Hatutaki shangwe tu. Bali mabadiliko kwenye jamii ya kiislamu. -Apana kuona viongozi wetu wanajihusisha na kugombana misikitini ao kujihusisha na politics -masomo ya comibu basi arudiwe vizuri kuanzia waalimu na mengine kwa sababu hadi sasa sioni tunashika nafasi gani nchini kama sio kua wa mwisho kila fasi
Manshaallah tabarakallah karibuni wageni wetu ahlali wa sahlan
Ma sha Allah Allah ajaalie kheri na baraka Kwenye Uwongozi huo
Amiiin Amiiiiin Amiiiiin
Asww
Walykum salam
Muko.wapambe.vibarakatu.munazani.hatuwajuwi.
Muugope allah aceni roho za ivo
Lazim watu kama wew wawepo kwenye jami
Hatutaki shangwe tu. Bali mabadiliko kwenye jamii ya kiislamu.
-Apana kuona viongozi wetu wanajihusisha na kugombana misikitini ao kujihusisha na politics
-masomo ya comibu basi arudiwe vizuri kuanzia waalimu na mengine kwa sababu hadi sasa sioni tunashika nafasi gani nchini kama sio kua wa mwisho kila fasi