ATAKAE MKE AMUONE CAPTAIN RUWEIDA 17 May 2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 27 ก.ย. 2024

ความคิดเห็น • 132

  • @Mrs.Mumewangu
    @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน +5

    Watetea sana hio lamu East. Waambie na wao waache kuchezewa ovyo. Wanaifadhi sana mbele nyuma wana haribu pokua sio wote. Ndio sababu yao kubwa kuogopa ndoa sababu ya kuzaa, kabla atujarukia hilo la kuwaozesha, tafadhali pazeni sauti madada zetu waambiwe na wasisitizwa kukataaa kaumu lut, yaani mnaacha mambo ya maana sana mnakimbilia kuozesha, tafadhal taomba jambo la kuingiliana kinyume na maumbile kipaziwe sauti zaidi ya aya mnayosema, yaani wanaume na wanawake iwaingie vichwani vizuri. Manurse tunaona vituko, najua na ninaelwa ninachomaanisha.... Ongeeni na watoto wa kike wacheni mambo ya ndoa kwanza, shuulikieni ili ndio tatizo kuuu. Allahu mustaan

    • @juweiriyasilayi692
      @juweiriyasilayi692 4 หลายเดือนก่อน +3

      Let her promot education and exposure shida zote hizo ni idlness na poverty..wakisha olewa then what.. single mothers loading

    • @Mrs.Mumewangu
      @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@juweiriyasilayi692 you gat point, sababu what's the point of kuwaozesha nani atatekeleza majukumu ya wake wenyewe. Anyway what a coincidence, have never met anyone who has my name in Kenya aki you're the first one. Am juwairiya too. Wow❤️

    • @habibasalim3092
      @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@Mrs.Mumewangujeweiriya are arabs and Pakistanis 😂, mi pia wakwabza kuona

    • @Mrs.Mumewangu
      @Mrs.Mumewangu 4 หลายเดือนก่อน

      @@habibasalim3092 hehe thought mimi tu ndio nina ilo jina. I have Pakistan friends but wananiita javaria, waarabu nao uniita juju 😂

    • @ibrahimsiddiq4018
      @ibrahimsiddiq4018 4 หลายเดือนก่อน

      Assalaam alaykum naomba mawasiliano yako maana tunataka hao wapaistani, waarabu, shombeshombe as soon as possible bi idhnillah​@@Mrs.Mumewangu

  • @ummuwawili
    @ummuwawili 4 หลายเดือนก่อน +18

    Captain Ruwaida nakupenda kwaajili ya Allah ....mimi nakuomba kwaajili ya Allah niombee kwa mume wako anioe mimi ni mjane kama hajatimiza wanne .....Allah atakulipa

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน +5

      Hilo nalo neno😂😂😂 kunywa soda naja lipa love from 🇬🇧

    • @yazidumussa3144
      @yazidumussa3144 4 หลายเดือนก่อน +3

      Uwapi Kuna kijana ataka mke tanga Tanzania ila ni mke wa pili

    • @SaadSaad-iw2yu
      @SaadSaad-iw2yu 4 หลายเดือนก่อน

      Hilo Sasa ni shere mama captain hakuongea kwa nia mbaya aliongea kwa nia mzuri tu sehemu ya lamu east idadi ya watu ni kidogo wameunda chama cha kujadiliana kuhusu eneo la lamu mashariki ili watu waoe ili siku za mbeleni tupate idadi mzuri ya watu iongezeke hata serekali itambue eneo la kwetu hata ikitokea miasaada iwe ni rahisi na sisi kupata kwa haraka na maendeleo ya haraka idadi yetu kwa Sasa ni ndogo ndio maana ametwambia tuoe kwa wingi ile tuenge watu kwa wingi. Sio paka untake mumewe akuoe kama wataka Kweli kuolewa waume wako tayari kesho tutakufungisha nikah bora uwe tayari

    • @ummuwawili
      @ummuwawili 4 หลายเดือนก่อน

      @@yazidumussa3144 mimi nmetaka niwe mke mwenza kwa Ruwaida kwasababu nmemuona ana huruma na wanawake wenziwe hvyo akiwa mke mwenza tunaweza kuelewana sasa huyo wa Tanga sjui yeye yukoje sipo tayari

