Pst Ezekiel and Milele Funeral Home! The Milele CEO reveals truth about the Funeral Home

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 57

  • @gracekahunda
    @gracekahunda ปีที่แล้ว +4

    Ushindwe katika jina la yesu!! Eti wakati wa covid ulifanya kazi nzuri!!

    • @emmae9837
      @emmae9837 ปีที่แล้ว

      😂😂😂😂 jamani

    • @ceciliawandia3931
      @ceciliawandia3931 ปีที่แล้ว

      It is a truth, he didn't go killing, so stop your negativity

  • @purityruwa6554
    @purityruwa6554 ปีที่แล้ว +3

    Keep on moving naomba Mungu anisaidie pia mimi nifungue Morgue yangu....achana na mahetas wivu ndo mwingi afanye kazi yake ya kuchukua sadaka afanye biashara zake ninyi pia mnafanya yenu, Mungu ndiye hupeana riziki. Bidii yako mtu atakusema but anyesheaye mvua kwa wema na wabaya yeye ndie apeanaye riziki. I congratulate you Sir. Big up

    • @susantamba147
      @susantamba147 ปีที่แล้ว

      Fungua mortuary yes' no problem,but not in the bush where there poor pple who can not afford transiport to far hospitals..

    • @purityruwa6554
      @purityruwa6554 ปีที่แล้ว

      @@susantamba147....kazi hufunguliwa popote thts why maduka ya vyakula yapo popote 😉

    • @maryandesh151
      @maryandesh151 ปีที่แล้ว

      True..hawa wote wako kwa business. Kila mtu apambane na biashara zake awachane na za wengine

    • @mumjjay
      @mumjjay ปีที่แล้ว

      Fungua na uwe wa kwanza kukufa uhifadhiwe huko kwa mogue Yako usikie vizuri kama wale wengine unaofungulia

    • @maryandesh151
      @maryandesh151 ปีที่แล้ว +1

      @@mumjjay kwenda uko..kwani hizi mochari zote ziko duniani mimi ndio nilifungua..hata wewe ukifa utapelekwa uko..kuishi ni bahati na kukufa ni lazima..sasa unataka watu wakifa wahifadhiwe kwa nyumba ama unataka aje..siku yangu ikifika nitaenda na hata yako ikifika utaenda,.hakuna mwenye ataishi milele

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 ปีที่แล้ว +1

    How many mogs ziko Nairobi without hospital so many if is morg let it be mog. Wacheni fitina na ushamba. Milele hoyeee i love these group they are going heights.

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 ปีที่แล้ว +3

    Milele the best Kilifi county doing well

  • @jfgj5408
    @jfgj5408 ปีที่แล้ว +2

    I love the sound ama ni hio macrofon , watching from italiy

  • @janetmshai4651
    @janetmshai4651 ปีที่แล้ว +2

    Put up ahospital also..i guess its apositive challenge from the pastor.

  • @susantamba147
    @susantamba147 ปีที่แล้ว +4

    No hospital no mortuary in the rural areas that is the full truth..weka hossy wacha ushindani Pastor hana ubaya its just misunderstanding yenu

    • @virginiamutisya6216
      @virginiamutisya6216 ปีที่แล้ว

      Pastor Na mortuary wapi Na wapi akae church siku moja hii itakua his house. Awachane Na milele akae church.

  • @phoebeadikinyi3441
    @phoebeadikinyi3441 ปีที่แล้ว +1

    Wekeni hospital juu msi expect tu,watakufa,expect kuna wale pia wanahitaji matibabu wapone

  • @maryandesh151
    @maryandesh151 ปีที่แล้ว +3

    Huyo Pastor anataka hospitali ijengwe ya kazi gani na huwa inasemekana anaombeanga wagonjwa hadi wenye wamefika point ya kufa wanaamka..sasa si pia hospitali itakosa wateja😅

  • @annk1793
    @annk1793 ปีที่แล้ว

    Yet people are not tired of pastor Ezekiel. Kila saa pastor Ezekiel sasa yuko tz Arusha to preach the gospel others ni panganga tuu

  • @jameskithi
    @jameskithi ปีที่แล้ว +3

    But there are other morgues without a hospital eg chiromo, lee mortuary

    • @susantamba147
      @susantamba147 ปีที่แล้ว

      Remember big hospitals sorouding this two morgues before you comment..Milele is in the village bush

  • @vincentndonye7989
    @vincentndonye7989 ปีที่แล้ว +4

    Advise them them to have milele hospital.

    • @josephinechaildofgod5371
      @josephinechaildofgod5371 ปีที่แล้ว +1

      Haki MUKO na wivu kwani ameogelea vibaya kweli 😢😢😢😢

    • @maryandesh151
      @maryandesh151 ปีที่แล้ว +2

      Ikiwa huyo pastor ezekiel inasemekana huwa anaombea watu wakipona hata wenye wamefikia point ya kufa wanamka,.sasa hospitali itajengwa ya kazi gani

  • @Furahaprincess-cu3vt
    @Furahaprincess-cu3vt ปีที่แล้ว +1

    Inamaana watu wakikufa na covid ww kz ilikua nzuri kwako? Finally kitakuramba ww

  • @leahkendi7211
    @leahkendi7211 ปีที่แล้ว +1

    Yaani, when people are dead ndio Raha yako? Ati wakati wa covid biashara ilikua imenoga🤔🤔.Kweli dunia Ina watu na viatu. Hata mortuary attendant akikosa kuletewa bodies, anasema kazi iko chini. Just bcoz watu hawajakufa.

