KANUNI 10 ZA KUJINASUA TOKA KWENYE MADHABAHU ZA MASHETANI - BY BISHOP FJ KATUNZI.
ฝัง
- เผยแพร่เมื่อ 7 ก.พ. 2025
- Kuendelea kupata habari mbalimbali usiache kutufuatilia kwenye mitandao ya kijamiii:-
Facebook: / maranatha.gospel.71
Instagaram: MARANATHA TV.
Subscribe TH-cam: MARANATHA TV
#GospelUpdates.
Ubarikiwe na mungu mchungaji nimefunguliwa kwa jina la yesu
Bwana asifiwe, nigependa Bishop aombe na mimi na familia yangu. Nawezaje kumpata aniombee nipo nje ya nchi. Asante
Amen. Tusishiriki ibada za mizimu na wala tusitoe sadaka zetu kwa majini na mizimu
Ukweli nikwamba ukitenga mda ukamsikiliza Katunzi na ukachukua hatua Mimi nakuhakikishia utatoka
HILI SOMO NI UKOMBOZI MKUBWA SANA KWETU NA FAMILIA ZETU.BINAFSI NIMEUONA MKONO WA MUNGU KUPITIA SOMO HILI