KITENDO CHA UVAMIZI MOMBASA 5 October 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 7 ต.ค. 2024

ความคิดเห็น • 10

  • @Abbas-v7d7u
    @Abbas-v7d7u 2 วันที่ผ่านมา +1

    Abu shureim twaomba khutba ya sheikh ya ijumaa ❤from 🇺🇸

  • @saudamohamed7208
    @saudamohamed7208 วันที่ผ่านมา +1

    Sawa sawa sheikh Abu hamza.umezungumza vizuri.

  • @mandhriyah
    @mandhriyah 2 วันที่ผ่านมา +3

    Maneno ya hekima na busara. Shukran Sheikh

  • @RamadhanItambo
    @RamadhanItambo 2 วันที่ผ่านมา +1

    Mwamtetea governor abuu hamza ogopa Allah haifai kutetea uovu

  • @eshasaid3258
    @eshasaid3258 2 วันที่ผ่านมา +1

    Uweli maneno yako amekoseya ❤❤❤sheikh hamza hikima nikitu chabusara❤❤❤❤ wataacha kutukana watu mitandao❤❤❤

  • @cptn_salazar0019
    @cptn_salazar0019 2 วันที่ผ่านมา

    In shaa Allah haki itapatikana na kudhihirika kwa yule anaejificha kujifanya mzuri na nimwovu

  • @cptn_salazar0019
    @cptn_salazar0019 2 วันที่ผ่านมา +1

    KILA MMOJA ANAKOSA LAKE NA KILA KOSA LINA HUKUMU LAKE SO KILA MMOJA AHUKUMIWE KWA KOSA LAKE

  • @RamadhanItambo
    @RamadhanItambo 2 วันที่ผ่านมา

    Mwenye kutetea uovu au kusaidia pia yumo nae

  • @bakariweko3958
    @bakariweko3958 2 วันที่ผ่านมา

    Aya yote mwayataka nyinyi masheikh mumekata sheria ya Allah mkakubali sheria za watu ayo ndio matokeo sasa watu wakiambiwa ukweli kusu dini yao na masheikh wakweli mnapiga mwasema wanapoteza vijana leo vijana wako kwenye njia ya sawa ya ushoga sasa twaendapi sisi waislam

    • @Abbas-v7d7u
      @Abbas-v7d7u 13 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      @bakariweko3958 apo nakuunga mkono mia mia kaka ...
      Hata wakati wakina Omar kafiri alipewa haki yake ....Kweli Abuu hamzaa ameongea maneno ya busara lakini tuangalieni na uzito walile tendo lilifanyika...Hata mtume alitukanwa lakini hakuchua hatua ovu kama hiyo isitoshe jamii tulioko nayo mtume wetu atukanwa kila siku paka Allah watu wamtukana kupitia manyimbo mbona hawasimami waka nena...tuangalieni haki jamani