Umewapa wadada vichaaa maana Kuna mtu anaomba kvant iwekewee sukar kidogo...
Kubar saana @mc_mboneke and Gaddizzo
Kumbe ni Msafwa halafu amekaa kimya😂😂
Hii Dunia ina Viumbe 🙌🙌irudiwe irudiwee😆😆😆😆
Saf
Hugo jamaaa ananichekesha sana yani Milan in in hang alia yaniii dahhhhh ninoma sana
Yani nacheka tu 😅😅😅😅
Ahahhaha
Mbona uyu jama anamfatiliya tule kijana waki naigeria izo comedy zake zakuongeya uku anakimbia
Malawi Tanzania 🇹🇿