Navy Kenzo - Company (Official Video)

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 18 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 710

  • @josephchuwa9884
    @josephchuwa9884 ปีที่แล้ว +110

    Waha watu wapo Vizuri Sana Kwa Tanzania Ila Sisi tu Ndo Tunachelewa kuwaelewa Ila Ni mziki Mzuri sana midundo tofauti Sauti ma mdundo vinakua ni Ndugu ata ukiwasikiliza

    • @Classicmusic0123
      @Classicmusic0123 ปีที่แล้ว +3

      Huyo sio muha😄😄mkulya hyo we vp😄jamn watu waongo

    • @welcometoeat165
      @welcometoeat165 ปีที่แล้ว +5

      ​@@Classicmusic0123 kakosea kuandika alitaka kusema hawa watu wako vzur ila ndo kuandika waha

    • @joycekisamo4896
      @joycekisamo4896 ปีที่แล้ว +5

      The best group in Tanzania 🇹🇿, I love this couple ❤....Yaani muziki wao is at another level! Wanahitaji promo ya hali ya juu watu wajue what they are miss; THE BEST

    • @joshuamuro9494
      @joshuamuro9494 ปีที่แล้ว

      @@Classicmusic0123 Siyo Mkulya Ni Mzanaki toka Mara

    • @benjaminwaryuba3630
      @benjaminwaryuba3630 ปีที่แล้ว +3

      mwishowe wakenya waje wawachukue😅

  • @emmynoby9806
    @emmynoby9806 ปีที่แล้ว +4

    Mko mbele sana ya muda mnfanya magoma ambyo dunia nzim inawza kuskiliza

  • @thebestmanever4903
    @thebestmanever4903 ปีที่แล้ว +9

    Hawa Bongo bahati mbaya walahi Let us support them guys

  • @stoner21
    @stoner21 ปีที่แล้ว +57

    Watanzania munashangaza sana ... you want international artists na muko na Navy Kenzo wako underrated sana ... ni vile hamujui good music ... kazi ni kumkimbilia diamondy tu... Tanzanias and E.african we need to appreciate Navy Kenzo... one love kutoka Kenya❤

    • @christineakutgeorge
      @christineakutgeorge 8 หลายเดือนก่อน +1

      As a Tanzanian, i totally agree. We need to support these guys. Its sad that they have many hits but people only watch diamond's songz, wasafi bla bla bla.

    • @KingmossanKibuda
      @KingmossanKibuda 6 หลายเดือนก่อน

      Asingefanyaga collaboration na mondi now angekuwa far away huyu mwamba

  • @hallelujah-wm7hd
    @hallelujah-wm7hd 11 หลายเดือนก่อน +6

    Nlikuw najuaga huu wimbo wa msanii kutoka nigeria mjue

  • @KingOrongoro
    @KingOrongoro ปีที่แล้ว +1

    Shuly Moto kibiriti 🔥🤖

  • @milles1378
    @milles1378 ปีที่แล้ว +36

    Watu Wanafanya Kazi sanaa,Cha ajabu binadamu tunapenda kuona watu wakifeli pekee,Tusapoti watu wanaojituma.#NAVYKENZO wanastahili kuwa palee Juu.

    • @stephanopeter
      @stephanopeter ปีที่แล้ว

      Basi na mim mnisaidie nifike walipofika ndugu zangu maana na mim ni msanii

    • @christineakutgeorge
      @christineakutgeorge 8 หลายเดือนก่อน

      Kweli

  • @officialisaiah3979
    @officialisaiah3979 ปีที่แล้ว +2

    Kwanza kitendo cha kutokuwa mtu wa skendo skendo hapa bongo ume maliza baba mungu akupe nuru ewe na your family navy k. AIKA FOR LIFE

  • @Reggae_Bean_
    @Reggae_Bean_ ปีที่แล้ว +9

    All I Need.🔥🔥😘😘😘
    #NavyMob

  • @westchugagang5323
    @westchugagang5323 ปีที่แล้ว +4

    Natamani kuona colabo Yao na KING KIBA 👑👑

  • @Allen_Media
    @Allen_Media ปีที่แล้ว +2

    Katika Kundi ambalo nalielewa sana Tanzania miaka yote ni Hilii kama unalipenda na ww usiache Bila kulike❤❤

  • @musafadhili7950
    @musafadhili7950 ปีที่แล้ว +6

    For me navy kenzo the best artist my country 🇹🇿 kwanzaa achana na nyimbo angaria mavai yao utawapenda tyu..❤

