LENZI
LENZI
  • 159
  • 116 265
FIKIRI KABLA YA KUCHUKUA HATUA
Katika video hii, Michael Kamukulu @lenzi.michaelkamukulu anazungumzia umuhimu wa kufikiri kabla ya kuchukua hatua. Gharama ya majuto ni kubwa, kwa hiyo ni muhimu kufikiria matokeo kabla ya kuomba msaada au kulaumu. Michael anakushauri kwanza kuomba ushauri badala ya msaada wa kifedha, au kutafuta mawazo kabla ya kuomba chakula. Kujua kwa nini ulianza kabla ya kuacha ni muhimu, na badala ya kuhukumu, jiulize ni kitu gani kinakufanya uwe maalum.
Kujenga mahusiano ya kweli kunaanza na kuwa mtu mzuri kwa wengine na kuwa tayari kutoa kabla ya kupokea.
#michaelkamukulu #lenzi #ukwelimchungu #mafanikio
มุมมอง: 123

วีดีโอ

JIFUNZE KUSIKILIZA
มุมมอง 1854 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika video hii, Michael Kamukulu @lenzi.michaelkamukulu anakufundisha umuhimu wa kusikiliza kabla ya kuzungumza. Kusikiliza kunakupa nafasi ya kuwaelewa watu, kujenga uaminifu, na kutambua nani wa kumwamini na nani wa kumchunguza zaidi. Michael anafafanua kwamba mara nyingi, tunafungua milango mingi zaidi kwa kukaa kimya na kuwasikiliza wengine. Utaelewa kipi cha kusema na kipi cha kuacha, hu...
SIRI 5 MUHIMU ZA KUISHI KWA UHURU
มุมมอง 2729 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika video hii, Michael Kamukulu @lenzi.michaelkamukulu anazungumzia mambo matano (5) muhimu yatakayokupa uhuru wa kweli wa kuishi unapoyafahamu. Maisha mara nyingi hayaonekani kuwa na haki, lakini kuelewa kanuni zake kutakusaidia kuyakabili vyema. Michael anafafanua jinsi ya kufanya maamuzi kwa hekima na busara, unachopaswa kuacha nyuma unapopiga hatua mbele, na kwa nini furaha yako inategem...
FUNGUO ZA FIKRA NA UPEO WA MAFANIKIO
มุมมอง 35114 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Michael Kamukulu anakupa funguo za fikra na upeo kupitia @lenzi.michaelkamukulu ambapo anazungumzia nguvu ya fikra na jinsi zinavyoathiri maisha yetu. Hakuna mtu aliyezaliwa na madeni ya kihisia au ya kifedha kwa wengine; kila mmoja huvuna kile alichopanda. Mafanikio yako yamo mikononi mwako na siyo kwa wengine. Kumbuka kwamba kuishi kwa kutegemea msaada kama ada ni kuzuia uwezo wako wa kweli w...
NGUVU YA KUFANIKIWA KWA HATUA NDOGO KILA WAKATI
มุมมอง 52219 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Katika video hii, Michael Kamukulu wa @lenzi.michaelkamukulu anazungumzia jinsi ya kutumia nguvu ya kufanikiwa kwenye malengo kwa kupiga hatua ndogondogo kila wakati. Anazungumzia umuhimu wa hatua ndogondogo katika safari ya mafanikio na furaha. Watu wengi kuweka nguvu kwenye kufikia mafanikio makubwa kwa haraka bila kutambua kwamba kila jambo kubwa linaanzia kwenye vitu vidogo. Hatua ndogo una...
Usiamini Kiwepesi Kwamba Kila Mchumia Juani Atakula Kivulini
มุมมอง 336วันที่ผ่านมา
Upemnde kuamini kiwepesi na kirahisi kwamba Kila Mchumia Juani Atakula Kivulini, ufahamu ukweli kuhusu ugumu wa kuyafikia mafanikio. Katika video hii, Michael Kamukulu wa @lenzi.michaelkamukulu anaongelea ukweli kwamba kupitia magumu si hakikisho la maisha mepesi baadaye. Mara nyingine, unaweza kupitia changamoto leo na ukaendelea kuishi na magumu, wakati wengine wanavuna mafanikio kwa haraka. ...
Epuka Gharama ya Majuto - Fanya Maamuzi Sahihi Leo
มุมมอง 376วันที่ผ่านมา
Gharama ya Majuto: Fanya Maamuzi Sahihi Leo Jinsi ya kueouka gharama ya majuto ni kufanya maamuzi sahihi leo. Jifunze na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu katika video hii, ambapo anachambua umuhimu wa kufanya maamuzi sahihi leo ili kuepuka gharama ya majuto kesho. Hakuna hela inayoweza kuondoa majuto. Ni bora kujaribu na kushindwa kuliko kuishi na majuto ya kutokujaribu kabisa. M...
Jinsi ya Kuchagua Watu Sahihi Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio
มุมมอง 87014 วันที่ผ่านมา
Hi ndiyo Jinsi ya Kuchagua Watu Sahihi Kwenye Safari Yako Ya Mafanikio. Ungana na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu katika video hii ambapo anazungumzia kuhusu safari ya mafanikio na jinsi ya kuchagua watu sahihi watakao ambatana na wewe. Wanasema ukitaka kufika mbali, usiende peke yako, lakini ni muhimu kujua: 1️⃣ Aina ya watu unaowahitaji kwenye safari yako; 2️⃣ Ni wapi unatakiw...
