Kulea wazee lazima usomee kozi ni kama nesi anavyouguza mgonjwa hivyo basi hakuna mtu atafanya hiyo kazi kama hujasoma usifikiri unaenda kumsafisha tu hapana,kazi nzuri sana hiyo Ulaya na Marekani ndo inalipa mshahara mzuri
Watu wana fikra mbaya wakati hawaja wahi kuwa marekani wanaona tunateseka tunafanya kazi za ajabu ila siyo kweli Diana anaongea ukweli malipo mazuri sanaa tena zile kazi tunazo zidharau ndo kazi zenye pesa nzuri. Nani nalipata 10M kwa mwezi akiwa huko? Sema tu ukiishi huku bills nazo nyingi but ukiwa na mipango maisha mazuri sanaa huku. Acheni kusema tunateseka.
Mnateseka sana kwa sababu mmetoka kwenye nchi maskini ndo maana hata hiyo hela inakuwa kubwa hapo ndo unaweza kujua kuwa nchi zetu hizi ni maskini sana. Ila sio kosa lenu ni hali halisi ya maisha.
Mimi niliishi uingereza nilienda kusoma nilishangaaa sana nilifanya shoping nilitumia zaidi ya paundi 2000 nikakaribia kumaliza poketi money yangu ikabidi nianze kufanya kazi nipate kipato part time job for student sababu niliona nguo zangu za kibongo nilizonunua za kishamba local sana nilikuwa navaaa kama nimetoka kijijini ikabidi nifanye shopping ya nguo mpya uingereza
Tena milion 10 hyo unafanya kaz ya kuish hapohapo maana yake hulipi chochote kama gas na nyumba..unaweza iona ndogo lkn n nan bongo analipwa lak tano kila siku, lkn pia kuna siku unafanya kaz peke yako unalipwa kama 200 kwa siku..oyaaa kuna hela watu tusikatae ukweli, Diana mi nakuelewa na kaz yenyew c ngumu kihvo sema wanabeza bila kujua maskin.
Unaweza ukalipwa milioni 10 hizo dollar 5000 us dollar lakini kule ni marekani sio tanzania gharama za maisha ni kubwa tofauti na tanzania na kuna kulipa kodi na bili zako mwenyewe maisha yaende chakula na mahitaji mengine na maisha ni gharama kulingana na mji unaoishiii bado na ndugu tanzania wanakuomba pesa unaweza usifanye ata maendeleo tanzania au kusave mambo ni mengi
Kubeba mabox sio anaveba mabox haihusiani kubeba wala kuhamisha ni kazi ndo watu wanasema mabox,sisi italy tunaita naenda kubeba yaani ni kazi zote za mikono na sio ya ofisini,kiwandani,usfai,kulea wazee kazi za kutumia mikono ndo zinaitw amabox,kubeba,belgium wanaita kusugura inategemea kila nchi wanaziitaje hizi kazi za kawaida
Kuna rafiki angu alikuwa anafanya kazi yafilamu za ngono DC alikuwa analipwa dollars 300 na alikuwa analala na wanawake 10 kwa siku kwao amewajengea wazazi wao nyumba ya million 150 isitoshe ni wachungaji
Kubeba maboksi ni kazi za viwandani warehouse kazi hakuna kukaaa ni kusimama ukisikia kengele ya burekiiii mapunziko unafurahia unanyosha na mgongo migongo inakuwa inauma ni viwandani machine zinaandaa bidhaaa mnaweka mnapaki mnabeba maboksi kigari kinakuja kinachukua iyo kazi ndiyo ilinifanya nikiimbie uingereza na kurudi bongo baada ya kumaliza kusoma sikuona futureee
Hata mimi Napata Mil8 Kwaushee Kwamwezi.ILA HAPO HUYO HAJAFAFANUWA. HIYO HELA SIYO YOTE YAKE HAPO KUNA MAKATO YANYUMBA,KUNA HELA YAKO YAMATUMIZI,CHAKULA KUVAA,USAFIRI,N.K INAMAANA HAPO KAMA KAPATA POKET MONEY YAKE ANAWEZA KUPATA KUPATA MPAKA MI5 SAFI KABISA. HUWO NDOOUKWELI ANAPASWA AFAFANUWE 🇬🇧
Kipindi kizuri Sana fanya iwe tivii💯💯💯💯
Kulea wazee lazima usomee kozi ni kama nesi anavyouguza mgonjwa hivyo basi hakuna mtu atafanya hiyo kazi kama hujasoma usifikiri unaenda kumsafisha tu hapana,kazi nzuri sana hiyo Ulaya na Marekani ndo inalipa mshahara mzuri
Watu wana fikra mbaya wakati hawaja wahi kuwa marekani wanaona tunateseka tunafanya kazi za ajabu ila siyo kweli Diana anaongea ukweli malipo mazuri sanaa tena zile kazi tunazo zidharau ndo kazi zenye pesa nzuri. Nani nalipata 10M kwa mwezi akiwa huko?
