Mjadala Maalum : Je nini mustakabali wa lugha ya Kiswahili katika ulimwengu wa kesho?

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 20 ม.ค. 2025

ความคิดเห็น • 13

  • @naperiantv7297
    @naperiantv7297 2 ปีที่แล้ว +1

    Pongezi nyingi ziwafikie BBC-SWAHILI na idhaa nyingine za kiswahili za kimataifa kwa mchango mkubwa katika kueneza lugha ya kiswahili
    Lakini viongozi wa kisiasa wanatuangusha sana kwani pamoja na lugha kutambulika katika jumuiya nyingi mlizozitaja bado wao wakiwa uko hutumia lugha ya kiingereza

  • @hayfaswaleh8048
    @hayfaswaleh8048 2 ปีที่แล้ว +1

    Sisi twajivuna na kiswahili

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Huwezi fundisha kiswahili kimataifa km hujui kingereza utawelimishaje hiyo luga ya kiswahili km huwezi tafsri kutoa kiswahili wakuelewe zaidi ndio maana tunaitaji kujua luga zote mbili

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 2 ปีที่แล้ว +1

    Ali Mwalimu kajibu kwa usahihi zaidi..."tatizo ni sera za serikali tatizo si kiswahili"

    • @afrakanaswahilitv5520
      @afrakanaswahilitv5520 ปีที่แล้ว

      Nakubaliana na hiyo kauli. Mamlaka ya serikali ibatili huo mtazamo.

  • @asilclub
    @asilclub 6 หลายเดือนก่อน

    Mkirudi kuandika lugha ya kiswahili kwa herufi za KIARABU lugha yenu kama Zaman Itakuwa in Mustakbal kubwa na kukubaliwa ULEMENGUNI NA muncher kufuata wazungu

  • @hayfaswaleh8048
    @hayfaswaleh8048 2 ปีที่แล้ว

    As.jamani yeee na hata sisi musi itenge somaliya na luqa ya kiswahili

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 2 ปีที่แล้ว

    Bila utashi wa kisiasa mtalalama sana ila matlkeo ziro

  • @afrakanaswahilitv5520
    @afrakanaswahilitv5520 2 ปีที่แล้ว

    Kiswahili kipewe utashi wa kisiasa haraka iwezekanavyo ili kizidi kuenea na kushamiri dunia kote. Kiswahili ni lugha ya kimataifa na kitukuzwe si haba.

  • @abdalahgunda1319
    @abdalahgunda1319 5 หลายเดือนก่อน

    Luga ya kiswahili ni biashara ila wengine hufanya wanafundisha kiswahili unasikia mtuu anakwambia Grammer kiswahili halo hapo anasema Swahili Rong pronounce mtuu yoyote anaejua kiswahili lazima ajue proposition za kiswahili km unakuja ,,hutakuja hawatakuja hawaji
    Hii ndio Grammer ya kiswahili matumizi yake
    Ila Kuna nchi utasikia hukuji hukuja hujajaa hizi sio tafsri fasahaa Cha kiswahili

  • @rashidothman-w9q
    @rashidothman-w9q 4 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    kabla NIRUDI kwetu. Sio sahihi kusema hivyo.
    katika kiswahili fasaha, unapotumia neno kabla na ukafuatisha na kitendo, basi kuna njia mbili (a) kabla ya kurudi kwetu. (b) kabla sijarudi kwetu.

  • @jumaothman2092
    @jumaothman2092 6 หลายเดือนก่อน

    Sim janja ndo nn hicho sio kiswahili fasaha

  • @hayfaswaleh8048
    @hayfaswaleh8048 2 ปีที่แล้ว

    As.jamani yeee na hata sisi musi itenge somaliya na luqa ya kiswahili