PART13:MACHENI ALIEZAMIA AFRICA KUSINI SAFARI YA MIGUU NA KUISHIA KUWA JAMBAZI NA KUTOBOA MIILI WATU

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 24 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 82

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa ajadanganya hata kimoja amekua honest sana na ni funzo kwa wapambanaji 👏🏾

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Kudanganya sana

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmependeza na hizo white ❤️🥰

  • @ericfelician7996
    @ericfelician7996 5 หลายเดือนก่อน

    Duuu ni hatarii sana hii,bora ukae bongo janani

  • @azizimaliki4253
    @azizimaliki4253 2 ปีที่แล้ว +2

    broh wale polisi walikukushutukia kwa sababu ya kushangashangaa magolofa usinge shangaa Saa hizi ungekuwa mbali sana

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 ปีที่แล้ว +2

    From 🇹🇿 NATAMANI HISTORIA YAKE ISIISHE

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว

      Good lakini jitahidi editing

    • @mbwanakiting7180
      @mbwanakiting7180 2 ปีที่แล้ว

      Maswali ya msingi yule jamaa aliyekufa alikuwa anaitwa Nani? Na maisha ya hela.australia yalikuwa vipi?

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 2 ปีที่แล้ว +2

    🤣🤣🤣kingereza cha kibaharia et in in in🤣🤣🤣🤣

  • @mariamndimbo8833
    @mariamndimbo8833 2 ปีที่แล้ว +1

    Ngozi nyeupe wanapenda ukweli

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 ปีที่แล้ว +2

    FUNZO HAPA... !! UKWELI NDIO UMEMUOKOA JAMAA, HUWENDA NA YEYE ANGEKUFA..!!

  • @babymkuya359
    @babymkuya359 2 ปีที่แล้ว +1

    Mmh uyo kaka😭😭 kauliwa kifo kibaya hao watu wanadhambi sna mtu wanamtupa kwenye maji alfu wanamfunga kamba htr😭

  • @christiannyamamba9089
    @christiannyamamba9089 2 ปีที่แล้ว +1

    🤣🤣🤣 eti vibati vyekundu🤣🤣 hivi kwann watu awaipendi Tanzania😂🤣😂

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว

    Pole maisha ndy yalivyo

  • @kareemmohammed4963
    @kareemmohammed4963 2 ปีที่แล้ว +5

    Si kweli Rand huwezi kutumia Australia pili Australia government hawawezi kukupa Rand jamaa story yake ni nzuri ila anaongeza sana chumvi.Mm mwenyewe naishi south africa

    • @samueljohn4569
      @samueljohn4569 2 ปีที่แล้ว

      Hadisia ww bas

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +3

      @@samueljohn4569 Adithie vipi na kweli kadanganya sasa wewe kwa akili yako Australia utatumia rand supermarket sasa wengine tupo viwanjani tunaishi mpka sasa uwezi kutuongopea

    • @nancyjohnson6620
      @nancyjohnson6620 2 ปีที่แล้ว

      Achen mabishano tuskilize tu kudanganywa kupo lkn hamna noma ...ata story yenyewe inanoga bas

    • @chandeyusufu9570
      @chandeyusufu9570 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mpakausemebora angetuambia dollars ningekubali mmi mwenyewe nipo pande za mbele

  • @ikungasyamwakitalu6540
    @ikungasyamwakitalu6540 ปีที่แล้ว

    Daa uyu mwamba banaaa

  • @nancygeorge3749
    @nancygeorge3749 2 ปีที่แล้ว

    Mhh jmn maisha gn haya lkn ya mateso kiasi hk🥺🥺🥺

  • @mkuluwaukae2221
    @mkuluwaukae2221 2 ปีที่แล้ว +3

    Wengi wanasemaga ni wasomali ili waonekane wanakimbia vita! Wasirudishwe makwao!

