Brother basically I listen the Hindi music coz I am Indian but trust me your singing style touches my heart in some different way I really loved your voice ……❤ love from🇮🇳 If you really read the comment’s reply me on this
Hapa ndo nakumbuka maneno ya harmonize ipo haja ya kuwekwa tuzo nyimbo nzuri km hii ata laki haijafika lkn amaboko kule iko ya kwanza daa kk jikaze usichoke nyimboo kalii
Tupo pamoja sana ninawakilisha kuwa MTANZANIA na NINAJIVUNIA kuwa mswahili kiukweli huu wimbo mzuri sana lakini umekosa location Tu coz if ingelikua diamond mungesampoti lakin kiukweli huu wimbo umekosa location tu god bless you my friend upo vizuri sana
Esti foarte,foarte talentat! O interpretare sensibila,tonul vocii cald,muzica melodioasa! Ma bucur ca te-am descoperit! Felicitări, si salutari din România! Domnul sa te ocrotească!❤🙏❤️
Mavokali umenimaliza kwa hii mpka ni ringtone yangu ......nalikumbuka tu jina umeumiza mtima...ahhh hoi hapa
Unajua kaka ilatuomba mwenye mungu tusumblie mda wetu ufike tu tutang'aa kaka hujahi kutuagusha washamvbiki wako mavokali nakukubali sana
No se lo que dice pero tiene mucho talento y lo hace con mucha pasión. Desde República Dominicana lo escucho.
Born to sing.... Well talented.... Maudhui yamegusa kla mtu hya ijapokuwa maamuz utofautiana.... Keep it up bro
1:55
Upo vzr bro since 2014 nilijua utakua ivo kaza umfikia platinum.. Support from madam Dede😂😂
Jal ka bs kha kan💯Halmavakan janjala, kam ka ma bad Kaha😮😅join 2:19
I was waiting for this song so bad 🥰🥰🥰 big up brother all the way from Minnesota USA 🇺🇸
Bro you are always updated over there i always see you comments in 90% of the songs i like congrats too
Nice
Me to
Check out J Bellhouse - mamacita... I hope you like it 😊😊🙏🙏
From Minnesota too ❤️❤️❤️ and I love the song
Brother basically I listen the Hindi music coz I am Indian but trust me your singing style touches my heart in some different way I really loved your voice ……❤ love from🇮🇳
If you really read the comment’s reply me on this
Oleee que bonita canción su voz llega al alma ❤️
Wasafi kama mnatafuta wa kureplace Hermonize, ndio huyu hapa
Nalikumbuka tu jina ameumizamutimaaaa akalin'goa n shinaaaa 😭😭bado nampendaaaaaaaa
😭😭😭🥺🥺
He is a very gifted artist, his music centers me. Greetings from three points California, USA.
Esta canción no la entiendo pero la quisiera escuchar en español a detestar bonita su letra la canta con mucho sentimiento yo la quierooo en español!!
Yo también la quiero en español se escucha muy sentimental y su letra a de estar muy bonita
Terima kasih Mavokali... Lagu lagumu sangat membekas di hatiku..
Salam dari Indonesia😍😍
This is amazing..actually when I listen to your song, i feel much relaxed. You never disappoint. Kudos.
💯✅🛅👍🤩🤩🤩🥺
Baba toka nikutambue hauna mbaya big up bro nimekubal uwezo wako 💪💪💪💪
Weee this boy for real has a talent bado nampenda 😭😭🔥🔥🔥
Hapa ndo nakumbuka maneno ya harmonize ipo haja ya kuwekwa tuzo nyimbo nzuri km hii ata laki haijafika lkn amaboko kule iko ya kwanza daa kk jikaze usichoke nyimboo kalii
😂
Yaan nikija tz lazim nikutunze nimevutiwa NA song zako n,zur i like mor nitakucheki wsp
Huu mwaka wetu bro watakubal tu good vocal and video quality ✍️✍️✍️
Nice music listening from kenya...KENYA IKISHAKUBALI MSANII ANASONGA.Dogo huyu tushamkubalia sasa kaende kaende.💥💥💥💥💥💥💥
Hongeza juhudi mwamba we nifundi sana utafika mbali sana
Haliwezi kutuacha salamaaa.... 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kama unakubali iyi ngoma kama mimi nipe like tujuwane
Anajifanya Hanoi........ my ringtone the song is 💥💥💥💥💥💥💣 you kill it
Kwani nikuimba ama ni serious!!!
