Sifa kwake Bwana.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 16 ก.ย. 2024
- The Jordan Band African
The Jordan Studios
Sifa kwake Bwanab
Vocals#
- King David
-Akubu Paul
- Mbepela Daniel
- Papaa Tegeme
- Mira Mbepera...
Musicians#
- John Kuyokwa keys
- Jeremiah Bass
- Emmanuel R, Solo
- Jackson Noel Pacution
- Chris. Emmanuel Drumz
thejordanband10usa@gmail.com
Cal ±255754661043
Kaz nzuri💥💥Mzidi kubarikiwa
Safi sana kazi nzuri
Ni moto firew
MUNGU awabariki saana kazi 🔥🔥🔥🔥🔥
Mungu awabariki sana wana JORDAN BAND kweli bado munambeba Yesuuu ndio fahari yenu Mungu awainue katika viwango vya hali ya juu na awatunze pia
Nimotooooo sanaaaa
The Jordan band....washeni moto wa injili...safi saana saana
🔥🙏
Mko vzr watumishi
Nilikuwa natafuta wimbo fulani, nikaona hii nikasema wacha nije kutazama. i am blessed. Glory to God for leading me here
Hongereni sana kazi nzuri..... Mungu azidi kuwainua zaidi!
Asante sana mkuu
Weee! Music Ya kumbingu
Kazi fire 🔥
Sibo mzee wa mwendo WA hatariiiiii
Mungu ni mkuu
Kitu live
Upo salama kabisa MTUMISHI WA MUNGU SIBO
Dah! Hii miziki sijui inakuwaga na nini?? Huwezi kujizuia aiseee...... motooooo sanaaaa. Kazi nzuri mnooo The Jordan Band.....🔥🔥🔥🔥🔥🔥.
Ila Miriam nakudai bado.......😂😂😂😂😂😂😂😂
Àhaaaa Ubarikiwe Sana tu ashukuru
Apostolic
Doctor mtume mkuu wa kitengo Asante sana sadaka Yako vijana walipokea kwa SHUKURANI sana