Wemax3 nmekuota mara tatu tubu kwa mungu swali sana sema allahamdhulillahi vuta pumvu kila baada ya sala na dua zako kila wakt mungu haman ya moyo kma aiwezekan kuzaa kwa xax chukua mtoto yatima hatama n mmoja ishi nae mfanye kma mtoto wko mlee msomeshe nko na iman kila k2 kitakuwa xw
Kila mtu anapitia magumu ktk maisha kuja na kuwaelezea uma haitakusaidia funga kwa nia ya jambo lako amka usiku swali tahajjud mlilie Mola wako fanya isghfar Mungu pekee ndo kimbilio na pia mtu ajiangalie mwenyewe matendo yake kuna muda tunapitia magumu kwa ajili ya matendo yetu wenyewe
tangia nyinyi wanawakewa kisasa mwanze kuishi maisha ya kimitandao kila kitu mwaposti sasa hii ndio tabu inayowapata..watu wanawapiga na vitu vizito na macho mabaya kisha mwateseka baadae sasa ona
Mabint ambao hamjazaa Kuna Cha kujifunza ujana hauna mwisho tuzae tu ona sasa u star ulimlevya katoa mimba p2 kama zote na bd anazd kumkufuru mungu kumfanya mbwa aish maisha kama ya bnadam kazana na maomb utazaa tusipende kujisahau
@@Deboramartin-z2m hao ndio lakn nmezungumzia kwa mabint ambao hawajazaa make Wana kas ya kutoa mimba na kunywa p2 wanajikuta Wana akil sana kuzd mungu wema uyo analia alikua miongon mwa hao
Usidate na mwanaume kwa matarajio fulani hususani sisi wenye matatizo ya uzazi mi mwanzo nlkuaga ndngnywa eti mi ntakupa mimba nlishawai kua na dem asozaa kama wewe ila saiv ana watoto koma weee utaambulia maumivu plus magongwa 😢😊
Wanawake wengi sana wanataka maisha na tamaduni za magharibi halafu wanasahau tamaduni zai na maisha ya kiafrika.uzuri unauma wake na umaarufu pia hivyo ndo dunia ilivyo.dada yangu kaachini ujitambue wewe ni nani kwa sasa na usiishi maisha ya wakati uliopita
Ila wema aliwai kubeba mimba ya kanumba na aliitoa akidai alikuwa bd anakuwa star ss so tatidho liliandha apo 😢engekuwa ana mtoto mkubwa tu kusha paula 😢
Tabia yako na mawenge yako Wema yamekuponza umejiuza sana sasa iweje utulilie sisi? Achana na mambo ya kidunia yanayokuweka karibu na shetani tubu madhambi yako mrudie Muumba wako
Huuu ni muda waku mwambiya MUNGU pekee yake maana unapo kuja mitandaoni kuna wanao furahi sana waki kuona huna raha huna furaha mwambiye MUNGU aponye moyo wako punguza marafiki badirisha mambo mengi acha kumchukulia manunu kama binadamu naamini MUNGU atakupa ukitakacho uli tumiya muda mwingi kubadiri wanaume na kosa kubwa ulikuwa unaweka mitandaoni sasa huto rudisha history nyuma pia ukumbuke kama ulifanya tunda aachane na baba wa Toto wake Mimi ninacho fikilia mpenzi wako kakufanyiya visa ndiomana uko ivo pôle sana
Pole san wema jipe amani dada usije kushikwa na ugonjwa wa presha😢😢
Wemax3 nmekuota mara tatu tubu kwa mungu swali sana sema allahamdhulillahi vuta pumvu kila baada ya sala na dua zako kila wakt mungu haman ya moyo kma aiwezekan kuzaa kwa xax chukua mtoto yatima hatama n mmoja ishi nae mfanye kma mtoto wko mlee msomeshe nko na iman kila k2 kitakuwa xw
Chimama wetu ana shida gani jamaniiii,Mbona tuna kuoenda sanaaa,Mwamini Mungu atakupa Amani na kukuvusga Salala❤❤❤❤
Mungu halali mama jipe moyo maisha mafupi ❤❤
Wema wema allah ndo miweza yote swali swala za usiku umliliy Allah
Anayo time ya kujitwika wigi😂😂😂
😂😂😂😂😂😂Akiwa na niya atafanya@@shifaaal-baity4503
Pole sana weme wetu muñgu Yuko pamoja nawew 🙏🏻🙏🏻
Uyue dada anaskili wallah
Pole Wema Mungu hatakuacha amini
Nitafute mm nikupe dawa inshallah rutapata mttt tu😊
Hata Mimi naitaka kama unayo hiyo yakupata mimba naiomba na Mimi
Na mm shoga..
What happened??
Kila mtu anapitia magumu ktk maisha kuja na kuwaelezea uma haitakusaidia funga kwa nia ya jambo lako amka usiku swali tahajjud mlilie Mola wako fanya isghfar Mungu pekee ndo kimbilio na pia mtu ajiangalie mwenyewe matendo yake kuna muda tunapitia magumu kwa ajili ya matendo yetu wenyewe
Umeongea ukweli mashaallaah mashaallaah alhamdulillaah 🎉🎉🎉❤
Kuongea ni Moja ya kupona kama hukuwai kupata changamoto ya msongo hauwezi kuelewaa
tangia nyinyi wanawakewa kisasa mwanze kuishi maisha ya kimitandao kila kitu mwaposti sasa hii ndio tabu inayowapata..watu wanawapiga na vitu vizito na macho mabaya kisha mwateseka baadae sasa ona
umenena siri nzito sana, ila si rahisi kueleweka kwa nyakati mbaya hizi tulizo nazo.
