BURUNGE TRADITION AND CULTURE SONGS
BURUNGE TRADITION AND CULTURE SONGS
  • 15
  • 7 516

วีดีโอ

waburunge-kwaslumaã
มุมมอง 1602 หลายเดือนก่อน
waburunge-kwaslumaã
waburunge- mila ya kwenda kuiba mifugo hii ni mila ya waburunge wenye asili ya wagogo
มุมมอง 1942 หลายเดือนก่อน
waburunge- mila ya kwenda kuiba mifugo hii ni mila ya waburunge wenye asili ya wagogo
waburunge kutoka kijiji cha Goima wilaya ya Chemba:-Tirengonia
มุมมอง 3322 หลายเดือนก่อน
waburunge kutoka kijiji cha Goima wilaya ya Chemba:-Tirengonia
30 June 2024
มุมมอง 7412 หลายเดือนก่อน
30 June 2024
ngoma nzuri sana ya utamaduni wa kiburunge
มุมมอง 1K2 หลายเดือนก่อน
ngoma nzuri sana ya utamaduni wa kiburunge
waburunge-Lamlamsaida song
มุมมอง 4362 หลายเดือนก่อน
waburunge-Lamlamsaida song
waburunge-ara arayõ
มุมมอง 5972 หลายเดือนก่อน
kutoka kijiji cha madaha wilaya ya chemba mkoa wa Dodoma
ngoma ya kiburunge kutoka kijiji cha madaha
มุมมอง 4602 หลายเดือนก่อน
ngoma ya kiburunge kutoka kijiji cha madaha
ngoma ya waburunge-slasla/aso
มุมมอง 4782 หลายเดือนก่อน
hii ngoma inachezwa siku ya kuwaapisha wazazi kuwa sasa hivi wameshakuwa watu wazima baada ya ngoma ya vijana waliotoka jando kumalizika kama juzi
waburunge: goroisoo
มุมมอง 2706 หลายเดือนก่อน
hii ngoma huchezwa mara nyingi usiku kwemye sherehe ya vijana wa jando,sherehe ya katikati(/afimoo) au ya mwisho (hica/asoo)
waburunge:elimu bure song
มุมมอง 1176 หลายเดือนก่อน
huu ni wimbo wa kabila la waburunge wakisifu sera ya "elimu bure" iliyoidhinishwa na serikali ya awamu ya tano na sita
Ngoma ya waburunge
มุมมอง 4232 ปีที่แล้ว
Ngoma hii huitwa "chora" ni ngoma inayochezwa wakati wa kuwatoa vijana wa kiume kutoka jandoni
hii ni ngoma ya kabila la waburunge ,ni ngoma ya mwisho wakati vijana wanapotolewa jando
มุมมอง 2K2 ปีที่แล้ว
hii ni ngoma ya kabila la waburunge ,ni ngoma ya mwisho wakati vijana wanapotolewa jando

ความคิดเห็น

  • @user-bw8lt8wy1i
    @user-bw8lt8wy1i 6 วันที่ผ่านมา

    Chambaloogii

  • @user-bw8lt8wy1i
    @user-bw8lt8wy1i 6 วันที่ผ่านมา

    Waburunge tusikubali kudanganywa na warangi kufata tamaduni za kirangi tujivunie kuwa waburunge

  • @user-bw8lt8wy1i
    @user-bw8lt8wy1i 6 วันที่ผ่านมา

    Najivunia kuwa mburunge chemba oyeeeeee sominiii burunga isoooo

  • @user-bw8lt8wy1i
    @user-bw8lt8wy1i 6 วันที่ผ่านมา

    Sominii burunga isoo

  • @HawaSwabra
    @HawaSwabra 14 วันที่ผ่านมา

    Had rah bhn weeee nyumbn huko ❤❤❤❤

  • @abbysoonsalum619
    @abbysoonsalum619 25 วันที่ผ่านมา

    ❤❤

  • @abbysoonsalum619
    @abbysoonsalum619 หลายเดือนก่อน

    Mambo moto moto

  • @SamwelMahushi
    @SamwelMahushi หลายเดือนก่อน

    Wapi nyumbu mjanja 😂😂😂 kiburunge

  • @abbysoonsalum619
    @abbysoonsalum619 2 หลายเดือนก่อน

    Hii ilikua kijij gani

    • @damiangabriel8721
      @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

      Ilikuwa,kijiji cha madaha wilaya ya chemba mkoa wa Dodoma

  • @damiangabriel8721
    @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @abbysoonsalum619
    @abbysoonsalum619 2 หลายเดือนก่อน

    Nyumban kama nyumban

  • @damiangabriel8721
    @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

    Tunakila sababu yakujivunia kabila letu na kuhakikisha tunatangaza utamaduni wetu ujulikane Tanzania na nje ya Tanzania

  • @vestinamartin8570
    @vestinamartin8570 2 หลายเดือนก่อน

    🥰🥰🥰

  • @vestinamartin8570
    @vestinamartin8570 2 หลายเดือนก่อน

    Vizuri unatukumbsha nyumbani

  • @vestinamartin8570
    @vestinamartin8570 2 หลายเดือนก่อน

    Iyooo iyooo iyoooo mbona fupi jamani

    • @damiangabriel8721
      @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

      Ha haaa haaa, ipo nyingine nime upload ya nyuma yake kabla ya hii

    • @EsterMathias-jt8ej
      @EsterMathias-jt8ej 2 หลายเดือนก่อน

      My lovely tribe ❤❤❤❤

  • @nyumbumjanja
    @nyumbumjanja 2 หลายเดือนก่อน

    Hii nzuri home Boy

    • @damiangabriel8721
      @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

      @@nyumbumjanja sambaza kwa waburunge wote waipate hii link ili tukuze utamaduni wetu

  • @damiangabriel8721
    @damiangabriel8721 2 หลายเดือนก่อน

    Ndugu mtazamaji na mfuatiliaji wa chanel hii, chanel hii au account hii inajihusisha na kukuza utamaduni wa asili hasa wa kabila la kiburunge ,kabila ambalo linaptikana kwa wingi wilaya ya chemba mkoa wa Dodoma japo wamesambaa kwa wingi mkoa wa Manyara,Tanga na mikoa mingine, karibuni sana mfurahie utamaduni wa Waburunge

  • @nyumbumjanja
    @nyumbumjanja 6 หลายเดือนก่อน

    Najivunia kuwa Mburunge

  • @damiangabriel8721
    @damiangabriel8721 6 หลายเดือนก่อน

    Waburunge katika ubora wao

  • @justinaninga5078
    @justinaninga5078 ปีที่แล้ว

    Very good

  • @vestinamartin8570
    @vestinamartin8570 2 ปีที่แล้ว

    Waoooh