Waliofanikiwa Wanaficha Maisha Yao (Huu Ndio Ukweli Usioonekana)
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
Kinachoshangaza ni kwamba waliofanikiwa wanaficha maisha yao lakini wanaojitafuta wanahangaika kumwonesha kila mtu maisha ambayo sio ya kwao. Huu Ndio Ukweli Usioonekana. Jifunze zaidi na Michael Kamukulu kupitia @lenzi.michaelkamukulu Katika video hii, tunajadili kwa undani jinsi watu wengi wanaofahamika kwa mafanikio wanavyoficha maisha yao halisi, wakati wengine wanapoteza muda kuonesha mais...
Fahamu WATU 5 Unawaohitaji kubadilisha Maisha na kupata Mafanikio
มุมมอง 67514 วันที่ผ่านมา
Wafahamu WATU 5 Unawahitaji kubadilisha Maisha na kupata Mafanikio kupitia @lenzi.michaelkamukulu na Michael Kamukulu. Katika maisha kuna aina ya watu ambao bila kujali unachopitia, kuna wakati utafika ambapo utawahitaji. Katika video hii, tunazungumzia watu 5 muhimu unaowahitaji ili kufanikisha safari yako ya maisha: Mtu wa "Simu Moja tu" - Mtu mwenye nguvu ya connection. Huyu anaweza kukutoa ...
Heshimu Mipaka Yako - BEBA MAJUKUMU
มุมมอง 56514 วันที่ผ่านมา
Heshimu Mipaka Yako na ni vizuri kubeba majukumu yako asilimia 100. Usilaumu na kuchukia mafanikio ya wengine kwa uvivu na kushindwa kwako. Usisahau kusubscribe @lenzi.michaelkamukulu ili upate mafunzo zaidi ya kukuza upeo wako na kupanda ngazi za mafanikio! 🚀 #michaelkamukulu #ukwelimchungu #mafanikio
BADILI UPEO UPATE MATOKEO ZAIDI KWA KUJUA TOFAUTI KATI YA KUPIGA HATUA & KUPANDA NGAZI
มุมมอง 49321 วันที่ผ่านมา
BADILI UPEO UPATE MATOKEO ZAIDI KWA KUJUA TOFAUTI KATI YA KUPIGA HATUA & KUPANDA NGAZI
Barua ya wazi kwa WAZAZI (Ukweli Mchungu Usiofahamika)
มุมมอง 254หลายเดือนก่อน
Barua ya wazi kwa WAZAZI (Ukweli Mchungu Usiofahamika)
Jiulize Umefanya Nini Jana kwa Ajili ya Kesho Yenye Mafanikio?
มุมมอง 399หลายเดือนก่อน
Jiulize Umefanya Nini Jana kwa Ajili ya Kesho Yenye Mafanikio?
ELIMU YAKO IMEKUSALITI?
มุมมอง 224หลายเดือนก่อน
ELIMU YAKO IMEKUSALITI?
NI NANI ANAKUSHAURI?
มุมมอง 274หลายเดือนก่อน
NI NANI ANAKUSHAURI?
Njia ya Kuchagua Watu wa Kushirikiana Nao Kwenye Utafutaji
มุมมอง 565หลายเดือนก่อน
Njia ya Kuchagua Watu wa Kushirikiana Nao Kwenye Utafutaji
Hakuna Anayejali Msoto Wako | Michael Kamukulu
มุมมอง 200หลายเดือนก่อน
Hakuna Anayejali Msoto Wako | Michael Kamukulu
Bahati na Mafanikio Huwapata Watu Hawa... (Jifunze kutoka kwao)
มุมมอง 218หลายเดือนก่อน
Bahati na Mafanikio Huwapata Watu Hawa... (Jifunze kutoka kwao)
Binadamu Hawatakosa la Kusema
มุมมอง 374หลายเดือนก่อน
Binadamu Hawatakosa la Kusema
Hii Ndio Sababu Hawasemi Ni Nani Yuko Nyuma Ya Mafanikio? (Ukweli Uliofichwa)
มุมมอง 6012 หลายเดือนก่อน
Hii Ndio Sababu Hawasemi Ni Nani Yuko Nyuma Ya Mafanikio? (Ukweli Uliofichwa)
Ni Nani Ameshikilia KEKI YA TAIFA (UCHUMI WA DUNIA)
มุมมอง 1742 หลายเดือนก่อน
Ni Nani Ameshikilia KEKI YA TAIFA (UCHUMI WA DUNIA)
Ukiambiwa "Nitumie CV Yako" Haimaanishi Umepata Kazi
มุมมอง 1262 หลายเดือนก่อน
Ukiambiwa "Nitumie CV Yako" Haimaanishi Umepata Kazi
Jinsi ya KUUZA na KULIPWA Zaidi
มุมมอง 2563 หลายเดือนก่อน
Jinsi ya KUUZA na KULIPWA Zaidi
Ione Ajira Yako Kwenye kwa Jicho la Mfanyabiashara
มุมมอง 4133 หลายเดือนก่อน
Ione Ajira Yako Kwenye kwa Jicho la Mfanyabiashara
FAHAMU AINA 3 ZA WATU UNAOISHI NAO KILA SIKU
มุมมอง 4414 หลายเดือนก่อน
FAHAMU AINA 3 ZA WATU UNAOISHI NAO KILA SIKU
Hupati Matokeo Kwa Sababu Hauko Eneo Sahihi (Jinsi ya Kuongeza Thamani Yako)
มุมมอง 6684 หลายเดือนก่อน
Hupati Matokeo Kwa Sababu Hauko Eneo Sahihi (Jinsi ya Kuongeza Thamani Yako)
Acha Mambo Haya - YANAKUUMIZA
มุมมอง 3364 หลายเดือนก่อน
Acha Mambo Haya - YANAKUUMIZA
UTAJUAJE UKO LEVEL YA MATURITY (Umekua na kukomaa)
มุมมอง 4705 หลายเดือนก่อน
UTAJUAJE UKO LEVEL YA MATURITY (Umekua na kukomaa)
FAHAMU MAMBO UNAYOTAKIWA KUTUNZA KWA GHARAMA YOYOTE KWENYE MAISHA
มุมมอง 2215 หลายเดือนก่อน
FAHAMU MAMBO UNAYOTAKIWA KUTUNZA KWA GHARAMA YOYOTE KWENYE MAISHA