  • @emmanuelpeteremmanuel8755
    @emmanuelpeteremmanuel8755 ปีที่แล้ว +1

    Kwanza video zao siko simple hakuna mfano alafu zakiwango cha kupitiliza hakuna mbwembwe zakiivyo ziko poa. Big up my brother Emmar

  • @IssaMwano-cy8xd
    @IssaMwano-cy8xd ปีที่แล้ว +1

    Wawape tuzo wasiwape hawatowaweza, mimi kuenderea kuwaunga mkono ni tuzo # NAVY KENZO familly

  • @muangealfred3925
    @muangealfred3925 11 หลายเดือนก่อน

    Thought ni naija song❤️ kumbe is our very own💥💥💥

  • @MeshackMalemba-zm6cl
    @MeshackMalemba-zm6cl 7 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Mzik mzur kutoka iridhi ya upendo tz sema tunaona kawaida ila hawa watu ni file kinoma et🔥🔥🔥🔥

  • @Tozzyclever
    @Tozzyclever ปีที่แล้ว +3

    Yes dady and my momy they come on compan💯💯💥💥

  • @casmirymusic
    @casmirymusic ปีที่แล้ว +1

    Tanzania on the map🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @winniemakory4516
    @winniemakory4516 ปีที่แล้ว +198

    I don't understand why they are so underrated,when all their songs are always lit.

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว +7

      Because they are Tanzanians and they use English the most in their works

    • @xavierkiprop1133
      @xavierkiprop1133 ปีที่แล้ว +5

      Maybe cz they don't sing erotic kinda music

    • @thabitdaudi9815
      @thabitdaudi9815 ปีที่แล้ว +1

      Ila kiukwel hawana hasira kama zamani hata ukisikiliza saut ya nahreel sio ile ya zaman kabisa haina mvuto likewise aika. Dont get me wrong i am their biggest fan.i once met nahreel cool dude and all but something is off with them .i dont feel the anger in their music anymore

    • @TelenovelaCastsUpdates
      @TelenovelaCastsUpdates ปีที่แล้ว

      Navy Kenzo - Company (Amapiano Remix)...th-cam.com/video/NvYzd37Tu6g/w-d-xo.html

    • @alexandermwaba8032
      @alexandermwaba8032 ปีที่แล้ว +7

      HERE IN ZAMBIA WE PLAY ALL THEIR SONGS

  • @kelvinsang5333
    @kelvinsang5333 ปีที่แล้ว +7

    I don't understand why this song has 85k views this should be millions guys let's push it to a million hata ifeaturiwe kwa us billboard

  • @ROSEMIL
    @ROSEMIL ปีที่แล้ว +1

    lots of Love from Kenya🤎🤎🤎🤎

  • @hakiwaletanomusic
    @hakiwaletanomusic ปีที่แล้ว +12

    Tanzania !!! Tanzania!!! Tanzania!!! you are well represented here I repeat you are well represented!!!!! forget those fake talents, this now what we call real talents!!! ❤❤❤❤❤

  • @KevinWakliFitness
    @KevinWakliFitness ปีที่แล้ว +11

    Tanzanians don't know how much we Kenyans love them...Tanzania🇹🇿 Kenya🇰🇪 loves you❤

  • @laxmajor
    @laxmajor ปีที่แล้ว +1

    Honger snàaa kenzo🇹🇿😍

  • @casmirymusic
    @casmirymusic ปีที่แล้ว +1

    Company🔥🔥🔥🔥💪🏻

  • @givenmsule6891
    @givenmsule6891 ปีที่แล้ว +4

    Kubal sana Mr/msr ❤️

  • @issanaseeb7699
    @issanaseeb7699 ปีที่แล้ว +1

    Wasanii wengine wanahitajibkujifunza kupitia hawa Navy kenzo ❤

  • @ntmusic1091
    @ntmusic1091 ปีที่แล้ว +5

    Companyyyy
    Let's go Navy K

  • @rasvegas8991
    @rasvegas8991 ปีที่แล้ว

    Kwa Nigeriaa ni hit kubwaa sanaa hiiii semaa nyiee mpo mbele ya mdaa kwahyo bongo kuelewaa ngum lkn oneday

  • @eddykyando
    @eddykyando ปีที่แล้ว +10

    I think it's gonna be best music video of the year

  • @emmynoby9806
    @emmynoby9806 ปีที่แล้ว +1

    Wanangu mnafany MABALAAA Ila wabongo wanachelewa kuwajua cjui kwanni

  • @cenzohmovies2057
    @cenzohmovies2057 ปีที่แล้ว +4

    ☀☀☀Bumu la moto ili acha lilipuke

  • @lawrencebirya7611
    @lawrencebirya7611 ปีที่แล้ว +1

    🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥banger

  • @GeronimoMorgans
    @GeronimoMorgans ปีที่แล้ว +1

    Original Instincts, The Industryyyyyyy❤

  • @edwardfaraji1133
    @edwardfaraji1133 ปีที่แล้ว +1

    Mnaweza aisee...

