Mossy Suleiman - Jicho la Mungu Halilali. AUDIO . Marjan Sempa
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 3 เม.ย. 2020
- #MarjanSempa
Don't Forget to SUBSCRIBE , LIKE & Share
Follow me on my INSTAGRAM ACCOUNT @MarjanSempa
The authenic and Genuine TRADITIONAL SWAHILI MUSIC, that its Origin in East AFRICA...
Furthermore TAARAB is One of the SWAHILI people ways of Delivering Massage to Specific individual or individuals with very Special Metaphor or Language codes that Mostly likely and mostly only Swahili people can interpret, so even if you Understand Swahili that doesn't mean you comprehend the massages behind, contents and significance of TAARAB LYRICS. - บันเทิง
Hapo sasa
Siwezi shindana nanyi mashetani napiga goti Kwa mungu aniiauni kweli kabisa 🙌🤲💋💕
👌👌👌👌 asidi apend shali songe kutu hili........ dunia imebeba wa2 wenyeloho tofaut wengine kaa za nyat
🌻🌻🌻🌻💝💝
maneno kuntuuu kuntuba jicho la mungu halilalii babu weee pigeni majungu miye nina mungu👌👌👌👌
Et dad ang aliyeimba taarab wewe ukipanga lako yeye anapanga ni nan au nymb inaitwj
ASANTE SANA MY BLOOD
ULIE WIMBO YA KHADIJA YUSUPH
MKUKI KWA NGURUWE HAIPATIKANI KABISA HEBU IFANYIE MPANGO
NITAKUTUMIA VOCHA
Ahsante @MarjanSempa yaani unachimbua machimbo. Hii nyimbo nilikuwa naitafuta kitambo sana.
wow sauti ya mosy bomba nawapenda wanataarab wote that's my favourite
Wozaaaaaaa💋💋💋
Safi sana tuachie na nataka jawabu ya mwansiti kitoronto
Aliemba wewe ukipanga lako yeye anapanga lake n nan
Alieimba wewe ukipanga lako yeye anapanga lake nani
Nimeipenda
Sana tyu
Napendasautiyako wewedada
Naipennd san
Hata mfanye ubaya hamtoniaribia ubaya tunauona mnaofnya dhahiri kwa uwezo wa labana ndio kwanzaa nanawili👌👌👌👌
Jicho la mungu halilali atamkexhe ugangan amto ni halibia Leo waja yamenifika xiwezi kuxtamili moxxy xuleiman nakukubali xana xina roho ya pund
a xiwezi kuxtamil 👍👎
🔥🔥🔥
Maneno kuntuuu nyimbo napenda sana
Powa saana
Uzawa watumwa mwema
Pambe t ujumbe mzuri
🔥🔥🔥🔥
Maneno akuntu kuntureeeeeeee wemos weeeeee
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
We fisadi kullfisi. upooo cheki ulivyokuwa makini kama umemwagiwa maji
Amaaaa kweli jicho la mungu halilali
Nyimbo nyoko 2020 bdo naisikiliza
Kumepigwa sebene hatari fayaaaaaaa
Tunaomba tuwekee yataka moyo ya rahma machupa
Iyo👉 th-cam.com/video/awjlQVB97iI/w-d-xo.html
Kabisa jicho la Mungu halilali
Mashallah Mashallah
Mhhh jicho lamungu alilali konk
Mmm🥰🥰🥰🥰
Balaa
Wapeeeeeee manen kuntu
Kajimbo katamu
Waambee. Wakusikie🔥🔥🔥🔥
Mashallah
Oyoooooo
Mambo mazuli hayooooo
Nmeirudia mar 10 lkn bado cjatosheka! Cjui nifanyaje! Uwiiii pga soro tuone rahaaaa babaake!
Marjan nice linkup ever. Keep it up
Mungu katu apangiwi
Naipenda htr
😍😍😍
Xaf
zile nyimbo mbili za mossy Suleiman, riziki kwa zengwe na sitonunua shari mbona hazipatikani kwa net
Zuchu
P
wow sauti ya mosy bomba nawapenda wanataarab wote that's my favourite
Naiependa Sana hii taarab sichoki kumsikiliza.
Jicho la Mungu halilaliiiiii