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    lazima wakuwakie kutembea..na kushangaa

  • @misomisomisoji7722
    @misomisomisoji7722 ปีที่แล้ว

    Huyu Jamaa Muhongo

  • @Doreen_ONLINE
    @Doreen_ONLINE 2 ปีที่แล้ว

    ungefanya uchunguzi kwanza meli za kigiliki wana roho mbaya sana ungepanda meli ambazo ma captain ni wa sweden au dermak hawana roho mbaya kama macaptain wa kichina wa islael na wagliki

  • @Raya171
    @Raya171 2 ปีที่แล้ว

    Aise hii storry tamu sana

  • @Yusufu940
    @Yusufu940 2 ปีที่แล้ว

    Jamaa noma

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 2 ปีที่แล้ว

    Pole bro

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 2 ปีที่แล้ว

    Aya mambo yakutisha sana

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 2 ปีที่แล้ว +1

    Davistar naomba number ya brother macheni🙏🏽

  • @Mozline1
    @Mozline1 2 ปีที่แล้ว +1

    Uyu jamaa ni muongo mkubwa

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    mwanangu mpaka Australia kiingereza hujui??

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 ปีที่แล้ว +1

    Duuu hii story ni movie tosha daaa

  • @kingalyeko7576
    @kingalyeko7576 2 ปีที่แล้ว +4

    Kwani TH-cam hakulipi sisi kazi yetu kuangalia views haijakupa pesa ya camera au

    • @afterx3172
      @afterx3172 2 ปีที่แล้ว

      Kasem hela anapata ila ndogo sana ndo maana anaomba msaada

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    mbao ikiwa na mtu mzima itazama sema akifa..ndio ataibuka

  • @albertinamichael6123
    @albertinamichael6123 2 ปีที่แล้ว +1

    Huyu jamaa kachemka sana ungejilipuwa kama ni mkimbizi kutoka kongo.

    • @oscarmario466
      @oscarmario466 2 ปีที่แล้ว

      Alishajua kua uwongo sio mzuri wngemwongelesha kilingala angeweza?

    • @albertinamichael6123
      @albertinamichael6123 2 ปีที่แล้ว +1

      Wakongo wanaongea kiswahili sio wote wanaongea lingala.

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    daaaaa baaria we sio mkazaji..kabisa boy..wazee wanapiga mpaka watu wanakufa husemi..siri ya kambi..we umesema..daaa kweli we sio baaria

  • @Mpakauseme
    @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว +1

    Hauwezi kutumia rand Australia tena sokononi na Australia hawatumi rand sasa utapewaje rand na uamiaji wa Australia huo ni uwongo umetupanga home boy

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Ungesema meli iliyoingia leo toka south africa

  • @VictorMulimba-hl9jr
    @VictorMulimba-hl9jr ปีที่แล้ว

    Hii story ilinivutia ilinifungua mengi niliyiona nikiwa capetown city

  • @kingalyeko7576
    @kingalyeko7576 2 ปีที่แล้ว

    Tupe part 14

  • @VictorMulimba-hl9jr
    @VictorMulimba-hl9jr ปีที่แล้ว

    Nataka jina analotumia fb au insta macheni 😂

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว +1

    mtanzania..lazima akusaidie taifa lolote..kasoro waarabu tu..ukiwaambia we ni Mkristo wanakutosa

    • @kulthumbashiru864
      @kulthumbashiru864 2 ปีที่แล้ว

      Yaani utakufa kwa chuki nawaislam pole waarab wangapi wameajiri wakristo dubai hapa wakristo kibao kutoka philipine naigeria nakwingineko wameajiriwa nababaako fala wewe

    • @jesusislord9190
      @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

      @@kulthumbashiru864 wewe umeelewa au majini yamekupanda??