Kichupa kikali Sana...mashairi nayo yapo vizuri
Kaka we unajua sana na hauna kopy kama wasan wa bongo wanavyo igana endelea kukaza
Watu wangu wa TZ, lets groom this talent, Diamond wakati huu ashafika peak, This man is the new wave
Shabiki wako namba 1 . Hapa from Moro town
Kwangu baada ya
#Diamondplatnumz
Ni wewe #mavokali
Tupo pamoja sana ninawakilisha kuwa MTANZANIA na NINAJIVUNIA kuwa mswahili kiukweli huu wimbo mzuri sana lakini umekosa location Tu coz if ingelikua diamond mungesampoti lakin kiukweli huu wimbo umekosa location tu god bless you my friend upo vizuri sana
In search of gold, got a gem...
Indeed! music has no language..
Language swahili from Tanzania
Kazi safi 💥 from Kenya🇰🇪
Mavokali🔥🔥🔥big up Mungu akupe uwezo utafaulu 🙏
Diamond hujaona huyu jamaaa bwana
Brooh hii ngoma nimeitafta nilikuwa sijui nan ameimb nimefatilia mpk leo nimepata aiseee big up sana
🔥🔥🔥🔥🔥bado nampenda
oi broo ivi unaniimbia nini mbona sikuelewiiiii ngoma kali kinyama uku nimachozi tuuuu
Dah nyimbo iko safi kama naimba mm vile yamenikuta hayo
Apochacha mavokali umetumbua tumbua kabisa
Mbona hatuoni nyimbo zako boomplay nyimbo zako nzur san
Kumbuka kua uko na mashabiki kwaiyo ngoma zije moja baada ya nyengine atakama ni audio si lazima video
Huyu jamaa anajua mno akaze buti namtakia mafanikio mema sana katika kazi zake
Mzee baba unajua hujawahi tuangusha
Gonga like za mavokali hapa tusonge
Baba hatar mungu akubrik sana kla penye nia pana njia usichoke kupambana.... 1 day yes
I was looking for this song a long time jmn 🥰finally I found it
Leo sauti haujatune ifanane na Mondi.... Kitu kali though!! Swagger ya Simba
The music and lyrics touched my heart even I don’t understand the language. I love you mavokali
Umenifanya nimkumbuke arapha wangu #BadoNampenda
LASHKU FILAM ✅
Mashallah nyimbo Kali na director ajjab ata scruch cjaona kiboko
I love your talent bro, keep on working hard....one day you will be bigger than Diamond Platnumz because you are gifted!!!
Bloodly ngoma Kali sana ,mungu atakufanyia wepesi ufike mbali zaidi na zaidi.
Waiting
th-cam.com/video/rACph16Hrnc/w-d-xo.html
Honestly this songs should be hitting 1 million views already.❤❤
Jitahidi, kuandika mistar mikali zaidi tu mzee.
Kuimba upo vizuri sanaaaaaa 💯
Ngoma kali sana nakubali
Bado nampendaaaaaa! Que significara!❤❤❤
It means "I still love her"
big up broo soon watakutafut wakubwa 🔥🔥🔥
Kabisaa...this more than big
Ngoma kali sana hii ngoma balaaa umetunga hapa noma sanaa
Dmk kadhr from nksvegaz city kenya Nairobi nakukubali sana broz 🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥💞🇹🇿
Love your music watching from Dubai 🇦🇪🇦🇪 keep up dude uko poa sana
Adams mzushi ujumbe umefika beb bado nakupenda
Mwimbo tunausikilza toka Boston. Mwanamme mzima karibu nilie du. Lakini kama mimi mwanamke angenifanyia ivyo heee abaki huko huko. Namdelete kichwani.
