Msichana wa chuoni Kisii afa baada ya kuanguka kwenye shimo la choo
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 9 ก.พ. 2025
- Familia moja katika kaunti ya Kisii inakabiliana na hali ya huzuni baada ya binti yao, Celine Nyangweso mwenye umri wa miaka 20 ambaye ni mwanafunzi wa mwaka wa mwisho katika chuo anuwai cha Kisii kufariki siku ya Ijumaa iliyopita.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
Pole sana. Mungu awarehemu. Ila tu watie mbaroni fundi aliyeunda choo hiyo.
Poleni
😭😭😭😭😭😭Take heart sister genda mbuya motang'i 😭😭😭😭😭
The kind of news that come from Kisii is something else. May she RIP
Andtheir song is only matiangi😢
News za huko ziko marinated
😢😢😢too painful indeed
Poleni sana 🙏🏾
Poleni 😭😭
My heart goes out to the family for the tragic loss of a loved one, may the almighty give them strength to deal with the untimely demise a promising lovely girl 🌹
Pole kwa familia
Waaa vitu singine nimajabu tu rip baby girl😢😢😢
Woiye😢😢😢
Aaaah 😢😢
Poleni sana
Aki poleni
Thisvis heart breaking a young beautiful woman gone plucked out. May her soul soldier on
😢😢😢😢😢😢sad, nipitieni guys pale kwangu😢
RIP 😢😢
Painful but you will slowly heal 😢
Poleni family ndugu na marafiki.
Polen sana
so sand but its our duties to resurface at least after 5 years😢😢😢 so sad the boyfriend has trauma😢😢😢😢😢
NEGLIGENCIA IN SCHOOL 😢😢😢😢
😢😢 horror 😮
😭😭😭😭😭😭
Strange things do happen in Kisii...shocking😢😢
Uchawi wa wakisiii
Mpenziwe alimseti
Shimo ama chooni
Ni ile choo ya shimo iko chini, so ukiingia chooni umesimama juu ya shimo, hivyo ndio imebomoka akatumbukia nayo.
Latrine washroom , yaani choo ya shimo . Unaingia ndani lakini umesimama juu ya shimo.
Ruto ameendea hadi watoto shuleni...jameni marehemu achana na watoto wasome
Sasa ruto hapa ameingililia wapi hiyo choo ni ruto alichenga
@philisnyanchama1337 egesagane keria kira
Hadi choo surely niyeye alichimba? atleast ujifunze heshima kwa watu wakubwa
@joanchepkemboi1685 ukweli ni yeye joan
@joanchepkemboi1685 ulisoma shamba la wanyama...kila kitu kikiharibika ni bwana mkimwa yele nguruwe...haha