ASANTENI SAANA MASHABIKI WETU Tunawashukuru sana kwa support yenu kubwa mwaka 2024! Bila nyinyi tusingefika hapa. Tunaahidi kuendelea kuwapa kazi bora zaidi mwaka 2025. Tafadhali endeleeni kutusapoti kadri tunavyokuja na tamthilia mpya za kusisimua kupitia channel yetu Twizy Dady TV Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya safari yetu!
Jamani nipo hapa tokea kenya 🇰🇪 😳 ..nawaombeni like jamani kwenye hii movie amjawai nipa like hata kumi leo tunapo enda kufukicha mwaka like angalau na mtambarikiwa twizy pole sana❤❤❤
Happy New year 🎉🎉🎉❤.Kazi nzuri congratulations team Twizy daddy.Huyu kijana alowasaidia ni handsome mashaallah.Mungu awape maisha marefu Ndugu zangu.Nawapenda bure🎉❤
ASANTENI SAANA MASHABIKI WETU
Tunawashukuru sana kwa support yenu kubwa mwaka 2024! Bila nyinyi tusingefika hapa. Tunaahidi kuendelea kuwapa kazi bora zaidi mwaka 2025. Tafadhali endeleeni kutusapoti kadri tunavyokuja na tamthilia mpya za kusisimua kupitia channel yetu Twizy Dady TV Asanteni sana kwa kuwa sehemu ya safari yetu!
Ameen
Ameen
Ámen ❤
Amina
Amen happy new year 🎉
Wao kumbe tayar mumeshatuwekea maua yenu ya mwaka mpya🎉🎉🎉❤
Jamani Leo nimewahi hatari nawapenda wote inshallah tuumalize usiku waleo tukiwa pamoja Ameen 🙏🙏❤️🥰
Leo tuna funga mwaka na kaka twizy na mai 🎉🎉🎉 nawapenda sana ,sana Nipo upande wako kaka twizy dá 😊 nakukubali sana!sharhk Khan wa tz 🎉
Napatikana 🇲🇿
Asantee twizy dady kwa elimu mnayotupa mungu azid kuwaimarisha nawatakia her ya mwaka mpya!!!
Jamani niko kenya Nawapenda sana na muwe na mwaka mpya inshaallah tuko bega kwa bega yiyi na tutazidi kuwapenda ❤
Jamani hii muvie naipenda sana toka nimeanza kuifuatilia
Poleni sana mai na twizy mungu Akusaidia
Jamani nipo hapa tokea kenya 🇰🇪 😳 ..nawaombeni like jamani kwenye hii movie amjawai nipa like hata kumi leo tunapo enda kufukicha mwaka like angalau na mtambarikiwa twizy pole sana❤❤❤
Mm hapa mukenya ❤ nawapenda nyote
Dah ndugu wanachukiana ivi mungu asitujalie🤲🤲
Leo Niko wa kwanza nipeni like zangu 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮
Bado masaa tu tuingie 2025 inshallah mungu atujalie mwaka huu 2025 uwe wa baraka n furaha n maendeleo🎉🎉🎉🤲🤲🙏
Happy New year 🎉🎉🎉❤.Kazi nzuri congratulations team Twizy daddy.Huyu kijana alowasaidia ni handsome mashaallah.Mungu awape maisha marefu Ndugu zangu.Nawapenda bure🎉❤
Nimekua wa kwanza naomba like zenu🇰🇪
May pole❤❤😊
Twizy na Mai mumepezana sana❤❤🎉
🎉🎉🎉🎉Mmewahi kabla tufunge mwaka HAPPY NEW TO ALL
My mm naitwa saed kutoka Mozambique nakukubali kinoma yani na kubali kazi zako
Mtu baki anaweza kukusaidiya kuliko ndugu 🎉❤
Ukweli ndio maana wakasema, mtengemea cha nduguye hufa masikini
Unaweza kaka
One love from Burundi nipe like zangu
Nimefrahi kumuona malesa ❤❤❤❤❤❤
Twizy na Mai mko vzr jmn nawapenda sana
wakwanza kama unaamin mungu atakuvusha ciku ya leo type ameen
Twizy na Mai best actor nawapenda sana ♥️♥️♥️♥️
Nakupendaga kaka angu huna kazi mbaya mungu akubaliki
Jamani twizy pole sana much love from Kenya 💕
Hongera malesa mungu akuzidishie
Nawatakia mwaka mpya wenye amani ❤❤
Hengereni nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉❤❤❤💯💯🔥🔥🔥
Usijali kaka pamoja sana Niko Mozambique
Yani Mai ukishakubali ni mume wko Tena unawaza Nini hta sisi tunajua ni mume wako❤❤❤
😂😂😂😂😂
Kazi safi Mai endelea kumujali twizy alikusaidia sana