    • @athumanramadhan6001
      @athumanramadhan6001 4 หลายเดือนก่อน +2

      Ujumbe umefika mimi msikose. Kunialika

  • @ibrahimjuma9709
    @ibrahimjuma9709 4 หลายเดือนก่อน

    In sha ALLAH ALLAH awajalie kila la kher

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji8923 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaalah dada yetu wazo zuri na kila la kheri Allah hutia baraka juu yake from 🇹🇿
    4:35

  • @vdioali6761
    @vdioali6761 4 หลายเดือนก่อน

    Mashallah good thought sister ,,Allah akupe moyo wakusaidia ivoivo,,Allah atupe subra ,waume zetu wakionngeza wake,,muimu uadilifu,,Allah akupe hekma ,uzid kusadia jamii,nauwe kioo cha jamiii

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 4 หลายเดือนก่อน +3

    Twekeni katika list InshaALLAH jambo adhima hilo la kheri na baraka Captain Ruweida

  • @ramamuge3380
    @ramamuge3380 4 หลายเดือนก่อน +1

    I'm from Nairobi...hata mimi nataka mke....nina uwezo Alhamdulillah

  • @saifbrashdy6095
    @saifbrashdy6095 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah unafanya jambo la kidini Muhimu ni kuongokewa na mke mzuri mwenyedini na imani kwani si kilamwanamke ni anafaa kuolewa au mume anafaa kuoa
    Sasa mimi nataka mke asie zaa Tasa Au Kafunga Uzazi

  • @abdulhajiahmed8735
    @abdulhajiahmed8735 4 หลายเดือนก่อน +1

    MashaALLAH tabaraka LAAH swadaqta kabisa

  • @AthumaniMitsanze
    @AthumaniMitsanze 4 หลายเดือนก่อน +2

    Allah atuongoze

  • @saudaumar3354
    @saudaumar3354 4 หลายเดือนก่อน +1

    shukran dada ruweda kuowa sitatizo kazi hakuna.mpe pesa za mahari kisha mbeleni itakuaje?from siyu shukran mawazo mazuri Allah abarik

    • @adnanmash9089
      @adnanmash9089 4 หลายเดือนก่อน +1

      mostly vijana wengi wataka kuoa lkni makazi hamnaa. 70% vijana hawana kazi si kupenda kwao. wako wenye ma degree wamekaa nyumbani hakuna mtu wa kuwashika mikono na kuwatafutia kazi. Mvulana akipata kazi ataoa na atamwangalia mke wake.

  • @alisalimali8036
    @alisalimali8036 4 หลายเดือนก่อน

    Assalaam Aleykum Warahmatullah, ,mie pia naitajia mke sijaoa ..mschana nlkua nae mamake alikataa asilimu ..from mombasa .

  • @AthumaniMitsanze
    @AthumaniMitsanze 4 หลายเดือนก่อน +2

    Je nilazima mwaume atoke lamu am pahala popote Kenya

  • @abuuiqrimah1125
    @abuuiqrimah1125 4 หลายเดือนก่อน +1

    Masha Allah vp sisi watanzania twakubaliwa

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 4 หลายเดือนก่อน +2

      " Mkiacha ushirikina, kwani tunayoyaona kwenye mitandao nyinyi ni mashetani/wakorofi!! Mnatamaa ya utajiri kiasi cha kuuwa familia zenu, huku kwetu "AMU" huwo ni wazimu wa hali ya juu!! Dont come, hatuwataki!!

    • @muniraally4091
      @muniraally4091 4 หลายเดือนก่อน

      Subhanallah !!! Hukumu kali hio walinganieni mwanzo

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 4 หลายเดือนก่อน +3

    Takbri 🇹🇿

  • @mohammedabdulhakim7953
    @mohammedabdulhakim7953 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi hapa nataka sana nafanya kazi qatar nina haja sana na mke

  • @johancruyff1408
    @johancruyff1408 4 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah Captain

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mashaallah,, tabarakallah hilo n wazo nzuri dadangu na Allah ajaarie wepesi inshaallah na sisi wenye mmoja n wawili akubali wenza sababu mtume salallahu alayhi wasalam kasema zaeni siku ya Kiama nijifahiri kwa umma mkubwa nao wake wakubali wenza