ความคิดเห็น

  • @issarashid3994
    @issarashid3994 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Umenipa mwanga kaka

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 8 ชั่วโมงที่ผ่านมา

    Asante sana mkuu na kazi njema je ni vipi nina weza ku ji unga kwenye group la Whatsapp Ili ku pata mafundisho zaidi

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 2 วันที่ผ่านมา

    Sasa michael si uwe menta wangu ndg yangu mm nafanya biashara ya phone accessories niko arusha nataka kufika mbali kwenye biashara

  • @SalhaMaheer
    @SalhaMaheer 2 วันที่ผ่านมา

    Asante sana kaka♥️🙏🙏🙏🙏

  • @khalidhaji-ls2or
    @khalidhaji-ls2or 2 วันที่ผ่านมา

    Hongera somo zur mno

  • @KistamMwakyusa
    @KistamMwakyusa 3 วันที่ผ่านมา

    Kaka VP aunavitabu vya softcop

    • @lenzi.michaelkamukulu
      @lenzi.michaelkamukulu 2 วันที่ผ่านมา

      Ado viko kwenye mchakato, vikiwa tayari tutawatangazia. Shukrani 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @HalimaAmadi
    @HalimaAmadi 3 วันที่ผ่านมา

    Asante sana❤

  • @PauloSiria-p8i
    @PauloSiria-p8i 4 วันที่ผ่านมา

    Exactly

  • @EdinaKamkulu
    @EdinaKamkulu 4 วันที่ผ่านมา

    Yap

  • @khalidhaji-ls2or
    @khalidhaji-ls2or 5 วันที่ผ่านมา

    Hongera brother kazi nzuri

  • @ZindunaAthumani
    @ZindunaAthumani 6 วันที่ผ่านมา

    Daah;ila kweli

  • @suzan638
    @suzan638 6 วันที่ผ่านมา

    Somo zuri sana kaka nakufatilia sanaa .

