- 470
- 178 449
KYATA Online
เข้าร่วมเมื่อ 25 มิ.ย. 2013
Matukio, Jamii, Sanna na Utamaduni !
Kuishtaki serikali kwa kubadilishwa jinsia
Mwanaume aliebadili jinsia na kuwa mwanamke nchini Marekani amesema kuwa ataifungulia kesi taasisi iliobadili jinsia jinsia katika hati yake ya kusafiria.
Mdada huyo ambae anajitambua kwama mwanamke baada ya kubadili jinsia alishtushwa kupokea paspoti yake akiwa anambulika kama mwanaume.
Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline
bit.ly/3dMAX0l
HamimKyata
KYATAOnline
hamim_kyata_
Production : - Kyata Online @kyataonline
Mdada huyo ambae anajitambua kwama mwanamke baada ya kubadili jinsia alishtushwa kupokea paspoti yake akiwa anambulika kama mwanaume.
Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline
bit.ly/3dMAX0l
HamimKyata
KYATAOnline
hamim_kyata_
Production : - Kyata Online @kyataonline
มุมมอง: 27
วีดีโอ
Wahamiaji Marekani kunyia debe Guantanamo
มุมมอง 342 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Wahamiaji haramu Marekani watakaokamatwa, watapelekwa kufungwa katika gereza la Guantanamo. Guantanamo ni gereza ambalo lilipata umashuhuri mwaka 2001 baada ya mashambulizi ya Septemba 11 Marekani ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Wapalestina wahamie Egypt na Jordan kupisha ujenzi Ukanda wa Gaza
มุมมอง 1349 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Baada ya kusitishwa kwa mapigano Ukanda wa Gaza kwa muda , rais wa Marekani apendekeza kuhamishwa kwa muda wakazi wa eneo hilo ili kurahisisha shughuli za ujenzi na kuimarisha usalama. Wapalestina wa Gaza wahamishiwe Misri na Jordan ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata ...
Ndege ya Rais wa Kolombia kuwasafirisha raia wake kutoka Marekani
มุมมอง 9999 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ndege mbili zilizoandaliwa kuwasafirisha wahamiaji 160 kutoka nchini Kolombia katika utekelezaji wa ahadi za rais wa Marekani kuhusu uhamiaji, rais wa Kolombia amefahamisha kwamba ataagiza ndege yake nchini Marekani kuwachukuwa raia wake ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - K...
Trump aanza kutekeleza ahadi zake
มุมมอง 31012 ชั่วโมงที่ผ่านมา
- Kubadilisha kipengele cha katiba kuhusu uraia wa Marekani kwa watoto wanaozaliwa Marekani - Wahamiaji kurejeshwa katika mataifa yao Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Umoja wa Ulaya wavunja mkataba na Senegal
มุมมอง 2419 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Senegal yavunja mkataba na Umoja wa Ulaya ikidai kushindwa kulipa nusu ya pesa ya makubaliano huku Umoja wa Ulaya ukifahamisha kwamba Senegal ilishindwa kutekeleza masharti na kutoa nafasi kwa China ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Afanya mapenzi na wanaume 100 ndani ya masaa 24
มุมมอง 33821 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Msichana mwenye umri wa miaka 23 kutoka Uingereza amefanya mapenzi na wanaume 100 ndani ya masaa 24 . Baada ya kuvunja rikodi hiyo amefahamisha kuwa ilikuwa ni mazoezi na kutangaza kwamba yupo katika maandalizi ya kuvunja rikodi nyingine kwa kufanya mapenzi na wanaume 1000 ndani ya masaa 24 . Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYAT...
Siri ya mafuta ya Diddy yafichuliwa !
มุมมอง 69วันที่ผ่านมา
Kifo cha kushangaza cha aliekuwa "baunsa" #uncleRom wa Diddy muda mchache baada ya kuposti Tik tok video anayomtuhumu #Diddy na Jay Z ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Kuluna , mkwala mzito wa adhabu ya kifo JK Kongo !
มุมมอง 1.5Kวันที่ผ่านมา
Hukumu ya kifo iliotolewa kwa vijana wahalifu wanaojulikana kwa jina la #kuluna Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo itatekelezwa ? Sheria inasemaje ? mashirika ya kutetea haki za binadamu yanakemea vikali hukumu hiyo ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Macron ashutumu viongozi wa Afrika kutokuwa na shukrani ?
มุมมอง 5214 วันที่ผ่านมา
Rais wa Ufaransa , katika mkutano na mabalozi wake amezungumza kuhusu kuondoka kwa wanajeshi wa Ufaransa katika mataifa tofauti barani Afrika. Wanajeshi hao walikuepo Ukanda wa #AfrikaMagharibi kwa lengo la kıupambana na makundi ya magaidi. Hotuba aliotoa kuhusu viongozi wa mataifa hayo kutotoa shukrani kwa mchango wa #Ufaransa imezua mtafaruku na mitazamo tofauti ... Kwa mengi zaidi endelea ku...