  • @pilykingo
    @pilykingo 4 หลายเดือนก่อน

    Ma Shaa ALLAH

  • @babubabz4507
    @babubabz4507 4 หลายเดือนก่อน +3

    Ungeanza na ww kumpa mume wako aongeze wake sababu ww uko na uwezo na mume wako ako na uwezo 😂😂

  • @abbuchato1571
    @abbuchato1571 4 หลายเดือนก่อน

    Masha Allah Muslim village is that all women must get Husband that's the muslim village operation

  • @hafidhamana325
    @hafidhamana325 4 หลายเดือนก่อน

    Assalam aleikum mweshimiwa captain ruweida kila mtu atamani awe na mke au awe na mume lakin kwa maisha ya sasa hali ni ngumu mno ,kama utaweza mweshimiwa uweze kumsaidia mtu na kakitu kisha yeye ajiendeleze na maisha basi hapo patakuwa hamna mushkil kama last time lamu ilivyowaozesha wanaume 50 na wanawake 50

  • @abdallamohamedabdalla
    @abdallamohamedabdalla 4 หลายเดือนก่อน

    In sha Allah tupe number

  • @halimaomar2035
    @halimaomar2035 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaall nikweli dadangu

  • @jumaomari285
    @jumaomari285 4 หลายเดือนก่อน

    Na wageni wake pia?

  • @mohamedhamedseifelsawafi8309
    @mohamedhamedseifelsawafi8309 4 หลายเดือนก่อน +1

    Tupeni namba zake

    • @mohamedhamedseifelsawafi8309
      @mohamedhamedseifelsawafi8309 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi nataka mdoogo alo kua haja olewa. Tena namchukua Tanzania 🇹🇿. Napenda vile mukiongea kithee. Masharifu wenzangu wa amu. Nipatie kule pate au matondooni. Ha Amu mjini pia panifaa

  • @alibajafar6171
    @alibajafar6171 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko tayari

  • @saraadamu7468
    @saraadamu7468 4 หลายเดือนก่อน

    Mahar ni nyigi mtu Akita ka owa

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 4 หลายเดือนก่อน

    Mumbo je ana wake wa 4??

  • @ramadhanimwambeni1259
    @ramadhanimwambeni1259 4 หลายเดือนก่อน

    Mngeeka no wanaume wakaonekana bora wawe watoto wenu wako tayari kupimwa uki tu mm sina shida yeyote mm naowa nkiwa likoni ndani ya Mombasa

  • @SaadSaad-iw2yu
    @SaadSaad-iw2yu 4 หลายเดือนก่อน +5

    Wengi hawana uweze wakuoa ambao hawajaoa hua hawana uwezo wengi hawana kazi Sasa ukioa mke utamlisha nini

  • @karamahfoudh8
    @karamahfoudh8 4 หลายเดือนก่อน

    Vp kuhusu Zanzibar pemba

  • @muhammadkhatwab
    @muhammadkhatwab 4 หลายเดือนก่อน

    💯 true

  • @mariamhassan1723
    @mariamhassan1723 4 หลายเดือนก่อน +2

    Haya anaetaka mke njoo😅

  • @AbuuKinero
    @AbuuKinero 4 หลายเดือนก่อน

    Kuna maradhi kw binadam yyte awe mume awe mke ikiwa yuko Timam ktk kitengo cha uzazi Anapozuia kutokuzaa hupelekea fuse moja y Akili hua tasa n kutoishauri kamatiyakeyakichwa vzr kadri siku zinavyoenda kw uchunguz wng mdogo huchukua 10%/30 kw wanaume 60%/70 wanawake. Uamuni fatilia ukwl ni jibu utlpt.

  • @Chillaxingpics
    @Chillaxingpics 4 หลายเดือนก่อน

    Yuko wapi mi nataka Niko kilifi

  • @bigmanfish6346
    @bigmanfish6346 4 หลายเดือนก่อน

    Nipe number yako ya WhatsApp tuzungumze

  • @MjahidLali
    @MjahidLali 4 หลายเดือนก่อน

    Nataka kumrudia mtalaka na nina mke tayari? Na yuko amu nimezaa nae kabla sijamuata na uwezo sina lakini bad nampenda nifanyeje captain?

