AKY MEDIA
AKY MEDIA
  • 464
  • 2 291 902

วีดีโอ

FAINALY.Ligi ya Byabato Bukoba Cup 2024 BakobaBingwa/Mbunge ataja mbinu alizotumia kuifanikisha Ligi
มุมมอง 5919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FAINALY.Ligi ya Byabato Bukoba Cup 2024 BakobaBingwa/Mbunge ataja mbinu alizotumia kuifanikisha Ligi
FAHAMU.Kiwanda kinachotumia umeme kwa wingi wa TANESCO Kanda ya Ziwa kwenye kilimo cha Umwagiliaji.
มุมมอง 5723 ชั่วโมงที่ผ่านมา
FAHAMU.Kiwanda kinachotumia umeme kwa wingi wa TANESCO Kanda ya Ziwa kwenye kilimo cha Umwagiliaji.
Rais Samia aitaka TANROADS kutoa Kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa.
มุมมอง 402 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameielekeza Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) kuendelea kutoa kipaumbele kwa Wakandarasi Wazawa katika utekelezaji wa miradi ya miundombinu ya barabara na madaraja ili kuwajengea uwezo na kufanya uchumi kuwa na mzunguko mzuri ndani ya nchi. Rais Dkt. Samia ametoa agizo hilo Kilosa Mjini leo Agosti 03, 2024 katika ...
Serikali yaitaka NIDA kuzingatia vigezo utoaji vitambulisho vya Taifa.
มุมมอง 662 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SERIKALI imeitaka Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha inazingatia vigezo vilivyowekwa kisheria katika uandaaji na utoaji wa Vitambulisho vya Taifa ili kuepuka kuwapatia watu wasiokuwa raia wa Tanzania. Kauli hiyo imetolewa mapema leo Agosti 3, 2024 Jijini Mwanza na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mhe. Daniel Sillo wakati akizungumza na Taasisi zilizopo chini ya Wizara hi...
Mwabukusi ashangaza wengi akiapishwa kuwa Urais TLS
มุมมอง 9672 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wakili Bonface Mwabukusi aapishwa rais wa Chama cha Mawakali Tanganyika (TLS) baada ya kushinda uchaguzi wa chama hicho kwa idadi ya kura 1,274 akifuatiwa na Sweetbert Nkuba aliyepata kura 807 kwenye uchaguzi uliofanyika Agosti 2,2024. Uapisho umefanyika leo Jumamosi Agosti 3,2024 kwenye ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Convention jijini Dodoma.
Wakulima 3700 kupatiwa Hekta 6000 za ardhi ili kuongeza kasi kilimo Kagera
มุมมอง 1432 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BUKOBA. Wakulima 3700 kupatiwa Hekta 6000 za ardhi ili kuongeza kasi kilimo Kagera Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa mkoa kagera,Fatma Mwassa leo Agosti 3,2024 katika ufunguzi wa maonyesho ya wakulima nanenane kwemnye viwanja vya nanenane Kyakailabwa Manispaa Mkoa Kagera. Mwassa wakati akiongea na wakulima waliyojitokeza kwenye maonyesho hayo amesema kuwa Serikali mkoa Kagera imeanza Mpango wa ku...
Simba ikiifunga Yanga ning'orewe meno yangu ya juu"Shetani la Yanga"
มุมมอง 382 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Simba ikiifunga Yanga ning'orewe meno yangu ya juu"Shetani la Yanga"
Elimu ya mlipa kodi ipo nane nane bukoba usisahau unakaribishwa kutembelea banda lao
มุมมอง 172 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Elimu ya mlipa kodi ipo nane nane bukoba usisahau unakaribishwa kutembelea banda lao
Mwabukusi ushindi wakeUrais TLS Mapya yaibuka Wakili mwezake anahitaji haki
มุมมอง 5462 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mwabukusi ushindi wakeUrais TLS Mapya yaibuka Wakili mwezake anahitaji haki
Kamera 6,500 Serikali kuzifunga kwenye majiji manne kuzuia uharifu
มุมมอง 1154 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kamera 6,500 Serikali kuzifunga kwenye majiji manne kuzuia uharifu
Simba,Mashabiki Missenyi waliamsha shangwe kila mtaa,Wametoa taulo za kike na kuchangia damu salama
มุมมอง 1574 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Simba,Mashabiki Missenyi waliamsha shangwe kila mtaa,Wametoa taulo za kike na kuchangia damu salama
BASHUNGWA ASHIRIKI JUBILEI YA ASKOFU MSTAAFU DESIDERIUS RWOMA
มุมมอง 1244 ชั่วโมงที่ผ่านมา
BASHUNGWA ASHIRIKI JUBILEI YA ASKOFU MSTAAFU DESIDERIUS RWOMA
Mwabukusi na Rissu Washiriki uchaguzi Urais TLS Wafunguka na mshindi kutangazwa leo
มุมมอง 2664 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Mwabukusi na Rissu Washiriki uchaguzi Urais TLS Wafunguka na mshindi kutangazwa leo
Diamond,Harmonize, Christian Bella wapo kutumbuiza tamasha la Yanga Day Sikia cheche za Manara.
