Shk Othman Ashindwa Kujizuia Awashangaza Masheikh Kumbe Unajua Kucheza Mapokezi Yake Ni Hatari Tupu

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 13 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 32

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 5 หลายเดือนก่อน +3

    Maasha Allah.Inapendeza sana ukipendwa na viumbe vya ALLAH..Ni ishara njema na ALLAH nae anakupenda

    • @YusufuThegreat
      @YusufuThegreat 5 หลายเดือนก่อน

      Sokweli iyo ingelikuwa dawa ya mtume Nani Angeli mpiga vita

  • @HabibaHared
    @HabibaHared 5 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah mashaallah mashaallah mola akuhifathy

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah mtu kwao tunakupenda sna sheikh Othman Michael

  • @جزيرةعبدالله
    @جزيرةعبدالله 5 หลายเดือนก่อน +1

    Mashallah taga mupo vizur sn kwnya din mashaallah shekh othmana kube upo vizur kwnye kucheza nafurah snsnsns kuwaona allah awazindishiy ❤❤❤

  • @AishaHamis-r7x
    @AishaHamis-r7x 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maa shaa Allah sheikh othuman maua kwako 🎉🎉🎉

  • @MamaSalhia
    @MamaSalhia 5 หลายเดือนก่อน +1

    Allah akuongoze ndugu yeti

  • @setiseti5281
    @setiseti5281 5 หลายเดือนก่อน +1

    Maashaallah

  • @fatnasaidi3027
    @fatnasaidi3027 5 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah

  • @KhizryKwekajr-jw4ze
    @KhizryKwekajr-jw4ze 5 หลายเดือนก่อน +1

    MASHALLAH

  • @abuushakiraddausiy8666
    @abuushakiraddausiy8666 5 หลายเดือนก่อน +1

    Nyie wakina mama na hijabuu zenuu hizooo hii diini mmmeipokea kwamtume yupii Alie waruhusu kunengua mbele za wanaume

  • @PanduMole
    @PanduMole 5 หลายเดือนก่อน +1

    Shekh mzima unacheza ngoma

  • @ShabanMohamed-e9l
    @ShabanMohamed-e9l 5 หลายเดือนก่อน +4

    Hakuna Cha masufi acha watu wapate furaha aha roho mbaya mtu kafika kwao una taka anune Yani nyie ma wahabi mwenyezi mungu ana waona mfarakanisha ndugu hata kubaguana lla tulisha wajua mwisho wenu

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 5 หลายเดือนก่อน

      Hujui chochote ni bora kwako kukaa kimya🤫

    • @IdrisaKhamis-pn6qe
      @IdrisaKhamis-pn6qe 5 หลายเดือนก่อน

      Jama hasidi sana hapo roho inamuuma balaa Kwa loho mbaya ndio mana hafanikiwi

    • @IdrisaKhamis-pn6qe
      @IdrisaKhamis-pn6qe 5 หลายเดือนก่อน +1

      Yani Hawa wazew wa jazba Kila kitu kwao bidaa na yote hayo ni sababu wanaudhaifu wa nafs ya roho mbaya na uhasid

    • @sulekhan7119
      @sulekhan7119 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@IdrisaKhamis-pn6qeNdo maana ningumu hawo jamaa kufanikiwa

    • @awadhsalim2680
      @awadhsalim2680 5 หลายเดือนก่อน

      Mawahabi ni vibaraka wa marekani na esrail. Wanatumiwa kwa ajili ya kutia fitna ktk umma wa kiislam. Ndio sababu inayowafanya kuwaponda wengine na kujifanya wao ndio wapo swa. Wao kazi yao ni kuwasema waislamu wengine na maneno machafu na mahasira walionayo balaa.

  • @YusufuThegreat
    @YusufuThegreat 5 หลายเดือนก่อน

    Hhh njo ziyara ya kidawa iyo sasa apo amekataza nini kwa watu na ame amrisha nini yani dini ya usani tu

  • @issaibrahim8796
    @issaibrahim8796 5 หลายเดือนก่อน +2

    Masufi

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 5 หลายเดือนก่อน +1

      Kweli nazidi kuamini hawa watu akili zao za hovyo sana.

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 5 หลายเดือนก่อน +1

      Masufi mtihani tabiazao zakuchezachezatu

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 5 หลายเดือนก่อน

      @@IdrisaKhamis-pn6qe Huo mdomo wako mchafu unadhihirisha wewe ni mtu wa hovyo tena Jahil Mulaqabu na wala ustahili kujibiwa.

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 5 หลายเดือนก่อน

      @@HanifaOman-oo4pl Usufi ni nusu ya uwenda wazimu

    • @IdrisaKhamis-pn6qe
      @IdrisaKhamis-pn6qe 5 หลายเดือนก่อน

      ​@@issaibrahim8796jahil mama ako mulaqabu baba ako hasidi mkubwa wewe mbwa wew