  • @adriankenyan7938
    @adriankenyan7938 4 หลายเดือนก่อน

    Sasa watu wakishaoa hao wake Wanne Wanne watakula nn ??? Maisha yalivo magumu mke mmoja tu na mtoto moja nayo kazi . Kweli kazi ipo when it comes to calculations .

  • @RAHMAJUMWA-gr1pc
    @RAHMAJUMWA-gr1pc 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mimi sina mume ila natamani kuolewa

    • @amhasham
      @amhasham 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi natafta wa pili

    • @RAHMAJUMWA-gr1pc
      @RAHMAJUMWA-gr1pc 4 หลายเดือนก่อน +1

      @@amhasham mimi hapa

    • @amhasham
      @amhasham 4 หลายเดือนก่อน

      ​@@RAHMAJUMWA-gr1pc inbox njoo. Tuongee. Kheir Insha Allah

    • @amhasham
      @amhasham 4 หลายเดือนก่อน

      @@RAHMAJUMWA-gr1pc upo msa au amu

    • @RAHMAJUMWA-gr1pc
      @RAHMAJUMWA-gr1pc 4 หลายเดือนก่อน

      @@amhasham yeah Mimi ni wa msa

  • @AbdulmajidManjothi
    @AbdulmajidManjothi 4 หลายเดือนก่อน

    Nina tafuta mwanaemke kum oovaa

  • @SaeedKhalfan-ih6wk
    @SaeedKhalfan-ih6wk 4 หลายเดือนก่อน +1

    Asalam aleykum.je?watanzania tutapata mke huko

    • @nassernasser1457
      @nassernasser1457 4 หลายเดือนก่อน +1

      Ongea na mama Samia

    • @abuarafatmkweli748
      @abuarafatmkweli748 4 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน +3

      Ukisha owa kaishi huko huko unaenda owa mbali si watanzania tutaolewa na nani😂😂😂😂

    • @AhmedHamud-bm7kz
      @AhmedHamud-bm7kz 4 หลายเดือนก่อน

      @@FatimaAli-of4gh Si watabadilishana

    • @FatimaAli-of4gh
      @FatimaAli-of4gh 4 หลายเดือนก่อน

      @@AhmedHamud-bm7kz
      Athubutuu mubakie huko huko nasi tz tumejaa tunatafuta waume

  • @AliMohamed-eq6vi
    @AliMohamed-eq6vi 4 หลายเดือนก่อน +1

    Swadakta sheikh Ruwaida Ongeza volume

  • @NafisaAhmed-g9k
    @NafisaAhmed-g9k 4 หลายเดือนก่อน

    Mume wako ana wife wangapi

  • @habibasalim3092
    @habibasalim3092 4 หลายเดือนก่อน +2

    Mimi nahitaji mume pia lakini nataka mume ambae ni sunnah Salafiya, sio wa maulid i in shaa Allaah,,im 40 years, naishi likoni ,any 2,3

    • @bwakiismail126
      @bwakiismail126 4 หลายเดือนก่อน

      mashaAllah

    • @bwakiismail126
      @bwakiismail126 4 หลายเดือนก่อน

      mashaAllah

    • @bwakiismail126
      @bwakiismail126 4 หลายเดือนก่อน

      Mimi nipo tayar napatikana Tanzania

  • @adnanmash9089
    @adnanmash9089 4 หลายเดือนก่อน +3

    vijana wapewe makazi, itakuwa njia bora ya yeye kujikimu kimaisha na kuoa ile ataweza mwangalia mke wake mbeleni.

  • @AhmadHalfan
    @AhmadHalfan 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mola ayabaarik maneno yako yawe ni miftahul khair

  • @nth3512
    @nth3512 4 หลายเดือนก่อน +1

    Kuna mijamaa imeowa na haina hata mawazo ya kuwasaidia hata kwa ushauri ambao hawajaoa, kazi yao kusengenya tu na wengine kutaka uwasaidie wanapokwama, yani ni unafiki tu, then eti uwaite ndugu zako. Ili jambo nalichukia sana. Nimefurahi point yako moja tu "KM UMEOLEWA MFIKILIE MWENZAKO AMBAE HAJAOLEWA", huu ndo undugu ulivyo, kusaidiana na kuoneana huruma, sio kila mtu ajali maisha yake km ilivyo misemo mijini. Usipomsaidia mwenzako usidhani utaishi kwa raha, huyo ambae hukumsaidia ndo kesho anakufitini ww au mumeo, na mwishowe kuongeza uadui tu, washirikina na kusema maisha magumu. Mwisho wa cku wote motoni na majuto juu

