 in shaa Allah am eager waiting bro
It will be good if u send ur no to me so that we can chat watsap and I can send my vedio clip to u if yu don't mind
Dah
Ndg yangu mm n dua kwako tu mpk hapa🙏🙏
Uku Sawa bro
dizzy, mwambie uyo kaka anitafute tuimbe wote mimi mwenyew naelewa xna masong nawsh ata cku moja nifike india 😍😍😍
njoo tuimbe
kweli yani napenda xaana yn
ila upo mbali
jmni C. dar ,,,tu kwani mbali Wew upo zanzibar
ndio nipo zenji
Nataka jina lake plz
👏👏👏👏
Like kama zote
I like it
kweli jamaa anakipaji cha pekee kabisa
Sio tanz tu and uku Dubai anafahamika
kweli kabisa mani sisi tulokuwepo huku tunaburidika
kweli!!??
@@nover8035 ndio
ROse ROse sure
@@khalidbinbajun5425 yann
😙
Dah nikajua anajua kihindi jamaa anajua sn
Nami naimba melody za kihindi... Gusa Picha yangu uone video mpya ya kihindi
Mi nataka nisaidie kusma dini
Dada acha uchawi wwe we majukum ya mond unayajua wwe mbona kama unakunja😡😡😬
Mm mbona sijaiyona jaman
Mfollow instagram yake @realzacka
Mimi Pia nataka kuiyona pls tell if it's on TH-cam
@@tarentstv8558 ok ndugu sante sana
@@tarentstv8558 nimemuona
Ntafute nkutumie
Kipaji
maswal meeeeengiiiiiiii yana boaz buana mxyuuu
Aliedislike ex wake nini??😂😂😂
Ujinga nini? ujinga nipale unasoma madrsa kwa bidii harafu unakuja kua muimba mziki na mziki niharam😀😀
mapovu ruksa
ujinga kabisa
Full (nigerian group) singing: th-cam.com/video/t4NoR6GOkRY/w-d-xo.html
Usimuhukumu uyu jamaa, huna mamlaka iyo
Alaf anasema mambo ya dini tuweke pemben
Dogo anajua sana ila anapendeza nyimbo za kihindi au hata akiimba kishwahili amix na kihindi
Huyu ni zaid ya chafu
Mimi nimefika india lakini kuongea sijui
usiweke dini pembeni jamani😄😄
😢😢
Mbona dogo hakuenda bongo star search?
Full (nigerian group) singing: th-cam.com/video/t4NoR6GOkRY/w-d-xo.html
Real zakar
Maswali mengi muache aimbe bc aaayh
Mariam Juma swalehe 😁
Hajui kihindi asifosi kuimba kihindi aimbe lugha anayoijua hapo anapiga tu kelele haijulikani anasema nn sasa na instrumental bila vocals
*TANGAZO KWA WAKAZI DARESALAAM* Tunatafuta watu 15 watakaosajiliwa katika PROJECT yetu inayoanza Mwezi huu wa Kwanza 2019, watakaolipwa kuanzia Tsh 70,000 Kila siku
VIGEZO
-Mkazi wa Dar es Salaam
-Umri kuanzia 23yrs
-Mwenye Uthibitisho wa uraia kwa kuwa na kitambulisho Chochote.
Mawasiliano zaidi ya ofisini tuma neno :NIPO TAYARI: KWENDA NAMBA +255 745 314 802 WhatsApp pekee
√
NB: Watapitia mafunzo baada ya uainishwaji
NAFASI NI KWA WAKWANZA
Htr sana huyu mtu
Hii ni dhqhabu
Dah hongera sana kiukweli mungu akufungulie milango amina
Mashallah
Nice
Anauwezo
captain 😍
Nice
Mashallah
Nice