Mkojani Razima Nionje Utamu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 29 ก.ย. 2024
  • #mkojani #nagwa #kobe

ความคิดเห็น • 27

  • @hemedmohd411
    @hemedmohd411 ปีที่แล้ว +6

    Naona mkojani umekwisha, kila siku unagombana na wenzako, munatusumbuwa wapenzi wenu tunapoteza muda kufatilia umbambamba halaf munagombana kwa ujinga season inafika mwisho wakati haijaisha.

    • @EllyMusic_
      @EllyMusic_ ปีที่แล้ว +1

      Wanazingua Sana kiukweli

  • @EmanuelHabimana-rs7ys
    @EmanuelHabimana-rs7ys ปีที่แล้ว

    Jaman mushaurimukojaniahchetama anajiharibia na anapotezawashabik

  • @zakariasamila9908
    @zakariasamila9908 ปีที่แล้ว

    Nazi ilimdondokea kwenye😀😀, Alafu ahahaha.!

  • @salehalzakwani3283
    @salehalzakwani3283 ปีที่แล้ว +1

    Team ikikamilika mpaka raha illa ndio maisha kuwekana Sawa tamaa mbelle mauti nyuma kuweni pamoja mtufurahishe na yenu iwe noti ausiyo wewe ngombe hunijui haipingwi zakayo tulieni oman pamoja sana

  • @saidmohammed2830
    @saidmohammed2830 ปีที่แล้ว +1

    ما هذا مسلسل جميل ❤ mashallah muko vzr sana time mkojani tumepata mafunzo .......

  • @saidahmed9688
    @saidahmed9688 8 หลายเดือนก่อน

    mkojani bin darwesh bin tarbush

  • @badmanno.1650
    @badmanno.1650 ปีที่แล้ว

    Mbwa mkojani... Kuogeshwa ndio kwenda kufilimbwa urembe sio...

  • @SolomonKanzooo-yp9jo
    @SolomonKanzooo-yp9jo ปีที่แล้ว

    Rudisha wakinachuvinyingi madwende samofi laadha hakuna wacha uchoyo badilika mkojani unatuboo sanq

  • @shamakisimba7991
    @shamakisimba7991 ปีที่แล้ว

    🙋

  • @labunaabouna6122
    @labunaabouna6122 ปีที่แล้ว

    Mkojani umezidisha speed skuizi unagombana sana nawenzako wengi imekua unagombana nao

  • @STEVENKAJUMBA
    @STEVENKAJUMBA ปีที่แล้ว +1

    Nawapenda Sana ninyi jamaa mkiwa pamoja .

  • @kolonerykonoradi454
    @kolonerykonoradi454 ปีที่แล้ว

    Nawakubali sana sema mmetubania kwenye Umbambamba haijaisha nyie mnamaliza 😊😊

  • @Daps26_6-ry2ig
    @Daps26_6-ry2ig 10 หลายเดือนก่อน

    Good

  • @nyandajr
    @nyandajr ปีที่แล้ว

    Lazima nionje utamu siyo (RAZIMA)

  • @zulfaom6381
    @zulfaom6381 ปีที่แล้ว

    Huyu nagwa si aligombana nae wameelewana tena

  • @abdiabdi892
    @abdiabdi892 ปีที่แล้ว

    Mkojani utashuka kiwango kwa sababu ya tabiya ya kugombana na wenzako

  • @kapondazenaida-nq5hk
    @kapondazenaida-nq5hk ปีที่แล้ว

    Mkojani unaupiga mwingi

  • @mhinajerome5964
    @mhinajerome5964 ปีที่แล้ว

    Chemistry hii siopoa

  • @shomaristuati2561
    @shomaristuati2561 ปีที่แล้ว

    Kaka acha roho mbaya kula na ulio chums nao

  • @Mwatummganga-cn1ul
    @Mwatummganga-cn1ul ปีที่แล้ว

    Mko vizuri

  • @eddiemohamed9003
    @eddiemohamed9003 ปีที่แล้ว

    🤣🤣🤣🤣

  • @kanyundomsagati3712
    @kanyundomsagati3712 ปีที่แล้ว

    Nice ❤

  • @issamkisi9689
    @issamkisi9689 ปีที่แล้ว

    Kufilimba urembe??

    • @kolonerykonoradi454
      @kolonerykonoradi454 ปีที่แล้ว

      Nawakubali sana sema mmetubania kwenye Umbambamba haijaisha nyie mnamaliza

    • @alphoncemlay3838
      @alphoncemlay3838 ปีที่แล้ว

      Huyu jamaa kichwa chake kibovu....

    • @shabanikhalfani6502
      @shabanikhalfani6502 ปีที่แล้ว

      Fuatilien vzr mkojani na nagwa hawakugomban ila alivunjika mguu wakiwa wanashoot video ndo ilamfanya asionekane kazn