Uchumi umedidimia,nchini Kenya Nairobi nilipo...landlord ametishia kufunga chumba cha biashara in the next 3 days kama sitaweza kulipa kodi ya miezi mitatu hadi wa sasa ..hali inazidi kuzorota kila siku, lakini kupitia somo hili Nina imani kua Mungu atatenda muugiza mkuu,atanipa ushuhuda nami nitashuhudia,kwa utukufu wa jina lake.asante mtumishi wa Mungu,barikiwa
Mimi niliomba mahali ya kuichi tangu nilifika Australia tangu 2010 na wakati ikafika nikanunua nyumba 2015 sehemu niliomba Mungu akanipa. Bado kuna sehemu zingine mimi natamani kumiliki nyumba za watu kupanga. Pasteur niombee kwa jozi (maombi, desire)yangu litimilike kutoka kwa Mungu.
Thanks pastor for a great teaching about faith,we as Christians our faith needs to have no doubt because we know whom we believe in is great,I now have confidence that my dream is already fulfilled in the Mighty name 🙏🙏
Namshukuru, kwa mahubiri yako Mchungaji.Please muombee my niece,ni mgonjwa ako Hospital kwa mda mrefu.Kwa niamba Yake naamini atapona kwa Maombi. She has a toddler who needs her.Asante
Paster mbaga napenda huduma yako karibu siku moja mungu akipenda ufike huku kijijini Ukami mtaa mpya wa usokami huku KIHANSI tunahamu kubwa sana ya huduma yako yaweza ongeza kuamsha imani yetu! no ya sim 0757319727 umefika mafinga,jitahidi ufike na huku tunakuhitaji sana

i know I'm kinda off topic but do anyone know of a good website to watch newly released movies online?
@Reese Clyde meh try Flixportal. Just google after it:) -malachi
@Malachi Azariah thank you, I signed up and it seems to work :D Appreciate it !!
@Reese Clyde you are welcome =)
Mimi niliomba mahali ya kuichi tangu nilifika Australia tangu 2010 na wakati ikafika nikanunua nyumba 2015 sehemu niliomba Mungu akanipa. Bado kuna sehemu zingine mimi natamani kumiliki nyumba za watu kupanga. Pasteur niombee kwa jozi (maombi, desire)yangu litimilike kutoka kwa Mungu.
Amen mungu akubariki pastor hakika nazidi kujengeka ki imani mungu akuzidishiee Maisha marefu wewe na familia yako
Thanks pastor for a great teaching about faith,we as Christians our faith needs to have no doubt because we know whom we believe in is great,I now have confidence that my dream is already fulfilled in the Mighty name 🙏🙏
Ameeeeen God bless you pastor 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🥰😍💗💓💖
À sante pasteur napendaka sana mahubiri yako sana mungu akupatiyake? Myiaka mingi mimi kutoka Lubumbashi à santé pasteur
Amen. Namwona Yesu akitenda ktka maisha yangu barikiwa sana pr.
SEHEM YA MWISHO YA SHERIA ZA KUFANIKIWA KATIKA MAISHA
Namshukuru, kwa mahubiri yako Mchungaji.Please muombee my niece,ni mgonjwa ako Hospital kwa mda mrefu.Kwa niamba Yake naamini atapona kwa Maombi. She has a toddler who needs her.Asante
Mungu amguse pale alipo
Asante Pr kwa kutifu gua Ubongo. Barikiwa kwa Neno.
Nashukuru sana kwa mafundisho mazuri ...hakika mungu anipe neema ya kukuza imani ..
Ubarikiwe sana pastor
Barikiwa pr. Mmbaga japo nilikuwepo hapo kanisan ni mwl lakin narudia mafundisho haya tena, ubarikiwe Yesu atusaidie kuamini
Amen asante sana mchungaji ubarikiwe zaidi na zaidi hakika nimejengeka kabisa sitakua sawa tena maana naamini Mungu anabariki kwa kweli
Powerful, watching from Nairobi Kenya
Your the best pastor MUNGU azidi kukutumia maana unatuvusha sanaa
God bless you pastor
Amen @pastor mmbaga asante kwa somo hili la imani Mungu akubariki saana🙏🏻🙏🏻
Amen naona mungu sana katika maisha yangu
Nimefutia na somo pastor mungu akubariki
Uendelee kubarikiwa Mchungaji 🙏
Amina; nakulewa sana pst mbaga
Mungu akutendee Mchungaji
Amina
Amen
Fungu la pili baada ya mathayo 9:29 ni mathayo 13:58 siyo mathayo 15:58 tunaomba radhi kwa hilo kidogo ahsante
Amani mchungaji kwa somo hilo Mungu akubariki na afya njema
Barikiwa sana mchungaji
Paster mbaga napenda huduma yako karibu siku moja mungu akipenda ufike huku kijijini Ukami mtaa mpya wa usokami huku KIHANSI tunahamu kubwa sana ya huduma yako yaweza ongeza kuamsha imani yetu! no ya sim 0757319727 umefika mafinga,jitahidi ufike na huku tunakuhitaji sana
Aminaa PR
AMINA
Jamani nalisikiliza hili somo na tabasamu kubwa hakikaMungu atatenda
Naam...nimebarikiwa sana.
Nimebarikiwa
Plz majina gani anatumia
Unatumia majina gani kwenye mitandao ya kijamii.
Mimi Niko nyamongo nabarikiwa
An
Kazinjema
Nina kufuatilia
Muchungaji hilofungu halipo.
Fungu gan??
Mungu akubariki sana mchungaji
Fungo lipi ??
Samahani ni mathayo 13:58 ahsante siyo 15:58
Ni mathayo 13:58 siyo mathayo 15:58 ahsante
Amen
Amina
Aminaa PR
Amen