JINSI YA KUPIKA MZINGA WA NYUKA YENYE SHEPU YA HALF MOON | MAPISHI YA RAMADHAN #3 | MAPISHI RAHISI
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- Assalamu aleikum. Recipe ya leo ni ya mzinga wa nyuki yenye shape ya half moon. Ni nzuri sana na rahisi kutengeneza. Na pia ni nzuri sana wakati wa ramadhan
Mahitaji:
2 cups flour / Unga
3/4 cup warm water / Maji
1/2 tbsp yeast / Hamira
1 tbsp sugar / Sukari
2 & 1/2 tbsp milk powder / Maziwa ya unga
3 tbsp oil / Mafuta
a pinch of salt / Chumvi
triangle cheese / Jibini za pembe tatu
sweetened condensed milk
Masha Allah
Shukran sana kwa tupa ujuzi wako Allah kubarik na pita ngependa utufundishe kupika vitumbua
Mashaallah. Ramadhani kareem
Mashallah looking delicious ❤🔥
Mashaallah
Asalamulekum vip hali kilakitu nikiangalia kutoka kwako huanajalibu mashaallah leo nimejalibu mzinga wanyuki
Mashallah n nzur sn
Ma Shaa Allah so nice
Maashallah, Allah akuzidishie kila la kheri
Bismillah Masha Allah nice
Mashalha shukran
Mashallah Alhamdulillah yaamm
MashaaAllah
Shukran sana
Napenda mapishi yk,huwa najaribu
Mashallah
MashaAllah...very soft
Laini
Yes na tamu sana😋😋
mashaallah
Ahsante habibty.munatusaidia sihaba .Allah awabariq
asante pia kwa kuangalia video
Ramadhani Karim kipenz
A.alleykum naomba kuuliza, ni lazima uweke chees
Thanks
Shukran habbty
afwan
Maaashallah allh akuzidishie
Ameen shukran❤❤❤
Umetumia cheese gani?
👌👌👌👌👌
Nzuri
Nc
😋😋😋😋😋
Kwanini sahani mbili
Mashaa Allah Naomba my number yako
Masha Allah😂😋
MashaAllah dadangu hongera sana unaweza nisaidia na namba ya simu uweze kunifunza mengi zaid
Pls send me this receipe in writing dr
Hiyo cheiz 2napataje mpenz
cheezi siijui do nini dada naomb kueleweshwa
Is it a must to put the cheese in?? What can l use instead of the cheese
Chocolate
Oven yangu haitumii stima. Nafaa kuwasha moto wa juu na chini ama wa chini peke yake?
What cheese did u use
Naomba kuuliza nazitaka hizo treya kama hizo zinappatikana wapi please
Kufunguka moto ju wala cini njo na uliza nijuwe mimi ni mpya
Naweza kosa kuweka cheese?
Asalam alaikum
Naweza kujuwa vikombe viwili inakuwa gram ngapi ?
Sababu vikombe vingine vinakhtalifiana ukubwa
unga vikombe viwili ni 250grms dear. Na vikombe nilivyotumia ni zile maalum kwa kupimia zinaitwa measuring cups
Km sina hicho Cha kupimia unga
Aa nauliza hii hamira ya mzinga wa nyuki unayotumia ni instant yeast ama dry
Nauliza chiz nini?
Kama huna hizo cheers unafanyaje
What kind of cheese did you use?
nimetumia zile cheese za triangle. kama uko instagram ni dm nitakutumia picha yake
Ok shukran
Is that Dry or Instant yeast?????
Instant yeast
@@Mapishirahisi
Shukran Habibty ❤️
Mashaallah
Masha Allah
😋😋😋
Masha-Allah