Rémy WW vip kuchunguliya mpenzi yawatu😅 samekuachianNaina wako kwanini hufulahi twiz na Mai nawapenda Mio🥰🥰✊
Umko vizr sana na watakia heri ya mwaka mpya ❤❤❤❤
Wooow umejua kutufurahisha hongera sana twizzy🎉🎉🎉🎉🎉
Wa kwanza kupata Mozambique hapa
🇲🇿
Ila twiz mkorofi wewe ume muitaje my hapo😂😂😂 , et Binti muuza matunda
Ukweli munajuwana kazi tn niwape hongera
Kheri ya mwaka mpya 2025 nawapenda bure sitaki kukosa Epsod hata moja mnaigiza hali halisi nawapenda bure🌹🌹🌹🌹🔥🔥🔥
Hongera sawa twizy dady kazi nzuri sana 🎉
Nakubaliiiiiiii
Twizy cha 21 Kiko wap sikion,nawapenda sana chap basi nipo kwenye Kochi apa nasubiri😂😂😂😂
Nice job ❤❤
Niko nanyiny bega Kwa bega hadi nione mumefanikiwa twizy na Mai ,mung atulinde Kwa mwaka uu tunaoend kuuanza inxhallah
Happy new year kwa mafans wote wa twizy dady,may God bless u for following him🎉🎉❤
Jamani Malesa penda sana brother 🎉
Wanaumee hata kama hatujuanii tunaitanaa kaka like kama we mwanaumee
Poleni sana kwa mitihani mnayo pitia twizzy na may pia naomba muowane kiukweli juu sura zenu na tabia zenu zaenda ❤
Kazi nzuri❤
Nimeipenda sana tamthilia ya twizydady ❤❤
Hii folevaa n remi aliimba 😂😂😂😂😂😂
Sauti ya malesa255
Maybola❤❤❤❤❤❤
Remi una roho mbaya sana sikupendi na hicho kichwa chako kama boksi la Nazi ya Azam
😂😂😂😂😂😂eti kichwa kama nn
@dhahabudeche926 kama boksi la nazi ya Azam bhana
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
@@esterkimalio8846 🤣🤣🤣🤣🤣🤣niuwe vile unataka humu tu🤣🤣
Asante sana leo nimewai kutoka oman
Tushavuka mwaka salama ninawapenda sana ❤❤❤
Duuh Naina mbabe kwa remy
One love my brother kazi njema❤🎉 From mozambique
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 happy new year
Nawapenda kinoma❤❤❤
Asante sana watu wangu
Twyzi na May ongera🎉🎉🎉❤❤🇨🇩🇨🇩
Ila nyie kuna watu hawapo romantic ata kuigiza jmn😢naina😂😂
Happy New year to you all 😊
Congatration all twizy dadytv, good job
mnajua kisenge an
Nini tena jamani twizy kafanya nini mbona hivo jamani poleni Mai natwizy poleni sana 😢😢😢😢😢😢😮
Asanten kwa kibudisho ichi
Jamani maii ana mjali sana kaka Twizy
❤❤❤ My Twizy happy new year ❤❤❤
Nimeipend san
Mnajua sana
Wapili😂😂😂😂😂😂
Hatuwaachi mim nasema mimi na nyie ni sako kwa bako❤❤❤❤❤
Leo wa pili 😂
roho mbaya haijengi rama 😭😭 ujue leo kwake kesho kwako 😢😢
Pole sana twiz
🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Hii noma may yanamkuta mengi jamani
Remi na huyo Naina hakuna upendo hapo, ila Twizy na Mai ndo wanaupendo wa Dhati
Mayi natwizi niribapenda❤❤❤
Happy new year,malessa kumbo upon nlikumisss bwana😊
Happy new year twizy na mai Nawapenda sana kazi zenu ishaallah tuko pamoja na yiyi
Mai na Twizy ❤❤❤
changamoto ya maisha inaitaji ufumilivu lakni mwisho WA yote mtafaulu🤔
Huyo Dada aliyewafukuza ndiyealisababisha hao kuibiwa acharoho mbaya ndugu hujui nani atakusaidia nimempendabkijana aliyefanya Usamaria Mungu amzidishie
Aki munahurumisha sana Mai na twizy , lakini mungu nimkubwa mtafanikiwa tuu
Kazi nzuri❤❤🎉🎉🎉
Pole ywinzi namayi owaneni kweli
We're waiting for 21 Boss please
Happy New year twizzy na mai
Happy new year guys be blessed 🙌 😇
Nimesubiri sana
Congratulations good consistency
Pole ywinzi
Kazi zuri sana mungu awainuwe zaidi bazaidi❤❤❤❤
Pole sana twez mashaallah mumependeza
Kesho muendelezo inshallah
Nawakubali sana
Twizy usijali tunawapendasana natunawafatilia sana