  • @isayafaustino4613
    @isayafaustino4613 ปีที่แล้ว

    🗣"ya guyz hatuwawezi"🙌🙌🙌

  • @joelwatharanjuguna6607
    @joelwatharanjuguna6607 ปีที่แล้ว +1

    Jah know me love dis chune🔥🔥
    Di chune siiiiiik2️⃣0️⃣2️⃣3️⃣🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @edenilyimoedenilyimo-we6dg
    @edenilyimoedenilyimo-we6dg ปีที่แล้ว +2

    Tunakubali ngoma zako kaka umekaa Sana kimya kaka

  • @snappykollinz1
    @snappykollinz1 ปีที่แล้ว

    🔥🔥🔥🙌🏾🙌🏾🇨🇲🇨🇲🇨🇲🇨🇲 Awaaaaaah

  • @festosanjo1442
    @festosanjo1442 ปีที่แล้ว +21

    You guys inspire a lot of Tanzania artists but never get credit! I declare yooo Tanzania this guys need their flowers....Tanzania to the world

  • @nyantuubilo2477
    @nyantuubilo2477 ปีที่แล้ว +41

    Let me be honest,my favorite artists in east Africa are these navykenzo hit like if you agree too 👍🎉

  • @akuaadu4003
    @akuaadu4003 4 หลายเดือนก่อน +1

    Love you my Tanzanian brothers and sisters from Ghana 🇬🇭

  • @phersir
    @phersir ปีที่แล้ว +1

    Realest couple in the 255...Biggest music duo

  • @musicworldwide2625
    @musicworldwide2625 ปีที่แล้ว

    Hivi sasa ndiyo vyuma ebu kula chuma hicho ❤❤❤❤

  • @mohamedngotwike7969
    @mohamedngotwike7969 ปีที่แล้ว

    Yan nyimbo Kali video ya moto kinoma daah awa watu wanajua bhn🔥🔥

  • @onlyl3adz
    @onlyl3adz ปีที่แล้ว +5

    The One Music Couple That Always Delivers

  • @mdl6463
    @mdl6463 ปีที่แล้ว +3

    Yan mziki wao utafika mbali

  • @kevinskyes7058
    @kevinskyes7058 ปีที่แล้ว +1

    Navy kenzo to the world

  • @disrkmedia2694
    @disrkmedia2694 ปีที่แล้ว +9

    These Guys definitely knew what I was thinking.....I wanted this video more than anything 😅😅😅😅😅

  • @justinmganiwa2790
    @justinmganiwa2790 ปีที่แล้ว

    NAOMBA MUACHIE VIDEO ZOOOTEEE KWENYE ALBAMU....TAFADHALI

  • @achilleusbushobora9072
    @achilleusbushobora9072 ปีที่แล้ว +1

    kwani #navykenzo nyinyi ni wabongo kweli?... This is pure afrobeat... the melody and the beat zote kama zile za nigeria.... mtu ambae awafahamu kuwa nyinyi ni waTz anawezathani nyinyi ni wanigeria au taifa lolote tokea west Africa.... The song is fire

  • @dinyoabeli9028
    @dinyoabeli9028 ปีที่แล้ว +1

    Hot song

  • @DaudiSospeter-w7l
    @DaudiSospeter-w7l ปีที่แล้ว

    More life munajua kaz bwana hamn kelele kaz 2🙏🙏

  • @shaddoofficiodpozz3297
    @shaddoofficiodpozz3297 ปีที่แล้ว +18

    East Africa… with this duo we can explore our music industry to the world… let’s come together and support our own❤

  • @hillarylamar4491
    @hillarylamar4491 ปีที่แล้ว

    wapewe maua yao❤

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 ปีที่แล้ว +4

    My all favourite couple 🥰😍❤️❤️❤️❤️....this is Banger!!!