Wanajeshi wa Kim Jong Un wadakwa na Zelenskyy
มุมมอง 2514 วันที่ผ่านมา
Ukraine yawadaka wanajeshi wa Korea Kaskazini katika mapigano . Kufuatia wanajeshi wa Korea Kaskazini waliokamatwa na jeshi la Ukraine katika uwanja wa mapambano, rais wa Ukraine ameitolea wito Urusi kuwaacha huru wanajeshi wake waliokamatwa na kuzuiliwa katika kambi za jeshi la Urusi. Korea Kaskazini na Urusi hawajatoa kauli yeyote kuhusu tukio hilo huku ikifahamishwa kwamba ni zaidi ya wanaje...
Moto Los Angeles , jibu la mungu vita vya Gaza ?
มุมมอง 23014 วันที่ผ่านมา
Moto wa nyika ambao umeteketeza mjini wa #LosAngeles umetafsiriwa kwa namna tofauti : - Ajali na janga la kawaida - Jibu kutoka kwa mungu kufuatia vita vinavyoendelea Ukanda wa #Gaza Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline hamim_kyata_ Production : - Kyata Online @kyataonline
Kifo cha Mwanasiasa chasherehekewa Ufaransa !
มุมมอง 9714 วันที่ผ่านมา
Taarifa ya kifo cha mwanasiasa mgongwe na muanzilishi wa chama cha mlengo wa kushoto imepokelewa namna tofauti. Baadhi ya raia katika miji tofauti nchini Ufaransa wamesherekeya kifo cha Jean Marie Le Pen huku wengine wakiomboleza na kupongeza juhudi na mchango wa mwanasia huyo ... Kwa mengi zaidi endelea kufuatilia #kyataonline bit.ly/3dMAX0l HamimKyata KYATAOnline inst...
Mkono wamuangusha waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani Syria
มุมมอง 15121 วันที่ผ่านมา
Kiongozi wa mapinduzi nchini Syria amezungumzo baada ya kumpukea waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa na waziri wa mambo ya nje Ujerumani. Kilichozua gumzo ni kutompa mkono waziri wa mambo ya nje wa Ujerumani ambae ni mwanamke. Kitendo hicho kimetafsiri kuwa ni kutokana na misimamo mikali ya kidini ya kiongozi huyo aliemundoa madarakani rais #Assad . Balozi wa zamani wa Ufaransa nchini #Syria ame...
Jay Z amgeuzia kibao wakili "aliemzulia" kesi ya ubakaji
มุมมอง 7021 วันที่ผ่านมา
Shawn Corey Carter a.k.a Jay Z amenfungulia mashtaka wakili aliemfungulia kesi akimtuhumu kumnyanyasa kingono mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 13 mwaka 2000. Mme wa Beyonce anamtuhumu loya huyo kumfungulia kesi ya uongo ambayo amemuaharibia heshima yake katika jamii. Kulingana na taarifa , tuhuma dhidi ya Jay Z hazina hazina mashiko kwa kukosekana kwa ushahidi ... Kwa mengi zaidi endelea kufu...
Balozi ataka kunyolewa sehemu za siri / Afanya mapenzi na mfungwa UK
มุมมอง 40621 วันที่ผ่านมา
Balozi ataka kunyolewa sehemu za siri / Afanya mapenzi na mfungwa UK
Kimenuka kati ya Niger na Nigeria, China yaingilia kati !
มุมมอง 11521 วันที่ผ่านมา
Kimenuka kati ya Niger na Nigeria, China yaingilia kati !
Ukraine yaikatia gesi Ulaya bila ya kujali Winter !
มุมมอง 1.4K28 วันที่ผ่านมา
Ukraine yaikatia gesi Ulaya bila ya kujali Winter !
Kifo cha 2 Pac na "White Partiez" za Diddy
มุมมอง 6128 วันที่ผ่านมา
Kifo cha 2 Pac na "White Partiez" za Diddy
Elon aahidi kupambana dhidi ya "Mfumo Shawishi " baada ya mwanae kubadili jinsia
มุมมอง 113หลายเดือนก่อน
Elon aahidi kupambana dhidi ya "Mfumo Shawishi " baada ya mwanae kubadili jinsia
Vazi la mtalii Zanzibar , kwanini waadhibiwe vijana wa Makachu ?
มุมมอง 209หลายเดือนก่อน
Vazi la mtalii Zanzibar , kwanini waadhibiwe vijana wa Makachu ?
Wapewa Euro elfu 30 ili waondoke Ulaya !
มุมมอง 661หลายเดือนก่อน
Wapewa Euro elfu 30 ili waondoke Ulaya !
Apewa Dollar 2500 kukausha alichofanywa na Diddy ?
มุมมอง 279หลายเดือนก่อน
Apewa Dollar 2500 kukausha alichofanywa na Diddy ?
Urusi yazidiwa na Zelenskyy nchini Syria ?
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
Urusi yazidiwa na Zelenskyy nchini Syria ?
