MASHA ALLAH ❤️...NDUGU MPENDWA SHEIKH OSMAN MA'ALIM....ALLAH AKUPANDISHE DARAJA ZA JU.. KWA ELMU UNAETUPA ...KWA MAPENZ HESHHMA HIKMA UNAETUMIA KUTOA MAWAIDHA ...MASHA ALLAH BARRAKA LLAH TAA'LLAH 🤲
Anasema sayidina ally uradhi wa Allah uwe juu yake :watu waovu nafwata nafasi mtu amekosea na kuacha mazuri ya watu hawayazungumzi kama vile nzi inafata nafasi pana donda.ww ni hasidi tena mwenye chuki tena mjinga sana .ukitaka kuwakosowa watu wakubwa ww kuwa kama wawo .cheikh uthman maalim Allah amuhifadhi na fitna zenu yule ni cheikh kbs siyo chehe ama chege
@@hamisisekidende5365 wewe ndio hasidi na mnafiki mkubwa.Kwani yeye malaika asiambiwe ukweli? Kama huna elimu bora nyamaza na acha utoto na kuwakosoa watu usiowajua elimu zao.Jiheshimu na uwaheshimu watu wanaotoa maoni yao.
Masha Allah shekh othuman maalim mwenyezi akujalie heri shukuran sana kwa. Kutuelimisha
MashaAllah Tabarakaallah. Allah akupe umri mrefu uzidi kutu elimisha na amali njema. Allahumma Aameen
Allah akupe umri mrefu na mwashomwema nasi Allah atujaalie elimu yenyemanufa
Mashaallah mashaallah
MASHA ALLAH ❤️...NDUGU MPENDWA SHEIKH OSMAN MA'ALIM....ALLAH AKUPANDISHE DARAJA ZA JU.. KWA ELMU UNAETUPA ...KWA MAPENZ
HESHHMA HIKMA UNAETUMIA KUTOA MAWAIDHA ...MASHA ALLAH BARRAKA LLAH TAA'LLAH 🤲
Ameen thumma ameen
ما شآء الله 🌹
حفظك الله ورعاك ورفع الله مقامك 💐💞
Allah atujaalie atupe moyo wa kuyatekeleza tunayo fundishwa.
Mashallah jazakallah kheir
Mashaallah jazaaka Allahu kheiraa
alhamdulilah m/mungu akupe afya udhidi kutuelimisha zaidi,na atupe sote mwisho mwema 🤲🤲🤲🤲🤲🤲🕌🕌🕌🕌🕋🕋🕋
Mashaallah Allah akuzidisjie uthman maalim
Mashaallah Mashaallah.... his recitation is so good 🤝
Mashallah tabarakalla
ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا شكرا يا شيخ
Allah akujaliye afya na akupe umri murefu inshallah
Maa shaa Allah...ahsanta yaa sheikh
ماشاءالله تبارك الله جزاك الله خيرا شكران شيخ
Allahumma amiin
Mashallah
Mashaall
Masha Allah
Asalam alaykum warahmatullah wabarakatu WADAU WA RIYADH na koo zima ya Riyadh Tv online znz
Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh
Asalam alaikum
52710094
Waaleikum musallaam warahmatullahi wabarakatu
tatizo sheikh othman maalim anatia chumvi nyingi
Chuki zako tu huna lolote
@@yaziduhamisi4096 Tatizo mtu akiwa jahil hata umwambie nini haelewi ataleta ubishi tu
@@abuyunusmohamed6961 ww na mm nani jahili ebu niambie sehemu gani Katia chumvi ambacho unakujua halafu kaenda sivyo acheni umadhehebu
Anasema sayidina ally uradhi wa Allah uwe juu yake :watu waovu nafwata nafasi mtu amekosea na kuacha mazuri ya watu hawayazungumzi kama vile nzi inafata nafasi pana donda.ww ni hasidi tena mwenye chuki tena mjinga sana .ukitaka kuwakosowa watu wakubwa ww kuwa kama wawo .cheikh uthman maalim Allah amuhifadhi na fitna zenu yule ni cheikh kbs siyo chehe ama chege
@@hamisisekidende5365 wewe ndio hasidi na mnafiki mkubwa.Kwani yeye malaika asiambiwe ukweli?
Kama huna elimu bora nyamaza na acha utoto na kuwakosoa watu usiowajua elimu zao.Jiheshimu na uwaheshimu watu wanaotoa maoni yao.
Masha Allah shekh othuman maalim mwenyezi akujalie heri shukuran sana kwa. Kutuelimisha
MashaAllah tabarakaallah
Masha Allah shekh othuman maalim mwenyezi akujalie heri shukuran sana kwa. Kutuelimisha