  • @TigerRobmshu255
    @TigerRobmshu255 ปีที่แล้ว +3

    All Music from this guys always ni special kwa couple yenye upendo wa kweli,, ❤❤❤❤

  • @johnycavishe5207
    @johnycavishe5207 ปีที่แล้ว

    Navy kenzo woohf Ni kwere nawaelewaga Sana 💪 mnajuwa knoma

  • @samwel2768
    @samwel2768 หลายเดือนก่อน

    Jamani kwann hawa jamaa wanafanya mziki mzur lkn wanazungumziwa wakina diamond na wengine , mm hawa ndo wasanii wangu namba moja I appreciate you

  • @sarahbitaliani246
    @sarahbitaliani246 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu nawapenda 10 yrs niko na nyie..Today its our annivessary with Navykenzo❤❤❤..Nawapenda sana

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 ปีที่แล้ว +1

    Company ❤🎉

  • @SaidRamadhani-g3v
    @SaidRamadhani-g3v ปีที่แล้ว

    Na enjoy huu mziki kinoma daaah yani mwili wote unasisimka kenzo ❤❤❤❤❤

  • @sammymayieka8414
    @sammymayieka8414 ปีที่แล้ว

    Kazi safi bro.....Napenda iyo btha

  • @lydiaceasar4738
    @lydiaceasar4738 ปีที่แล้ว

    Kiukweli Kwa hapa Tanzania nyie ndio mnaimba 🔥🔥🔥🔥🔥

  • @issahhussein1922
    @issahhussein1922 ปีที่แล้ว

    Love from USA 🇺🇸 nawakubali sana Navy Kenzo hamnaga kazi mbovu

  • @rheytag3761
    @rheytag3761 ปีที่แล้ว +1

    Eeeeeeeeeh, best track for East Africa this year.
    Abeg I love Kenyan sings👌

  • @razackamil834
    @razackamil834 ปีที่แล้ว

    Kama mbele kizungu so Cha kubabaisha 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @kachupazewinner1351
    @kachupazewinner1351 ปีที่แล้ว +1

    Nawakubali sana yani ninavyo cheki nyimbo zenu naona kabsa mnanipa furaha

  • @ashminaabdulla8946
    @ashminaabdulla8946 ปีที่แล้ว

    Natulia kwanza maana nisije kosea kukoment maana sijui kiswahili naongea #Rasia 🔥🔥🔥 good job Bless 🙏

  • @noxxete
    @noxxete ปีที่แล้ว +7

    Much love from Kenya..been ur biggest fan since the days of Game

  • @chemicaliealvadon7669
    @chemicaliealvadon7669 ปีที่แล้ว +2

    Kisii, Kenya approved 🔥

  • @SophiaMasawe-ro8ed
    @SophiaMasawe-ro8ed 5 หลายเดือนก่อน

    Nawapenda sana dada yangu kaka yangu,chuga Moja,nawaombea mungu muwe pamoja adi kufa

  • @youngkesh3237
    @youngkesh3237 ปีที่แล้ว +1

    hit of the month

  • @josephsamson2585
    @josephsamson2585 ปีที่แล้ว +1

    Bonge la videooo ❤

  • @sarahbitaliani246
    @sarahbitaliani246 4 หลายเดือนก่อน

    Hawa watu nawapenda 10 yrs niko na nyie..Today its our annivessary with Navykenzo❤❤❤

  • @joevang4685
    @joevang4685 ปีที่แล้ว

    Hamja wah kuniangusha, bonge la ngoma.. Sema mnabaniwa sana na vyombo vya ndani...bro fungua tv yako

  • @KatimokForestExclusive
    @KatimokForestExclusive ปีที่แล้ว +1

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 We approve. Strictly good music.

  • @witnesskinawary5924
    @witnesskinawary5924 ปีที่แล้ว

    Ukiskia tunawakilisha Tanzania kimataifa hiii ndio tafsiri yenyewe sasa....hongera Aika & Naharel

  • @balya47
    @balya47 ปีที่แล้ว

    Company 🔥
    Iko Bomba sana

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 ปีที่แล้ว +2

    International music⁦🕊️⁩💗

  • @eddykyando
    @eddykyando ปีที่แล้ว +10

    Company music video is what I want right now 🔊🔥

    • @Thekidp3702
      @Thekidp3702 ปีที่แล้ว +1

      You are a true fan

    • @eddykyando
      @eddykyando ปีที่แล้ว +1

      @@Thekidp3702 thank you🙏

  • @deemusique2426
    @deemusique2426 ปีที่แล้ว +25

    If there is any music duo that I respect so much in Tanzania is The Navy Kenzo,the fact that they are so unique,authentic,they have originality,it makes me love them more just the fact that they can write a whole lyrics without adding even a single Kiswahili word.They've gone beyond the border in Tanzania's musical landscape of consistently dropping hits in English,that no other artist in Tanzania has ever done, big fan of you guys,God bless you abundantly,May God give you company lots of love from Kenya❤❤❤❤❤

    • @dojaartstza3815
      @dojaartstza3815 ปีที่แล้ว

      Harmonize🤣

    • @kamogelomosweu1869
      @kamogelomosweu1869 ปีที่แล้ว +4

      So you are celebrating them for not using Swahili 😢. That's inferiority complex from you because Swahili is native language and most people of Tanzania I think understand it better than English. Look at Nigerian artists, they don't conform to anyone they use their languages with English and they still get big recognition.