  • @fridawawiranjue457
    @fridawawiranjue457 ปีที่แล้ว +1

    But this a business just like any other 🤷 how many people have morgues n are benefiting from them??watu wafanye kazi, wivu na uzembe itawaua walahi

  • @virginiamutisya6216
    @virginiamutisya6216 ปีที่แล้ว

    Every job has its benefits and tithe has to be paid. Covid was bad to other business but mortuaries business was good

  • @josphatwachira3922
    @josphatwachira3922 ปีที่แล้ว

    Ezekiel is better he knows about things of God and witchcraft

  • @philipwambua8520
    @philipwambua8520 ปีที่แล้ว +3

    The man is speaking the truth

  • @FamousBerry139
    @FamousBerry139 ปีที่แล้ว

    Mortuary is just a business like those people making coffins near the hospitals. Hakuna shida na kufungua mortuary mahali popote because people are dying everyday

  • @marymunga618
    @marymunga618 ปีที่แล้ว

    From kilifi morgue ilifungwa kitambo

    • @virginiamutisya6216
      @virginiamutisya6216 ปีที่แล้ว +1

      Not closed I work here in Kilifi and pass there daily they are open

    • @marymunga618
      @marymunga618 ปีที่แล้ว

      @@virginiamutisya6216 but not receiving bodies. We were there with my sister in-law body and they didn't not. We took her kilifi

  • @mr.plutonium9002
    @mr.plutonium9002 ปีที่แล้ว +1

    No sooner the......of such an entity mention money than they taste their craft.

  • @josephinechaildofgod5371
    @josephinechaildofgod5371 ปีที่แล้ว

    Ongea UKWELI na

  • @hidayah3405
    @hidayah3405 ปีที่แล้ว +1

    Hii dunia iko na mambo jamani mara maji anayotumia anachukua hapo milele ndo mwapewa sasa leo kumbe hawajuani fear kenya kwa kupika maneno😅😅😅

    • @nancynyayal3042
      @nancynyayal3042 ปีที่แล้ว

      Kenyans huropokwa tu 😂😂😂

    • @HairbyAkware.1
      @HairbyAkware.1 ปีที่แล้ว

      Nimebaki pale "shida yetu yeye ni, kwa nini pastor apige vita kifo?"
      Should tell you all.

  • @susantamba147
    @susantamba147 ปีที่แล้ว +1

    Eti watu wa kiona mortuary wata punguza speed 😂 weka hossy achana na story mingi

  • @gracekahunda
    @gracekahunda ปีที่แล้ว +1

    Sasa kwann Kama hamujaonana mlitangaza analeta mili kwenu!!

    • @nancynyayal3042
      @nancynyayal3042 ปีที่แล้ว

      😅😂😂😂

    • @marygathoni810
      @marygathoni810 ปีที่แล้ว

      Ogopa watu

    • @gracekahunda
      @gracekahunda ปีที่แล้ว

      @@marygathoni810 watu nwakina Nani!! Maybe niogope wanyama na Mungu pekee Ila sio binadamu!! Ukweli nausemwe, ukijishuku unakasoro!!

  • @gladysnabwana6690
    @gladysnabwana6690 ปีที่แล้ว +1

    So what did u want ??? .That is business?? Leave Pst Ezekiel alone...close it...close it ..look for another business?? Bro

    • @mawama6719
      @mawama6719 ปีที่แล้ว

      you poor brainwashed woman!

  • @LucasMwaningo
    @LucasMwaningo ปีที่แล้ว

    🙄🙄🙄🙄

  • @gladysnabwana6690
    @gladysnabwana6690 ปีที่แล้ว

    NO BUSINESS???😢😢😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

  • @lucywanjugu9560
    @lucywanjugu9560 ปีที่แล้ว +5

    Biashara amepunguka,,watu wafe kabisa ndio fulaha yenu, pastor hana shinda na mortuary anadai hospitali

    • @susantamba147
      @susantamba147 ปีที่แล้ว

      well said very true

    • @purityruwa6554
      @purityruwa6554 ปีที่แล้ว

      Si aombee watu wapone basi iwe haina haja hadi kuenda hosii...😂😂😂😂😂😂.

  • @kagamedimaria4787
    @kagamedimaria4787 ปีที่แล้ว +2

    Hii ni story fake

  • @merabishoepalace6348
    @merabishoepalace6348 ปีที่แล้ว

    Alafu hizo miili mlisema mlikuwa mnachukua kwake hiko aje? Kindly ongelelea hio please

    • @HairbyAkware.1
      @HairbyAkware.1 ปีที่แล้ว

      Akii..umesikia akisema hajuani na pastor ezekiel ila wanakasirika mbona pastor apige vita kifo? Says miili hailetwi kule kama hapo awali.. Tells it all