ANAANDIKA NA KUCHANA MISTARI KULIKO UNAYEMJUA WEWE
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 28 ก.ย. 2024
- Tazama Full Episodes mpya za BSS SEASON 11 kwa wakati kwenye ST Swahili kila Jumapili saa 3 usiku, kupitia dikoda ya Startimes au App ya Startimes ON
:Vionjo vipya (BSS EXTRA) ni kila jumatatu, jumatano na Ijumaa saa 2:30 usiku ndani ya StarTimes Swahili Channel
Bongo Star Search
Follow Our Pages
Facebook: / bongostarsearch
Twitter: / bongostarsearch
Instagram: / bongostarsearch
SnapChat: BongoStarSearch
Huyu jamaa namjua yko vzur mistar yake tofaut sana
Nakupenda mwanangu mungu akusaidie
The winner!!!
Cheki TH-cam yuzzo ft jay siliver
Yuzzo mtu hataree... Yaan wew ni zaid ya BINGWAA hataree Sanaa🔥🔥🔥
I like it yuzzo from MNMA
Hahaaa nishakesha na mke wa mtu nkamkuta bikra🔥🔥🔥🔥🔥
😁😅😁
haaaaaa labda wanalala na mme wake kama kaka na dada
Hajaandika yeye bhana... Hiyo n mistari ya Stamina bhana...
Inaitwaje iyo NGOMA ???
@@akleysteven4020 ngoja nitafute jina lake ntakuambia, alisema kati ya sigara na mchaga nani anayetoka moshi?
Aweee jirani 😛😛😛 nmestukaaa mwee
Kaliiii
Sigara na mchaga ni nan anatoka moshi😂😂😂
Mungu amsaidie🙏
Yaaan Ommy Dah💗💗💗💗💗
Mistari ya kibabe sana aisee
DIX
kwenye haya naisha msamini Sana mama kwani bila yeye Wala msinge Soma huu ujumbe Mimi binafsi nampenda Sana mama yangu kuliko chochote kila yeye ndo kila ki2 kwangu Niki fanikiwa mama kwanza I love u momy
kwenye haya naisha msamini Sana mama kwani bila yeye Wala msinge Soma huu ujumbe Mimi binafsi nampenda Sana mama yangu kuliko chochote kila yeye ndo kila ki2 kwangu Niki fanikiwa mama kwanza I love u momy
I like it this song
Idriss acha mambo yako eti ushakuwa staa
Kati ya mchaga na sigara nani anatoka moshi 😂
Ametsha sana mwamba
Charii mjinga sana hahahahaaaa
😂😂😂😂
🤣😂😂
Tazama hii
th-cam.com/video/d9mdiEJrrzA/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d9mdiEJrrzA/w-d-xo.html
th-cam.com/video/d9mdiEJrrzA/w-d-xo.html
Ila unatutafuta nini wachaga
Punch line za kutisha
Kiraisi Sana TU, alichukuliwaa, zeni kamaliza BSS
Kati ya mchaga na sigara ni nani anaetoka moshi🤔
afu kasura kake kazuri jamani
😂😂😂😂
madamrita alisema hamna kitu
Uliderseve kushinda
Dah marufuku kukata tamaa jamaa ndo msindiiiii
Hakufikishi kileleni atakufikisha kwao 1🤣🤣🤣
Eti nimekesha na mkee wa mtu cha ajabu nika mkuta bikra🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣Eti mke WA mtu nibikra ashamtoboa hapo bc😂😂😂😂
@@lareineminah1353 alimuomba tigo huyo😂😂😂😂🤭🤭🤭
@@kassimrajabu7805 🤣🤣🤣🤣 muone
I like his look ..I mean DRESSCODE
Naqubal sanaaa Blood ake mm Mseminar mwenzangu Keep it up Zao la KIDUGALA LUTHERAN SEMINARY 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 keep Shining
MNMA tusimuangushe Mwambah wetu.
Mchaga na sigara ninani anatoka moshi,wow 😲 amewe za jamaa
Si wangemwacha tuone huo mfuko kafungasha nini sasa hawa nao kiherehere
Kama wee
@@khalidyndi😏😏😯😯
Leo maneno ya bella nd yameakis leo trh 29
Hiyo mistari kacopy huwaga ipo tu
Kama utani kumbe ndo mshindi
Madam mbonaa anabanaa eti hamna kituuu ndomana watu wa kuchana hawashindiii
That's ma Yuzzo I know, congrats best
Real..anajua..mpk..narejea sikiliza
Mwanzo wa Safari
Master J halafu unacheka vizuri wewe
hahahah kati ya sigala na mchaga nani anatoka moshi we dogo hatariiiiiiiiii
Yani nimerudia mara mbili kutizama ana kipaji sana
🤓 yes na Hizi Ndio Habari za Mtaa
Nimekubal
Yuzzo nakukubali from rwamkoma
Wachaga mkuje huku mmetoka mkoa mmoja na sigara
C coy 2018 jkt822
Kati ya mchaga na sigara Nani anaetoka moshi
Kaliiiiii kuliko yaooo
Ety mchaga na sigara nani anaetoka Moshi?😹😹😹😹
Umeimba vizir
Huyu jamaa Twitter san
Yuzzo mwambaa 🔥🔥🔥
Kama Hamis Said, hakuwa mshindi wa BSS, basi BSS ni utopolo
Yuzooo congrats sana.
Huyo Mjomba namkubali kwenye kwenye mashindano ya chuo
Yuzzo me shabiki yako toka unitalent
Hahaha markuba majanaba mura muranya
Yuzzo mwamba toka maweni sec kura utapata
Nomaa
Me shamkubali vinoma wow mungu azidi kumpa akili
Mzee yuzo
Anajua kinoms
Madam Rita tumekusikia unamua dogo....
Wauni tuko og
Tulijua tu
Congratulations yuzzo
Haaah hàah haah hipop ni hatarii
Master jj Safi sana
We mkali kinyama an
Kila la kheri kaka
Mwamba anajua
Oyioooo.......
I like him so much😭😭
I like him
MNMA ni balaa big up bro
i dont even like hiphop and I liked this guy
Ndo mwanzo wa kuipenda hiphop. Karibu chamani dada.
Bila shaka umependa dimpoz za jamaa😂😂😂
@@RuzoOwzy Asantee
@@calvinbrown5287 😂😂😂na icho pia... Flow yake nzuri bwanaa🔥
🔥🌹
Rwamkoma moja ioooo
Mwana wetu wa c coy
Mwana wa njombe,mwana wa rwamkoma 2018,mwana pamoja
Umeimbba vizuri
🔥
@@isaackfrank1251 songa mbele
Upo vizuri
🤣🤣🤣🤣 daaaaah ni🔥🔥🔥
Keep it up. Yuzo mwamba.