Wateja wangu watarajiwa mnaangalia video hii
😂😄😄😄😄 CH DUTY TRUCK WANATANGAZA MAGARI BORA KUTOKA CHINA 😀😃😃
@Caltexjr 😅😅 si ndio
Njoo kwang
Pole
Rudi kwa Allah ndo mwenye kuondosha mitihani yote
Allah si Mungu... Mungu ni YAHWEH
Jesus is the way, truth and life. Allah ni nini😢😢?? We serve Yahweh, Messiah
😢😢ninitena kipenzi
Umalaya mbaya,, iyo dhambi ya kutoa mimba, ndo utoe mafundisho kwa wadogo zako awa wa mwendokas
Mabint ambao hamjazaa Kuna Cha kujifunza ujana hauna mwisho tuzae tu ona sasa u star ulimlevya katoa mimba p2 kama zote na bd anazd kumkufuru mungu kumfanya mbwa aish maisha kama ya bnadam kazana na maomb utazaa tusipende kujisahau
N kwl Mimi mwenyewe sai nko saudi na nataman mtoto nko na 24yrs nkifka 254 napenda zaa kma panya imeniuma wallahi🥹
Wewe wengine sio p2 wala kutoa ila hawajawai kuzaa yaan wanataman ndio hawapat
@@Deboramartin-z2m hao ndio lakn nmezungumzia kwa mabint ambao hawajazaa make Wana kas ya kutoa mimba na kunywa p2 wanajikuta Wana akil sana kuzd mungu wema uyo analia alikua miongon mwa hao
@@LidyaJoctanukiambiwa uthibitishe utathibitisha?😢
Usihukumu mtu na haukuwepo Wala kumuona wengine uzazi wao ni kama washinda Wala sio u star
Atubu kwa mungu na akamlilie mama ake alisema mama ake asimfatilie kwenye Maisha yake pia amuache mtoto yule whozu ni rahana
Hata mm napitia kipindi kigumu Sina ada ya mtoto
Pombe tamu eeeeeeeh
Usidate na mwanaume kwa matarajio fulani hususani sisi wenye matatizo ya uzazi mi mwanzo nlkuaga ndngnywa eti mi ntakupa mimba nlishawai kua na dem asozaa kama wewe ila saiv ana watoto koma weee utaambulia maumivu plus magongwa 😢😊
Wanawake wengi sana wanataka maisha na tamaduni za magharibi halafu wanasahau tamaduni zai na maisha ya kiafrika.uzuri unauma wake na umaarufu pia hivyo ndo dunia ilivyo.dada yangu kaachini ujitambue wewe ni nani kwa sasa na usiishi maisha ya wakati uliopita
Kuna watu wana vipindi vigumu ww yani mpaka simu kubwa unayo ya kujichukua Huna matatizo ww
Nenda kwa Irene Uwoya akusaidie. Mwenzio amechagua njia sahihi haliilii tena
Kipindi kigumu na umefuga kucha na wigi kichwani 😮
Amia kwa lisu
Wema naamin utapata mtoto hata mm nilikua natafuta mtoto miaka nane saiv nina mimba niliomba kwa mungu nmepata
Congratulation🥰
@@AshaBakari-lm9zx Asante
WEMA KWANI WOZO UPWAPI.??
Mtafute Q Chief alisema tatizo lako la uzazi anaweza kulitatua maana ashakuwa mganga wa kienyeji na mtoto utapata unafeli wapi sasa wema
kila mtu ana mapito yakee, napitia kipindi kigumu mno ni mwaka wa 12 sina kazi.
Ninimpenzi
Duh
Ila wema aliwai kubeba mimba ya kanumba na aliitoa akidai alikuwa bd anakuwa star ss so tatidho liliandha apo 😢engekuwa ana mtoto mkubwa tu kusha paula 😢
Wewe usitufanye sie wapumbavu hamuambiliki kila mkiamka mnaamka na pipe za watu sasa unalia nini rudi kwa mungu
Uyu dada naye anapendaga kulia lia sana why ? Kila siku yeye ndo mwenye matatizo nakutafuta uruma ya watu , Toka apa ...kachawi
Watu wa kiki
Tabia yako na mawenge yako Wema yamekuponza umejiuza sana sasa iweje utulilie sisi?
Achana na mambo ya kidunia yanayokuweka karibu na shetani tubu madhambi yako mrudie Muumba wako
Public sympathy
Kudanganya watu. Tu.....kajitwika wigi😂😂😂
Huuu ni muda waku mwambiya MUNGU pekee yake maana unapo kuja mitandaoni kuna wanao furahi sana waki kuona huna raha huna furaha mwambiye MUNGU aponye moyo wako punguza marafiki badirisha mambo mengi acha kumchukulia manunu kama binadamu naamini MUNGU atakupa ukitakacho uli tumiya muda mwingi kubadiri wanaume na kosa kubwa ulikuwa unaweka mitandaoni sasa huto rudisha history nyuma pia ukumbuke kama ulifanya tunda aachane na baba wa Toto wake Mimi ninacho fikilia mpenzi wako kakufanyiya visa ndiomana uko ivo pôle sana
Lipa madeni ya watu Kwanza, Tapeli mkubwa wewe unamlilia Nani? Malipo hapa hapa Duniani
Madeni yapi? .
S media’s life bhana 🤣🤣🤣🤣 stupidity too😅😅😅
Kabisa.....na Hilo wigi halimkeri😂
Watu wa kiki