Kamlio SI kazuri ktk simulizi,ikiwa kimya ndio inanoga, maana mie nasikiliza uck saa 3-6 baada yakumaliza kutoka kazini , nashkru Sana mmeondoa kamziki kalikua kero uck huu
Lzm ushangae umekuja kazi ama umekujaa kuhudumiwa🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️mbona kazi IPO, mara box limeletwaa hapo nilazima mtuuu ujiulizeeee nimekuja kazi ama kuhudumiwaa
Kweli Huyu mwamba Felix Mwenda anakipaji kikubwa Sana, sijui Kwanini wenye simulizi wanawapa wasimuliaji wengine ambao wanapunguza utamu wa simulizi. Hakuna msimuliaji anayenogesha utamu wa simulizi kama Felix Mwenda
Mwenzenu jicho langu👁👁 asante kaka Felix na Sadallah kwa kitu kipya🔥
Wow very sweetie thanks bro Felix
Leo ndio nmesikiza nlikua bzy kiasi mashaallah story tamu
Asante Sana kwa kitu kipya Felix mwenda na Sadollah ja
THIS GONNA BE GOOD, ALREADY KNOW 🔥🔥🔥MR FELIX
Nilikuwa nime kumiss sana felix pia Asante sana kwakitu kipia
Felix Jamani kiswahili cha ngebe cha zamani generation ya Felix Mwenda tu ndio wanakijua hiki😂
Asante sana Kwa simulizi nzuri na yenye mafuzo
Awwaaa FM kwenye maic ❤️❤️❤️
The legend is back we mc u bro🏆
He is truly a legend👏🏾👏🏾
Sana Felix 👌
nimeipend sana simlizi
💃🏻💃🏻💃🏻
Habari poa hufuza sana
Jamani simulinzi tam
Nice
Kamlio SI kazuri ktk simulizi,ikiwa kimya ndio inanoga, maana mie nasikiliza uck saa 3-6 baada yakumaliza kutoka kazini , nashkru Sana mmeondoa kamziki kalikua kero uck huu
Felix 🔥 🔥
Simulizi nzuri 💯
karibu 🪑 Felix halafu tukupikie chakula cha kwenu njombee🍚🍲
Felix 🙏🏾🙏🏾
Asate sana simlizi mix fellix mweda
Ok
Kituuuuu💕
Safiiih
🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰
Felix umerudi jamani😊
🔥🔥🔥👌
Philexy unasimulia Kwa hisia kweli
❤️❤️❤️
Asante
Jamani simulizi mix kulikuwa na kamlio furani hivi kwenye kila simulizi kalikuwa na Raha yake
Kwakweli kamlio cha movie za kanumba
@@jacklinemshana587 😅😅
Wengine wanahataki kuolewa na masikini hukuu umebeba mimba na msukuma torori😳😳😳sasa huyoo ni masikini ama nitajiri jamani
Vizuli sana bwana Felix,na Kalomo badohajaludi kutoka kwetu Njombe?!
tunataka za kichawi sasa hivi za mapenz tumechoka
Simulizi Nzuri sana
Kuna watu wanathamini pesa kuliko utuu kama huyo mama anadai nakutukana mtu matusi yanguoni
Lzm ushangae umekuja kazi ama umekujaa kuhudumiwa🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️🤦🏻♂️mbona kazi IPO, mara box limeletwaa hapo nilazima mtuuu ujiulizeeee nimekuja kazi ama kuhudumiwaa
Atimae tunaiyanza
Eeh sasa mtu unaenda kufanya kazi halafu unalala weeee
Safy
Safii
ILA FELIX UNA KIPAJIII