Sema tu ukiishi huku bills nazo nyingi but ukiwa na mipango maisha mazuri sanaa huku.
Acheni kusema tunateseka.
Nina mpango wakuja huko pls nipe mawasiliano nikuulize mawili 3
next year naja na mm
Tutafutieni na sisi jaman
Mnateseka sana kwa sababu mmetoka kwenye nchi maskini ndo maana hata hiyo hela inakuwa kubwa hapo ndo unaweza kujua kuwa nchi zetu hizi ni maskini sana. Ila sio kosa lenu ni hali halisi ya maisha.
Jaman na mm jaman nifanyie mpngo passport ninayo labda viza2
Na hiyo $ 18 ni ndogo inategemea state gani au kama mgonjwa akiwa private unalipwa up to $ 30 per hour Alhamdulillah
Tupeni connection 😂 yani huku mtu na taaluma yake bado mshahara laki 5 kwa mwezi
@@zamdanamwenje9415connection ndio kisanga 😂
Aki tunaombe connection
Actually Kuna hiyo kazi anayofanya some of them ni $30 $40 $50 kwa saa
Mana wanalipa kwa saa
Na ukitaka ulipwe vizuri usiajiriwe uwe unafa wanaitwa in call hiyo huwa wanalipa vizuri ndo kazi ya kuazia mostly ukifika huku
Diana na lulu walitisha kwenye movie zao. Diana aliendaga wapi jamani
Jamani Kuna community health workers, au home basic care tunaombeni mtuunganishe huko tuko tayari kufanya kazi. Tafadharini
Hv vidox huwez kuzungumza bila kunyanyukia kiti hv ni staili ya kutafutia maneno ya kuongea au nn sijaelewa😂
Kazi za Caregiver😂😂 mabaharia tunaita Kazinyeusi Sema hapo kasahau kusema Bills Bills Bills Bills 😂😂 Utajikuta huna ata mia usipo kuwa na D2 😂😂😂
vido kwa upole wenzangu mmeenda marekanii jmn ipo siku nawe utaenda mungu mkubwa
Mimi niliishi uingereza nilienda kusoma nilishangaaa sana nilifanya shoping nilitumia zaidi ya paundi 2000 nikakaribia kumaliza poketi money yangu ikabidi nianze kufanya kazi nipate kipato part time job for student sababu niliona nguo zangu za kibongo nilizonunua za kishamba local sana nilikuwa navaaa kama nimetoka kijijini ikabidi nifanye shopping ya nguo mpya uingereza
Naomba namba zako ndugu
Tena milion 10 hyo unafanya kaz ya kuish hapohapo maana yake hulipi chochote kama gas na nyumba..unaweza iona ndogo lkn n nan bongo analipwa lak tano kila siku, lkn pia kuna siku unafanya kaz peke yako unalipwa kama 200 kwa siku..oyaaa kuna hela watu tusikatae ukweli, Diana mi nakuelewa na kaz yenyew c ngumu kihvo sema wanabeza bila kujua maskin.
