Daily vlog //Tuspend siku pamoja wakati nikiwa nyumbani // Swahili vlog2024

แชร์
ฝัง
  • เผยแพร่เมื่อ 2 ธ.ค. 2024

ความคิดเห็น • 29

  • @salimafakhi9425
    @salimafakhi9425 2 หลายเดือนก่อน +2

    Mashaa Allah

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤Nyumba yapendeza wow

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน +1

      Shukran 🥰🥰

  • @RouhiyaSwidiq
    @RouhiyaSwidiq 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah love u habbtie❤

  • @laylatabdallah2796
    @laylatabdallah2796 2 หลายเดือนก่อน +3

    Nice routine nimependa mashaallah na kuhs swala ya subh ujitahid kuweka alarm ucpate kupitikiwa

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน +2

      Alarm itaring lakini nazima 😂🙈shukran sana

    • @laylatabdallah2796
      @laylatabdallah2796 2 หลายเดือนก่อน +1

      @@RukiaLaltia 🤣afwan allah atufanyie wepes kwa sote

    • @SaumuSaumu-jz5pq
      @SaumuSaumu-jz5pq 2 หลายเดือนก่อน +1

      ​@@RukiaLaltia Lala mapema

  • @SummymaddyMaddy
    @SummymaddyMaddy 2 หลายเดือนก่อน +1

    Mm napenda video zako mashallah Allah akuzidishie inshallah

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน +1

      Ameen Allah ibarik 🤲🏽🤲🏽🥰shukran

  • @samsungoman5626
    @samsungoman5626 2 หลายเดือนก่อน +1

    Maashallah 🥰🥰🥰

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      Allah ibarik

  • @maggiekanyoi
    @maggiekanyoi 2 หลายเดือนก่อน +1

    ❤❤❤❤

  • @swalhahussein9458
    @swalhahussein9458 2 หลายเดือนก่อน

    Hi keep.up.da good content please what's the name of the soap you used to wash your sink😊

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      Thank you Antikal spraying

  • @malkiaesther8433
    @malkiaesther8433 หลายเดือนก่อน

    Napenda sana unavyoongea Da Rukia kumbe unaishi peke yako

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  หลายเดือนก่อน

      Awww shukran sana 🥰

  • @aminaali9111
    @aminaali9111 2 หลายเดือนก่อน

    MashaAllah video zako nzuri sana

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      Allah ibarik sisz 🥰🥰shukran

  • @halaahmedtaha4354
    @halaahmedtaha4354 2 หลายเดือนก่อน

    Mimi nbanda sana aim from egypet

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      Asante Sanaa🥰

  • @ramlaaljawfyvlogs7724
    @ramlaaljawfyvlogs7724 2 หลายเดือนก่อน

    The fact that I'm a Swahili lkni imma still come for kiswahili classes😂😂😂

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      😂😂😂😂jamaniii yaani wen u see me live my swahili is very broken I dnt know where I get the courage to speak this good Swahili 😅😅😂

  • @NuruMwangoka-oj2xl
    @NuruMwangoka-oj2xl 2 หลายเดือนก่อน +1

    Rukia napenda sana video zako zinanihamasisha sana,kama utaona comment yangu please tufanyie video jinsi unavopangilia vyombo vyako kwa carbinets❤

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน +1

      Awww jamanii asante sana,inshallah nitafanya

    • @mamuamtoto
      @mamuamtoto 2 หลายเดือนก่อน

      Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakatuh Nimependa video zako but Vimto si nzuri kiafya kwa vile ww ni mtaalamu wa kutengeneza Juice it is better to use juice which make yourself kuliko chemical za viwandani.

    • @NuruMwangoka-oj2xl
      @NuruMwangoka-oj2xl 2 หลายเดือนก่อน

      @@RukiaLaltia asante mamy

  • @ummubeidullahali1916
    @ummubeidullahali1916 2 หลายเดือนก่อน

    Salaam sis napenda video zako but please Quran usi eke chini sio kwa vibaya

    • @RukiaLaltia
      @RukiaLaltia  2 หลายเดือนก่อน

      Waelekum salaaam shukran ok sawa 🥰🤲🏽