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 6 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 6 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @felixngwasi9469
    @felixngwasi9469 6 วันที่ผ่านมา

    Kaka hongera kazi nzuri..🎉🎉🎉 live long, nakukubali sana kiongozi, unakitu kizuri sana , yaani ukweli ni kwamba fasihi unayotumia ni yenye ueledi mkubwa kiasi kwamba yawezekana kwa watu ambao hawawezi kutuliza akili zao vizuri wasiweze kuelewa, lakini ukweli ni kwamba unaupiga mwingi...keep it up bro...🎉🎉🎉🎉❤

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 7 วันที่ผ่านมา

    🙏🏾🤗🙌🏽

  • @rahisibeikitchentools6930
    @rahisibeikitchentools6930 8 วันที่ผ่านมา

    Asante

  • @EdinaKamkulu
    @EdinaKamkulu 9 วันที่ผ่านมา

    Kweli

  • @zakariachacha7574
    @zakariachacha7574 9 วันที่ผ่านมา

    Tuko pamoja bro

  • @ZindunaAthumani
    @ZindunaAthumani 9 วันที่ผ่านมา

    It's true

  • @Tobejr
    @Tobejr 9 วันที่ผ่านมา

    Nakupata vizuri mkuu

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 10 วันที่ผ่านมา

    Fact brother

  • @Answerboymusicke
    @Answerboymusicke 10 วันที่ผ่านมา

    Wakanza mie nipeni like zangu

    • @lenzi.michaelkamukulu
      @lenzi.michaelkamukulu 10 วันที่ผ่านมา

      🙏🏾🙏🏾🙏🏾👍🏾👍🏾👍🏾

  • @gmaster977
    @gmaster977 10 วันที่ผ่านมา

    Shukrani sana.

  • @morethanone1692
    @morethanone1692 11 วันที่ผ่านมา

    H∆KIK∆ K∆BIS∆ UN∆CHOKISEM∆ K∆K∆ ,MUNGU ∆KUB∆RIKI

  • @e.mtvfoundation
    @e.mtvfoundation 11 วันที่ผ่านมา

    Umemsema tuwatafte kwa mfumo upi sasa?

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 12 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mkuu Nipo makini nawe

  • @EdinaKamkulu
    @EdinaKamkulu 12 วันที่ผ่านมา

    Kweli kabisa

  • @EdinaKamkulu
    @EdinaKamkulu 12 วันที่ผ่านมา

    ❤❤❤

  • @nicelemoTripleFive
    @nicelemoTripleFive 13 วันที่ผ่านมา

    Asante sana

  • @sarahnasoro6578
    @sarahnasoro6578 14 วันที่ผ่านมา

    Kaka ananikosha na maneno yake yananijenga sanaaa

  • @NajatiJomah
    @NajatiJomah 14 วันที่ผ่านมา

    Ni kweli kabisa kakangu

  • @NtayandiLeonard
    @NtayandiLeonard 14 วันที่ผ่านมา

    🙏

  • @EmanuelJoel-x3c
    @EmanuelJoel-x3c 14 วันที่ผ่านมา

    Nimekupata kiongozi

  • @stellastella2795
    @stellastella2795 14 วันที่ผ่านมา

    Kweli kaka

  • @KelvinNyaitara
    @KelvinNyaitara 15 วันที่ผ่านมา

    🙏🏾

  • @aikt.
    @aikt. 16 วันที่ผ่านมา

    Hapo kwenye kusikia na kusikiliza kuona na kutazama panahitaji maarifa na sio akili

  • @AbdoulRashid-v2l
    @AbdoulRashid-v2l 16 วันที่ผ่านมา

    Nimekupata kk😊

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 16 วันที่ผ่านมา

    Vizuri sana kazi njema

  • @JustinOsnely
    @JustinOsnely 16 วันที่ผ่านมา

    Pamoja kaka

  • @shukranjulius9526
    @shukranjulius9526 17 วันที่ผ่านมา

    Barikiwa zaidi kaka

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 18 วันที่ผ่านมา

    Asante zaidi

  • @aikt.
    @aikt. 18 วันที่ผ่านมา

    Big yes kaka, sema hao watu hawaonekani Kwa macho ya wasiooona hio tension

  • @QuranFirst610
    @QuranFirst610 18 วันที่ผ่านมา

    So deep 😢

  • @zainabuzainabu4160
    @zainabuzainabu4160 18 วันที่ผ่านมา

    Thank you my brother Allah akubariki.

  • @JosiasJosue-y3l
    @JosiasJosue-y3l 19 วันที่ผ่านมา

    Asante sana mkuu lenzi

  • @EdinaKamkulu
    @EdinaKamkulu 19 วันที่ผ่านมา

    Ukweli mchungu

  • @aikt.
    @aikt. 20 วันที่ผ่านมา

    Big yes brother, hatufanani hata ktk njia tunazopita

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 24 วันที่ผ่านมา

    Fact kk 🙌🏾🙌🏾🙏🏾

  • @Dulla_kite
    @Dulla_kite 24 วันที่ผ่านมา

    Daah umeukusa moyo wangu kk shukran sana 💪🏾