Azizi Kii nakuita mara tati nakuone huruma sana Rudi kundini umepotea usiharibu umaarufu wako kwa ajili ya starehe kumbuka kwamba Kuna maisha baada ya Mpira na Mpira ni WA mda mfupi mfupi sana mashabiki wanakupenda cheza Mpira Wacha shisha utakuwa teja sasa hivi
Tutalaumianaa mpkaa bs
Alikuw amesitisha bahasha kwa kujua timu Iko tayar
Kwa hiyo wewe ndio unasbabisha
Hamjasema kenge nyieee
We dada mmh
Bado hamjasema..ubaya ubwela
Acha Gamond aondoke ameshindwa kudhibiti wachezaji wanavuta shisha na mapombe kwa sana
Aziz kii ameuwa teja
Aziz Kii amekuwa teja aneshapoteza Mpira wake kabisa umaarufu kwisha
Sasa abaki tu na Hamisa Mobeto amfanyie kazi zake za nyumbani