RUBI 2023 S01 EP01 || Swahili Movie || Bongo Movie Latest || African Latest Movies
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 21 ม.ค. 2023
- Rubi ni tamthilia inayohusu mapenzi, maisha, uhalifu na athari za matumizi ya madawa ya kulevya kwenye jamii kwa ujumala, ni tamthilia iliyozingatia sheria za nchi na maudhui yote muhumi yanayo onekana kwa lengo la kuelimisha, kuburudisha na kuhudhunisha. Rubi ni madini yenye thamani ambayo hupatikanaji wake ni washida sawa na thamani ya penzi la dhati unapolitafuta ni gumu kulipata.
@azamtvtz @millardayoTZA @Wasafi_Media @DstvOfficial @StarTimesOfficial @sinemazetuinternationalfil9762 @TBC_Online @ITVTanzaniaTz @dplatnumz - ภาพยนตร์และแอนิเมชัน
iringaaa mojaaaa
Kazi nzuri sana
Kwa baraka za Mungu jasho hili halitavuka buleee gud joooob
My chakachaka🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kazi nzuri
Asante sana
🔥🔥🔥nice
Iko vizuri san
Asante❤😍
👏🏿👏🏿
🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾afu tanoo tu😂😂
Bonge la move
Tumefika tuna kiwasha wazee mmetisha Sana
Kabanga the best
Next level
Thank you
Heshima Sana movie kali haichoshi kuangalia unatamani kuona mwisho wake hengereni sana kwa story nzuri big up tunasubiri mwandelezo
Moto moto wanaume kama rasi wangu nawasalimu jmn mke nipo vere sanaaa
Movie ni nzuri Sana nimeipenda stories na ni ya eshima wanaweza kuangalia kila lika na inafundisha
Namuona ant yangu Toshy Mfike mbali saaanaa
Kazi nzuri brother
Asante saana
Nice one 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
😍😍😍😍
Thank you
Kazi iko poa saaaaana 💯🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mambo 🔥🔥🔥💎🥰
Iko good I like it
Hata kama Husikii hufanyi nini Mimi na wewe 😁😁🤣🤣 🙌🙌🙌🙌
cousin's aisee huyu mwamba. Anaetongoza bubu mnyama sana 😅😅😅😅😅😅😅mwamba anakomaaa
Kazi nzuri sna,hongereni wote mlio fanyikisha hii kazi
Asante saana
evodiaaa umepigaa kazii nzur sanaa
Thankyu .....mengi yanakuja
🔥🔥🔥🤝🤝🤝
Kazi ya kinyama sanaaa
Naona mabandiliko kwenye sanaa ya Filamu
Iko vizur sana unakaa unangalia na familia yote mov niya heshima kabisa p1 sana watu wang wanguvu allha awajalilie viendelee kutoka vogongo vya nguvu 🔥🔥🔥🔥✅
Asante saana
❤❤❤❤❤
Kazi nzuri sna.🙏
Huyo kibubu toshy kweli kibubu😅 nakubar sana kazi nzurii
Ni 🔥🔥🔥
Good content story nzuri, big up kabanga family.
Thank you
Ndio ndugu yangu kazi Moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Ndimu sijamuona jamani
Tisha sana rubi🔥🔥🔥
Asante sana
Kazi nzur 🔥🔥
Asante saana
Mazizuli Sana ongeeni Sasa 💥💥💥😊😊😊😊
Chakachaka kwanini lakini😢😂
Sio mm n mkorofi huyu mwanaume nyie haachag hela
🔥🔥🔥🔥keep it up
Hakika filamu hii ni nzuri kwa mwanzo wake, nimefurahi sana kuwa mmoja wa walioitazama. Hekooo sana Kabanga film. Mnatupatia burudani tunayohitaji
Asante sana
Tunacheza mbele tu nyuma hakuna
sema camera low
mzigo mkari saana mwendo huo huo msipoe
iko vzuri san inaendea au ndo inaishia hapo man tam san
Kazi nzuri sana
Inaendelea
Vp kuna mwendelezo