Mashallah mawaidha haya nayapenda Sana we we sheikh wangu kipenzi we we ndo mwalimu wangu na kila siku nahudhuria madrasa humu you tube inshallah mkono kwa mkono mguu kwa mguu mpaka tuingie sote peponi inshallah
Allah amzidishe ilmu na afya na uhai sheikh Othman Maalim. darsa ya 2002 naipata 2020 18yrs later subhanallah! allah amtakabalie amali zake na amlipe na jannatul firdaws Sheikh faida nyingi nimepata kwa darsa zako. jazakallahu khayran
Naona ni mm pekeyangu nnae ridhika na saut ya shehe wetu kumbe tuko wangi mashaallah tabaraka llahu mwenye zimungu atujalie tuweni miongoni mwa wenye kusikiliza mema na kuyafwata inshaallah
it was exactly on my birthday 27/11/2002 , mwaka huo ndio kwanza niko na miaka 4 😂 . Allah ampe maisha maref sheikh wetu kipenz azd kutufaidisha na kutukumbsha kheir . Amin
Mawaidha haya yananikumbusha tukiwa msikiti Mabuluu katika mwezi wa Ramdhani miaka 18 iliopita angalia jinsi umri ulivyopita kama upepo wangapi tuliokua nao wakati huo ama washatangulia mbele ya hakki na wengine wamezeeka sana na wengine wagonjwa sabhaana llah
Mashallah mawaidha haya nayapenda Sana we we sheikh wangu kipenzi we we ndo mwalimu wangu na kila siku nahudhuria madrasa humu you tube inshallah mkono kwa mkono mguu kwa mguu mpaka tuingie sote peponi inshallah
Sheikh nashukuru kwa mawaidha yako.nimejifunza kweli.mwenyezi mungu akujaalie kheri
Mashaallah raha iliyoje kumsikiliza sheikh othman maalim
Allah amzidishe ilmu na afya na uhai sheikh Othman Maalim. darsa ya 2002 naipata 2020 18yrs later subhanallah! allah amtakabalie amali zake na amlipe na jannatul firdaws Sheikh faida nyingi nimepata kwa darsa zako. jazakallahu khayran
Allah akuhifadhi dunia na akhela
Mwenyezi Mungu akujaalie kheri' na afya njema shekhe. Unatufundisha yaliyo mema
Mashaallah sheikh napenda sana mawaidha yako Allah akupe umri mrefu na wenye baraka zake tele uzidi kuukumbusha ummah wake kwa mawaidha yako Amin
Maashaallah sheikh wetu Allah akujaalie kila la kheri sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah jazaka Allahu khair
Mola ajalie niwe jirani yako peponi allahuma amin
AAWW SHEKHE OTHUMAN MAALIM MAASHAALLAH ALLAH AKUJAALIYE MEMA WEWE NASISI FII-DUNIYA WAL-AKHER .ASANTE KWA KUTUELIMISHA ALLAH ATUJAALIYE MAFUNZO HAYOTUYAHIFADH VIFUANI
mashallah allah akupe mwisho mwema shekhe
Napokuskia hua nafs yangu ina rizika sanaaa mungu akupe maisha marefu
Naona ni mm pekeyangu nnae ridhika na saut ya shehe wetu kumbe tuko wangi mashaallah tabaraka llahu mwenye zimungu atujalie tuweni miongoni mwa wenye kusikiliza mema na kuyafwata inshaallah
it was exactly on my birthday 27/11/2002 , mwaka huo ndio kwanza niko na miaka 4 😂 .
Allah ampe maisha maref sheikh wetu kipenz azd kutufaidisha na kutukumbsha kheir . Amin
Jazakallahu kheir Allah atuongoze kwenye kheri Insha'Allah na atujaalie mwisho mwema..Amiin
nakupenda sheikh othaman maalim
Mwenyzi Mungu ata fanya wepesi wake
MashaAllah😘😘nakupenda kwa ajili ya Allah,"Allah akujaze kheri Sheikh wetu🙏🙏
MASHA ALLAH .. KILA NINAPOKUSKILIZA DAWAA ZAKO NAPATA FAIDA NA ELIMU .. ALLAH AKUJALIE KIVULI LEO DUNIANI NA KESHO AKHEIRA INSHA ALLAH
My favourite sheikh since i reverted in 2002.....
