Kaka kosa panapostaili kukosolewa usimuogope mtu wezidi kutoka elim ya mpila watu waelewe sokaletu limekuwa tusajili wachezaji waendala na malengo ya Tim Tim inataka nn
Wachambuzi kama nyinyi ndio mnaopotosha suala la Chama kuitwa mzee lilianzia kwa Yanga na pia wakamuita ni kilema (chiba) hilo hulikumbuki? Kuhusu washabiki kudanganywa timu zote zinadanganya ili kuridhisha washabiki wao. Umeshasau Ali Kamwe alisema Yanga Day watambulisha rasta, walimtambulisha? Umesahau walivyotengeneza headline kuhusu Aziz Ki kusaini mkataba mpya? Na suala la Yanga kufanya ufunguzi wa CL Chamazi vipi? Unamkosoa Ahoua na Mutale iliwachukua muda gani Aziz Ki na Pacome ku-adapt kwenye ligi ya Tanzania? Wewe ni wale wachambuzi wanaokariri. Mkaraboko acha ushabiki na siasa kuwa mtu wa mpira acha kupotosha jamii, utaumbuka wewe mpotoshaji
Kaka kosa panapostaili kukosolewa usimuogope mtu wezidi kutoka elim ya mpila watu waelewe sokaletu limekuwa tusajili wachezaji waendala na malengo ya Tim Tim inataka nn
Unajua sana Broo 🎉🎉🎉🎉🎉
Huu jamaa yuko vizuri sana anajua kuuongelea mpira
Wachambuzi kama nyinyi ndio mnaopotosha suala la Chama kuitwa mzee lilianzia kwa Yanga na pia wakamuita ni kilema (chiba) hilo hulikumbuki?
Kuhusu washabiki kudanganywa timu zote zinadanganya ili kuridhisha washabiki wao. Umeshasau Ali Kamwe alisema Yanga Day watambulisha rasta, walimtambulisha?
Umesahau walivyotengeneza headline kuhusu Aziz Ki kusaini mkataba mpya?
Na suala la Yanga kufanya ufunguzi wa CL Chamazi vipi?
Unamkosoa Ahoua na Mutale iliwachukua muda gani Aziz Ki na Pacome ku-adapt kwenye ligi ya Tanzania? Wewe ni wale wachambuzi wanaokariri.
Mkaraboko acha ushabiki na siasa kuwa mtu wa mpira acha kupotosha jamii, utaumbuka wewe mpotoshaji
Uyu mchambuzi tumpe Dunia yake aseee 🙌😀 anaupiga mwing kinoma.. huyu nd mchambuzi sasa anaeujua mpira 🙌
Mwamba wa Moro huyooooooo
Mji kasoro bahri 🎉🎉🎉🎉🎉
Zuberi nakubali🎉🎉
Acha upumbavu Utopolo wahed.
Hahahaaa umetokea wap broo charles maana umekuja na makasiliko km umetoka chooni.
Ukweli ni haki ongera mchambuzi
Ukweli use mwe kaka mpira unaujua vilivyo hubaatishi
Hongera ila tff walimu wa mpira tunao wapeni uwezo watupe taaluma tuendeleze soccer letu
Mwamba kaongea point
Maneno ya mkosaji hayamtishi mlaji kaka 😅
Safiii
Watanzania kwa kuchambua hatujambo?
Hamna kitu ndio maana hana nywele
Kaka atahuyo chama kaja simba Hana lolote simba ikamtengeneza akajulikana. Kwahiyo acha aende wapowengine watatengenezwa cc tulichotaka watokewote wachezaji waliokua wanaihujum Tim yetu. Haotulionao tunawapenda natunatambanao
CHAWAAA WA UTOPOLO MKUBWAAA WEWE
Huyu ni mchambuzi.
Bas koro wanavotukana 😅😅😅
Giza tupu.
Eti azam ni kuku 😂😂😂
Hana lolote