  • @DurahRich
    @DurahRich ปีที่แล้ว +1

    Navy Kenzo💯🙌🙌🙌

  • @samwel2768
    @samwel2768 11 หลายเดือนก่อน

    Jaman navy kezo naona km ndo angekuwa staa namba 2 after diamond I appreciate you bro good work na mm ni mshabiki wake namba moja

  • @yuzko
    @yuzko ปีที่แล้ว +3

    Shully on the track boy 🔥🔥🔥🔥

  • @ZakiaSongoro
    @ZakiaSongoro 9 หลายเดือนก่อน

    This song sikuwah kujua kama wameimba wao it's lit🎉🎉🎉

  • @RehemaDoctor-dr4wv
    @RehemaDoctor-dr4wv ปีที่แล้ว

    Kusema ukweli navy kenzo na Aika nawakubali sana asilimia mia Yani katika watu munaojiheshimu ni nyie peke yenu na Wala hamna skendo za hovyo ni basi tu Sina uwezo wa kuwafikia ningewapa tuzo ila tu mungu aendelee kuwalinda Siku zote na kuwaongoza katika njia iliyo njema na familia yenu🙏🏻🕊️🙏🏻

  • @Officialsilvano
    @Officialsilvano ปีที่แล้ว

    Wazeee naombeni ata like Tano kwa hii couples ❤

  • @SoccerTanzania
    @SoccerTanzania ปีที่แล้ว +2

    Piga like kwa Navy Kenzo wake👍👍👍👍

  • @wolfgunyusuph472
    @wolfgunyusuph472 ปีที่แล้ว +78

    NAVY KENZO YOU WILL BE NOMINATED IN AFRICA AWADS LIKE AFRIMMA AND OTHER AWARDS WOLRD WIDE 🔥🔥 YOU DID IT GUYS 📸🎥💯

    • @festosanjo1442
      @festosanjo1442 ปีที่แล้ว +3

      I agrre with ya coz this masterpiece is so great!

    • @wolfgunyusuph472
      @wolfgunyusuph472 ปีที่แล้ว +2

      Great, because the always produce highly songs 🔥🔥🔥see them to the next level

    • @TelenovelaCastsUpdates
      @TelenovelaCastsUpdates ปีที่แล้ว

      Navy Kenzo - Company (Amapiano Remix)...th-cam.com/video/NvYzd37Tu6g/w-d-xo.html

    • @linusthuranirajoh9795
      @linusthuranirajoh9795 ปีที่แล้ว

      ❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥📌📌you can think nevy kenzo he's from Nigeria the way he sing

  • @KevoMazziwa
    @KevoMazziwa ปีที่แล้ว +2

    The most underrated TZ group. .. fire music everytims ... Only Tz group with potential to break international

  • @blackpanther4825
    @blackpanther4825 ปีที่แล้ว +1

    These two can stand whatever comes their way. Wanajua sanaaaaa

  • @jacksonamos2008
    @jacksonamos2008 ปีที่แล้ว +1

    Safi sana

  • @briankihash
    @briankihash ปีที่แล้ว +5

    The album is dope and my favourite track off the album is this song company 🔥🔥🔥

  • @Selfcelebmedia
    @Selfcelebmedia ปีที่แล้ว +3

    man this is the best music group of 21st century in TANZANIA

  • @SamwelAziz-pb4zz
    @SamwelAziz-pb4zz ปีที่แล้ว +1

    From Kenya wapi likes

  • @dereknkotanyi112
    @dereknkotanyi112 ปีที่แล้ว +2

    I love this song 🔥🔥🙌🏾...eiishhh

  • @victor_wahome_official
    @victor_wahome_official ปีที่แล้ว +7

    Navy kenzo is baaack like he never left🔥

  • @DevilsWithEgo
    @DevilsWithEgo ปีที่แล้ว +30

    While other musician been busy dropping music, Navy Kenzo are busy dropping an ART🔥. If this could be hung up, I'd put this art piece on my wall. Everything about this is perfect. The visuals, the music, the location, the energy. I really love Navy Kenzo's work. 🇰🇪🔥

    • @BHC4258
      @BHC4258 ปีที่แล้ว

      I feel you brother 😎

  • @Gentlebixxy
    @Gentlebixxy ปีที่แล้ว +4

    Navy kenzo are always the maestros good music 💚