  • @AishaSaoud-m4i
    @AishaSaoud-m4i 4 หลายเดือนก่อน +3

    Tatizo kubwa hata hao wanaume wasoowa niwengi piaa ila wanawake wengi wamekua wepesi kudanganywaa
    Mwanaume akisha kuzini ningumu kukuoa
    So wanawake mabinti mujifunze kusema nooo hapana subiri subira itakuletea mume Bora maishani mwako
    Sio kila asemae nitakuoa tuzini kwanza basi ndie laaa sema hapana ndoa kwanza ndio jimai yafata hakika itakua bora zaidi na rahisi kwa waume kuoa. InshaAllah

    • @khalefabdallah3680
      @khalefabdallah3680 4 หลายเดือนก่อน +1

      Hapo umeongea vizuri sana.

    • @AishaSaoud-m4i
      @AishaSaoud-m4i 4 หลายเดือนก่อน

      @@khalefabdallah3680 SHUKRAN 🙏

    • @KK-ygh
      @KK-ygh 6 วันที่ผ่านมา

      🎉🎉

  • @EricAbega-n1e
    @EricAbega-n1e 4 หลายเดือนก่อน

    Nilazima aolewe Lamu ama popote Kenya?Kama mwanamume ansishi labda Kilgorisi anaweza oa Lamu?

  • @SaidoHopa
    @SaidoHopa 2 หลายเดือนก่อน

    Jamani number yako ya simu

  • @SaidoHopa
    @SaidoHopa 2 หลายเดือนก่อน

    Simu yako plz

  • @ArnoldSalim
    @ArnoldSalim 4 หลายเดือนก่อน

    Mashaallah barrakaallah tabarrakaallah

  • @MohamedRaudha
    @MohamedRaudha 4 หลายเดือนก่อน +1

    Watu tumie picha kwanza na number ili waweze kuwasiliana nakuwa maridhia na waume au mke ndio kujuwana tabiya kwanza wakisha amua basi waozwe

  • @aliujendo
    @aliujendo 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi❤nina hitaii mmja mwenye dini

  • @abdallamohamedabdalla
    @abdallamohamedabdalla 4 หลายเดือนก่อน +1

    In sha Allah wataolewa

  • @AshaSalum-v6e
    @AshaSalum-v6e 4 หลายเดือนก่อน +1

    Mi sina mume.na wala simtaki.wapo wanaonitaka.ila sioni faida ya mume zaidi ya kero

    • @athumanramadhan6001
      @athumanramadhan6001 4 หลายเดือนก่อน

      Aliyekuzaa alikosea sana

    • @abufirdaus4254
      @abufirdaus4254 4 หลายเดือนก่อน

      We sio mzima... Huna mme na hutaki mme unataka nn Sasa?

    • @saifbrashdy6095
      @saifbrashdy6095 4 หลายเดือนก่อน

      Eeh wewe mdada una dini gani, hujui kama kero ni bora kulijo kula Haraam

    • @Quietpost
      @Quietpost 4 หลายเดือนก่อน

      Pole sana sister. Pengine umepitia mengi kwa mateso na Allah atakufanyia wepesi.
      Mimi Nina wake wawili na huyo wa pili baada ya kufiwa na mume wake alipatwa kuteswa na mume wa pili hadi alitaka kuwa “lesbian” lakini Allah alimnusuru kwa kumfanya mke wangu lakini hivi ametulia Alhamdullillah. Wewe omba Mungu sana na bila shaka Allah atakuelekeza kupata mume wa kheri yaarab.