Unaweza ukalipwa milioni 10 hizo dollar 5000 us dollar lakini kule ni marekani sio tanzania gharama za maisha ni kubwa tofauti na tanzania na kuna kulipa kodi na bili zako mwenyewe maisha yaende chakula na mahitaji mengine na maisha ni gharama kulingana na mji unaoishiii bado na ndugu tanzania wanakuomba pesa unaweza usifanye ata maendeleo tanzania au kusave mambo ni mengi
Ndo Ukweli Huo
@@FredrickMatiku-xf2uk you have to be smart
@@irenemtui9291 ukiwa smart sana unaweza ukawa kama mtumwa unafanya kazi zaidi ya 2 au 3 na bado kipato kinaweza kisitoshe vile vile
Kweli unayosema pesa kubwa lkn heee maisha yao mm naona magumu maana pesa zinaenda sna kule
@@RitbayRitbay all you need is to be smart
Watu wanafanya mambo makumbwa
Kubeba mabox sio anaveba mabox haihusiani kubeba wala kuhamisha ni kazi ndo watu wanasema mabox,sisi italy tunaita naenda kubeba yaani ni kazi zote za mikono na sio ya ofisini,kiwandani,usfai,kulea wazee kazi za kutumia mikono ndo zinaitw amabox,kubeba,belgium wanaita kusugura inategemea kila nchi wanaziitaje hizi kazi za kawaida
Kuna rafiki angu alikuwa anafanya kazi yafilamu za ngono DC alikuwa analipwa dollars 300 na alikuwa analala na wanawake 10 kwa siku kwao amewajengea wazazi wao nyumba ya million 150 isitoshe ni wachungaji
Yakuosha vyombo mbona mi natobowa san naninavyo ipenda
Kubeba maboksi ni kazi za viwandani warehouse kazi hakuna kukaaa ni kusimama ukisikia kengele ya burekiiii mapunziko unafurahia unanyosha na mgongo migongo inakuwa inauma ni viwandani machine zinaandaa bidhaaa mnaweka mnapaki mnabeba maboksi kigari kinakuja kinachukua iyo kazi ndiyo ilinifanya nikiimbie uingereza na kurudi bongo baada ya kumaliza kusoma sikuona futureee
Hujafanya kazi Viwanda vya bongo ndo maaana 😂😂😂
@@zamdanamwenje9415ah bora bongo kule hmna kututa wazungu watuma hatar waarabu wapo nyuma
Kanzi nikanzi kaka
Sasa mbona mkirudi tz hatuoni mnafanya vitu vikubwa
Waafrika wengi sana na watu wa nchi nyingine wanafanya hizo kazi.
Ni kazi zenye pesa nyingi na ukiwa na malengo yako.
Kaz Ni Nying Huku🇺🇸Na Ndo Pesa Ilivo Ahijalish Ni Kaz Imagine Kuna Kaz Zingn Zinalipa 💵19-20
@@ChenchiKing that’s right
@@ChenchiKing tupe connection Chenchiking
Hata mimi Napata Mil8 Kwaushee Kwamwezi.ILA HAPO HUYO HAJAFAFANUWA. HIYO HELA SIYO YOTE YAKE HAPO KUNA MAKATO YANYUMBA,KUNA HELA YAKO YAMATUMIZI,CHAKULA KUVAA,USAFIRI,N.K
INAMAANA HAPO KAMA KAPATA POKET MONEY YAKE ANAWEZA KUPATA KUPATA MPAKA MI5 SAFI KABISA.
HUWO NDOOUKWELI ANAPASWA AFAFANUWE 🇬🇧
Tupeni connection bs 😢
Kulea wazee mshara wake mtamu atar
Nikwel asemayo kaz yakumlea wazee n million 10 kiwango cha chin ukienda n vyeti vyako huwez pata kaz