New Talent 🇹🇿👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
Mkali wao ndio huyu sasa! You r the best in Tanzania 🇹🇿. Kip up the good work mavokali
Wakwanza mm ✌✌
Huyu jamaa Kama anakuja alaf anapotea? Iv
Nyimbo tamu xana
Beautiful song ❤️❤️❤️❤️ my hurt it’s broking right now I feel good listening this song
wejamaa unajua sanaaaa💥💥💥💥💪💪🙌
Hermosas canciones, me encantan ❤
mavokali,,vokali Iko Kali,,much love from🇰🇪
Wow mavo- mavo mimi wewe Siku TEmi kisa inaishi kwa kudema - bado tu nakupenda / huku Arusha . Hit boy Mavokali
Big up wanangu m mungu atawanyanyua Insha allah 💟
Perfect story..Ila usiombe yakukute utajiona adui was maisha yako.. beautiful music by MAVOKALI..
My favourite I cant wait to listen to it severally in the next 10years
Wakwanza kuiona mimi apa🔥🤪
Angalia hii. th-cam.com/video/rACph16Hrnc/w-d-xo.html
Wimbo nimeupenda Sana kiukweli yaani umenitouch umenikumbusha niliyoyapitia nyuma🔥
🌷
Aseeeeeeee daaaah unaweza sana 💥💥💥💥💥💥
Esti foarte,foarte talentat! O interpretare sensibila,tonul vocii cald,muzica melodioasa! Ma bucur ca te-am descoperit! Felicitări, si salutari din România! Domnul sa te ocrotească!❤🙏❤️
🚀🚀🚀Mavokali Endelea Kumpendaa Tuuu😂😂😂🔥🔥🔥HATARIII👏💯💯💯
Me ni fan wako no 1 .....👊👊
Notification was on to hear from this artist again. He's great!
Same too, I hope he gets to the top one day! He does not get as many views as he deserves
From yako wapi sasa tuko bado nakupenda
Simba MDOGO kauwasha 🦁🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥#BADO NAMPENDA
Hili jiweeeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Unaweza sanaaa bro I'm your best fan from burundi 🇧🇮
Kaka mavokali nitumie Number yako tufanye interview nawe naona kazi nzuri na uwezo unao
Tuliotoka kwa middle simba tujuwane hapa
Hahahahah tupo kaka
2po
Kabisa middle simba katufanya tumjue vizuri
This song is so emotional I can't get enough of it good work bro
Que buena voz tiene Sadio Mane perfecto❤
Unaweza kaka
Nie rozumiem słów, ale muzyka cudowna ❤😊
Mavo kama mavo kaz nzur 🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣🗣
Hit boy🔥🔥🔥mnyamwezi unyamwezini .... Mmmbabe wa Dar es salaaaa🔥🔥🔥🎶🎼🎧🎧
My brother from another mother🙏🏾🙏🏾🙏🏾🔥🔥🔥🔥🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯
Ngoma imetulia sanaaa 💯
Iyani marahii kwa vishindo umetisha
Wa kwanza from Kenya jamani kama unamkubali Ben mavokali aka Messi Wa bongo fleva Tia alama apa chini
👍👍👍👍👑👑👑👑👑
mnajfanyaga mnajua klilia love...uy dogo n mkali anajua sana...kuen Makin mtatafta kaz y kufanya soon
Bro big up sana kk mavokali, wakubali wakatae bado nampenda ndo ishaa penya, kilaatua na dua
Mizikii ya design hii huwa inadumuuu....Big up bro mavokaliiii✔💙
Mad love from 254, mavokali tusonge mbele. #twendenalo
i like this song too and Mapopo Soldier no. 1 .. from Malaysia bro