    • @manafikhatib9413
      @manafikhatib9413 4 หลายเดือนก่อน

      HUYU NDIE CHAGUO LANGU... NAHISI UKINIPA FURSA.. KWA UWEZO WAKE ALLAH, NITABADILISHA HAYA YALIYOMO MAWAZONI MWAKO.... TUKO WENGI LAKINI HATUFANANI TABIA... UKIPATA UJUMBE WANGU NAOMBA NAMBA ZAKO TAFADHALI

  • @seifseifmohamed7118
    @seifseifmohamed7118 4 หลายเดือนก่อน

    Maoni mengi hapa watu wanalalamika kazi kwani kazi hutafuta watu au watu ndio watafute kazi. Wacheni miraa na mungokaa nchi iko nafasi kila mtu atafute na afanye kazi yake. Wacheni uvivu na handout

  • @SuleimanMtumweniAli
    @SuleimanMtumweniAli 4 หลายเดือนก่อน

    Ass.all vipi wale watokao zanzibar waruhusiwa?

  • @saynabmohammed6263
    @saynabmohammed6263 4 หลายเดือนก่อน

    Itafutwe njia mbadala ya kusaidiwa kwanza kikaz ir biashara km kuchangishwa kisha waoewe mke na mume mtarajiwa

  • @khalifaahmed5232
    @khalifaahmed5232 4 หลายเดือนก่อน

    Tatizo uwezo pekee ilo ndio lafaa kuongelewa sababu ikiwa nkuoa Kila mmoja yuko Tayar

  • @safewomanhoodkenya8192
    @safewomanhoodkenya8192 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi niko Kenya Bara nahitaji mke toka Lamu ama kokote Pwani

  • @AdulKiga
    @AdulKiga 4 หลายเดือนก่อน

    Safi sana mungu awasimamie 🇹🇿

  • @ahmedrashid2486
    @ahmedrashid2486 4 หลายเดือนก่อน

    Mashall munaishi wapi

  • @halimamfaume1925
    @halimamfaume1925 4 หลายเดือนก่อน

    Mbona hamujaeka number

  • @kuschprince3216
    @kuschprince3216 4 หลายเดือนก่อน

    " Wazo zuri kwani "AMU" nahofiya iko hatari ya kumezwa ni makabila ya kutoka inje na hivyo kuwa minority kwa inthi yao!!

    • @matendupiterngoge8707
      @matendupiterngoge8707 4 หลายเดือนก่อน

      Unawaza ukabila wewe watu wanawaza dini itahifadhika vip hiyo amu yako kwani wewe ni WA kwanza kuikuta wanzeka wameipata wakafa wakaondoka hii ni ardhi ya Allah ambayo sio miliki yako wewe umeazimwa tu uishi muda uliopangiwa ukiisha ondoka aletwe mwingine

    • @kuschprince3216
      @kuschprince3216 4 หลายเดือนก่อน

      @@matendupiterngoge8707 Once beaten twice.........?!! Wachu wa "AMU" tulidhulumiwa sana na serikali ya kanu thini ya yomo kenyatta! Nthi yechu iligavanyiva vachu vakuthoka nthe ya pwani baadha ya sisi kukimbia vicha vya mashiftaa! Chuligundua baadaye, ilikuwa ni njaama kwani nthi yechu ilipachiwa wakikuyu na vicha ya mashifta ikaisha! Ikiva mna nia ya kuongeza population, basi mfanze vetting, vachu vathavaa ma kanzu na makofia, vakijifanza "Waislam, vaove mabinti zenu, vakishapacha ardhi yenu vathavapa thalaka na inthi yenu ithazidhi kupothea! Thukueni wapwani thuu na msivalazimishe kuslim! Mradhi vapendane/ Vaheshimiane! Dini kubwa ni mapenzi tu!!

  • @PanyaBuku-qo7tu
    @PanyaBuku-qo7tu 4 หลายเดือนก่อน

    Ndoa anapanga allah sio wewe

    • @seifseifmohamed7118
      @seifseifmohamed7118 4 หลายเดือนก่อน

      Kulaa miraa na mungokaa pumbavu

    • @PanyaBuku-qo7tu
      @PanyaBuku-qo7tu 4 หลายเดือนก่อน

      @@seifseifmohamed7118 bichwa kama tako la nyani

  • @AhmedHamud-bm7kz
    @AhmedHamud-bm7kz 4 หลายเดือนก่อน

    Mimi nipo Tz nahitaji mke kutoka huko kenya napenda nitanue familia ila naona hamna mawasiliano au ni Email Inbox