  • @acimamalingano8556
    @acimamalingano8556 2 ปีที่แล้ว

    Duh 🇹🇿💪

  • @OmanCom-ky8tn
    @OmanCom-ky8tn 2 ปีที่แล้ว

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @geraldmnyema
    @geraldmnyema หลายเดือนก่อน

    Kwanini alitupwa!Hao jamaa wanahasila sana wasomali wateka MELI lazima

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    sema mwanangu..wewe uliwatoa machizi kibao kafara..majini...ulionao ndio walikuwa wana wala

  • @husseinhussein9971
    @husseinhussein9971 2 ปีที่แล้ว

    Mtu mmoja wanaingia wakina macheni 3🤣🤣🤣

  • @bonnycostacosta7339
    @bonnycostacosta7339 2 ปีที่แล้ว

    Mtoto wakiume hupitia mapito magumu

  • @Daniel-el5uo
    @Daniel-el5uo 5 หลายเดือนก่อน

    Kingereza chake kibaya..

  • @iandavid4878
    @iandavid4878 2 ปีที่แล้ว

    Utaifa wenu ni well come from Tanzania???

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Ilitakiwa utoe taarifa kwa mamlaka husika wangefungwa hao wagiriki

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    Australia rand kweli inatuka ni mkweli

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Ukifatilia lazima hao waitaliano walikamatwa, Sheria za kimataifa haziruhusu storaway kutoswa

  • @givembwilo8486
    @givembwilo8486 2 ปีที่แล้ว

    macheni🤣😂

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 2 ปีที่แล้ว

    TUWENI WAKWELI..!!

  • @yustinarichard8845
    @yustinarichard8845 2 ปีที่แล้ว

    Tunasubili part 14 baada ya kufika Tanzania ilikuwaje

  • @florencerose859
    @florencerose859 2 ปีที่แล้ว +1

    Jamaa yako alijitupa Somalia inchi ya Alshabab unataja makosa

  • @husnaseph9476
    @husnaseph9476 2 ปีที่แล้ว +2

    Hatutaki story iishe jamani bado hatujaickoka kama vp changanya na chivi kidogo baada ya mwaka mumoja tunaletewa stori ya utofauti na mapadri

  • @petermangale9314
    @petermangale9314 2 ปีที่แล้ว

    hataree xana MAISHA haya!!!!

  • @noshadmadini5768
    @noshadmadini5768 2 ปีที่แล้ว

    😁

  • @heritier5119
    @heritier5119 2 ปีที่แล้ว

    Milioni 7 ulaya unaingia kihalali kabisa

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Unaingia bila vielelezo

  • @ibraimoissiaca6058
    @ibraimoissiaca6058 2 ปีที่แล้ว

    From south Africa to Australia is seven days or five days is it true?

    • @feynation3739
      @feynation3739 2 ปีที่แล้ว

      Why do you care 🤔🙄

    • @Mpakauseme
      @Mpakauseme 2 ปีที่แล้ว

      Hapo katupanga hiyo meli ilikuwa ndege

    • @feynation3739
      @feynation3739 2 ปีที่แล้ว

      @@Mpakauseme ndege gani ya siku 5 ? Na mngekuwa makini ivyo kwenye masomo yenu msingefeli

    • @ibraimoissiaca6058
      @ibraimoissiaca6058 2 ปีที่แล้ว

      @@feynation3739 ukisikia shobo ndo izo sasa wasenge kama nyinyi ndo maana mnapigwaga patei

    • @feynation3739
      @feynation3739 2 ปีที่แล้ว

      @@ibraimoissiaca6058 msenge mwenyew bwana mawani kama fundi saa

  • @cbhofficial3432
    @cbhofficial3432 2 ปีที่แล้ว

    Y

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 2 ปีที่แล้ว

    Je' Nakusema huna ndugu wala jamaa humo ndani uko peke yako?

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 2 ปีที่แล้ว

    wewe unawaambia wa Greek au wa Italy wewe ni msomali unadhani watakuacha???

  • @degaragewadoriojapan8968
    @degaragewadoriojapan8968 2 ปีที่แล้ว

    Pole broo