มุมมอง 1.7K7 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Diamond,Harmonize, Christian Bella wapo kutumbuiza tamasha la Yanga Day Sikia cheche za Manara.
Baba adaiwa kumuua mtoto kisha nayeye ajinyonga
มุมมอง 827 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Baba adaiwa kumuua mtoto kisha nayeye ajinyonga
Wizara ya Maliasili imetakiwa kuboresha mapango ya Amboni Tanga
มุมมอง 329 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wizara ya Maliasili imetakiwa kuboresha mapango ya Amboni Tanga
Ester Bulaya,azungumzia kifo cha Mama yake Halima Mdee jinsi walivyokuwa marafiki
มุมมอง 79712 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ester Bulaya,azungumzia kifo cha Mama yake Halima Mdee jinsi walivyokuwa marafiki
Kuelekea Simba Day tambwe zimeanza huko mikoani
มุมมอง 42212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Kuelekea Simba Day tambwe zimeanza huko mikoani
Rayvanny na Lil Romeo kuperform tamasha la Masai Festival Arusha
มุมมอง 5112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Rayvanny na Lil Romeo kuperform tamasha la Masai Festival Arusha
Dk.Tulia Spika wa Bunge,ona kipaji chake naomba tulipatie jina shairi lake hili kafanya Vizuri sana
มุมมอง 25112 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Dk.Tulia Spika wa Bunge,ona kipaji chake naomba tulipatie jina shairi lake hili kafanya Vizuri sana
Nikweli wakina baba hawapendi Kelele Chumbani?wakati wa kunaniliii.......!!!!!!@
มุมมอง 22214 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Nikweli wakina baba hawapendi Kelele Chumbani?wakati wa kunaniliii.......!!!!!!@
SNURA:Sitaki nyimbo zangu zisichezwe popote nimeacha mziki hamtaona mauno tena
มุมมอง 14814 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SNURA:Sitaki nyimbo zangu zisichezwe popote nimeacha mziki hamtaona mauno tena
Bashungwa,Madaraja matano barabara za Kagera kujengwa"tunataka wananchi wafanye biashara kila kona"
มุมมอง 12414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bashungwa,Madaraja matano barabara za Kagera kujengwa"tunataka wananchi wafanye biashara kila kona"
Waziri Bashungwa,ashiriki Ibaada kumuombea Rais Samia/Taifa,Katika Kanisa Anglikana Muleba kagera
มุมมอง 8216 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Waziri Bashungwa,ashiriki Ibaada kumuombea Rais Samia/Taifa,Katika Kanisa Anglikana Muleba kagera
Bashungwa hili swali linamtesa akili,Kila akikanya ardhi ya Bukoba ni Ujenzi wa Kaitaba Stadium
มุมมอง 24219 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Bashungwa hili swali linamtesa akili,Kila akikanya ardhi ya Bukoba ni Ujenzi wa Kaitaba Stadium
Lameck Lawi,moto unazidi kufukuta jikoni, Sasa atishiwa kupelekwa mahakamani kisa malipo ya Usajili
มุมมอง 8919 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Lameck Lawi,moto unazidi kufukuta jikoni, Sasa atishiwa kupelekwa mahakamani kisa malipo ya Usajili
Yusuph Kagoma wa Simba afunguka kuhusu mkataba wa Yanga
มุมมอง 13121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Yusuph Kagoma wa Simba afunguka kuhusu mkataba wa Yanga
Prof.Mkenda"Wale wa kusoma Ujumbe wenu huu hapa"Serikali yasitisha mitaala ya kidato cha tano
มุมมอง 81121 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Prof.Mkenda"Wale wa kusoma Ujumbe wenu huu hapa"Serikali yasitisha mitaala ya kidato cha tano
Zimamoto watoa tamko Kali kuhusu wanaochoma moto hovyo Kagera.
มุมมอง 8321 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Zimamoto watoa tamko Kali kuhusu wanaochoma moto hovyo Kagera.