ALLAAH akuzidishiee kheri
Mwenyezi mungu akujarie kheri akupe elimu zaidi
jazakallah ul kark sheikh
shekh Allah akupe umr mref kwan kuna vitu ving navipata kupitia ww
ALLAH AKUHIFADHI HAKIKA SIJAONA SHEKHE MFANO WAKO KWA UFASAHA NA UTULIVU KATIKA DARSA ZAKO.....MM PENDA WW SANA...
Jazakallahu kheir
MashaAllah sheikh kwa mawaidha matamu unayo tupa #othman maalim
Mashallah shekh othman Malim Allah akujalie pepo ya fridausi Amin kwa sote Allah atujalie.
55j ta
mashaallah!
JazzakAAllah kher yaa mwalimu
Napenda San kusikiliza dawaa zako sheikh Allah akupe mwisho mwema
Maryam seif Ammin na cc pia
@@bintsalimalbimany9373 xgx
Chakula kizuri maalim wetu unacho tupaga mwenyezimungu Azidi kukupa Afya njema
Mashaallha
Mashallah Allah akuzidishie la kheri inshallah
Allah akufanyie wepes fil dunia wal akhera
Ameen
Mashaalh shekh aalh akuzidishie umri nimefaidika na darsa ya mwaka niliaozaliwa mimi
Na makazi Yako yawe jannnatu Firdausi
my favourite sheikh.
Pet yajamil
Ikhl
Allah akupe umri mrefu uzidi kutuelimisha
God bless you and all Muslim❤❤
Shukran ustadhi wetu,jazakallahu khaira yani nimefaidi mno
masha allah
Mashallh
allah akulipe kher hapa duniani na zaidi siku ya mwisho kwa kazi nzuri ya kutuelimisha
Shukrani maalim
Mashallah ihave listwned to his lectures over ten years may allah bless him from kenya
i realize I'm quite randomly asking but do anybody know a good place to stream new movies online?
@Elliott Ellis i dunno I use flixportal. You can find it thru google:P -houston
@Houston Brysen thank you, signed up and it seems like they got a lot of movies there :D I really appreciate it !!
@Elliott Ellis Glad I could help =)
Shukrani kwa funzo bora sheikh
mashallah Allah barik fee
shekhe naogopa kukusifiasana lakini alla akule jnnatufrdaudh
Mashallah
hii ni njia nzuri ya kufanya jihad
Allah aklpe wema fathilat shekh Othman
Jataka lahu Khaira Allah akujalie mema hapa dunia na akhera amiiin
MAASHA ALLAH
Jazakallah kher
Allah akubarik
Shukran wajazaka llahu heri
Shukran
Mungu akulipe kwa kazi nzuri
Masha ALLAAH
Meneno ya mwenyezi mungu hayachoshi hata kidogo
Ma Shaa Allah
MashaAllah
Mawaidha haya yananikumbusha tukiwa msikiti Mabuluu katika mwezi wa Ramdhani miaka 18 iliopita angalia jinsi umri ulivyopita kama upepo wangapi tuliokua nao wakati huo ama washatangulia mbele ya hakki na wengine wamezeeka sana na wengine wagonjwa sabhaana llah
Jazakkallah
Maahallah
Safi sana
Mashaallah
MashaaAllah shukran San
Mashaalah
🙏🙏🙏
Shuukran
جراك الله خيرا
Ongera mwalimu
Maalim othman Allah atukubal
Assalam alaykum
2121
.
Mashaallah allah akupe mwisho mwema sheikhs othumn maalim
Umri twaweel ya sheikh
mashaallah!
Allah akupe kheyr kaka ye2 maalim we2 sheikh wetu Othman maalim awasameh wazee we2 na waislam kw ujumla
Mashallah
Mashallah