Delegation Kutoka DR Congo ( Ankara 2022)
มุมมอง 252 หลายเดือนก่อน
Delegation Kutoka DR Congo ( Ankara 2022)
Canada na Marekani kushirikiana dhidi ya Urusi Cuba
มุมมอง 1997 หลายเดือนก่อน
Canada na Marekani kushirikiana dhidi ya Urusi Cuba
Chanzo cha vifo vya mahujaji Saudia Arabia / Nani alaumiwe ?
มุมมอง 2927 หลายเดือนก่อน
Chanzo cha vifo vya mahujaji Saudia Arabia / Nani alaumiwe ?
Hao wana pewa kitimba cha mtu mzima
Yaani Kwa maana nyingine lisiwepo Tena.Hii unamaanisha kwamba Wapalestina wamezwe kwenye mataifa mengine halafu hao wanaojiita Israel wachukue maeneo yote waliobakishwa Wapalestina.Yaani hata maazimio ya umoja wa mataifa ya 1968 na mengineyo yapuuzwe kabisa.Sidhani kama ni rahisi.
Daktari warudi wakafanye utafititena kwenye kipara wamemchemka, Hatawewe wewe dokta utafiti mwingine kabla hujatuletea ufanyie utafiti kwanza ndo utuletee.
Shukran kwa abari 🙏🏽
😂😂😂 mshauri lakini baba levo hana kipara na ashaga sema kwamba anajichukuliyaga sheria mkononi mara kwa mara.
unaelewa vibaya wewe
Wazungu wanawatetea wahalifu ambao wanawafaadhili wala mdiwasikilize
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. wazungu wanatuchezea sana Afrika.
Kongo Amani itapatikana Kama UN wataondoka kongo.Majeshi ya Africa yatengeneze jeshi la kulinda kongo. UN ndio M23. Kuluna wako chin ya wazungu, Haki zabinadamu wamewekwa na wazungu kwa ajili ya kuwatetea wahalifu walio waweka. Ndio maana hata wazungu wamarekani wamekamatwa kwenye msako wa kundi la kuluna.Waafrika tujifunze tusiwe wajinga. wazungu wanatuchezea sana Afrika.
UN, haki za binadamu ,M23 nakuluna ni Marekani.
Mdiwasikilize wanaojifanya haki zabinadamu kumbea niwakewale waleoweka hayo makundi kongo,marekani wameua wangapi inamaana haki zabinadamu hakuna,sadam busei walimnyonga wamarekani
Wazungu wanatuchezea Sana, kongo pale UN ndio M23 wenyewe. cc kwa ujinga wetu usiyo na mwisho tunaona UN wako pale kongo kuleta amani. Njia yakuleta amani Kongo waafrika tuchague, ( 1 ) Afrika iunde jeshi lao llipelekwe kongo ,jeshi hilo litahusika pia katika maeneo mengine kote Africa UN waondolewe waende kwao Amani itapatika tena kwa mda mfupi. ( 2 ) Wakongo washbiri au Africa tusibiri madini yaishe kongo ndipo Amani ipatikane maana wazungu wataonfoka Kongo Maana inacho waweka kongo ni mali zetu. UN ndio M23 wenyewe. Waasi wote duniani ni mali ya wazungu,boko haram banyamlenge, na magonjwa yote sugu unayo yajua. M23 wakimaliza kazi kongo watapelekwa pengine Africa penye madini. Afrika tuunde jeshi la afrika UN watoke . saivi kongo magenge yakihalifu yamekamatwa lkn hadi wazungu wa marekani wamo wa3 wanaitwa Kuluna kama panya rodi hadi wamarekani kweli?
asante kwa comment yako!
kweli
Hawana kitu wafaransa sisi njo tuna wasaidiya wale ni wakaidi sana
njaa zenu na coruption tu
Kitugani wa Faranca, walifanya ukanda wa Sahel ? Shukulani ya nini?
kupigana na wagaidi
Iyomoja kwli,iwe marekani iwe mayahudi nilazima walipe damu yawatuwa Gaza iwe wakohayi au wamekufa
Thanks
hujui
Wali mwengu ni Atari sana
asante kwa comment yako
🙏🏽🙏🏽🙏🏽🇧🇮
Vijana wamekosa hela
wamekosa kitu na pesa 💇♂
Wewe unacho kwa mbali
wamegana nchi
Hizi kesi hizi daaaaaah ....
ndio maana mahakama zipo ... na mawakili watetezi pia
@kyataonline5262 isiwe ni wao wameundaunda hizo kesi ili wapate kazi
@@husseiniddy2067 inawezekana pia , uchunguzi unaendelea
Historia ya uongo hiyo
haya asante
Je nikiacha nitapona na kuweza kutungisha mimba
jaribu uone
Dini ya Haki pekee ni inayomtambua Yesu Kristo ni BWANA na mwokozi wa Ulimwengu.
Je nikiacha mazara yatanipa?
Naomba nisaidie sasa hivi natowa harufu mbaya mwili yani nitakachokula ndio harufu inasikiaka mwili I hadi kwenye nguo nilizokaaa hadi nyumba nzima nanuka sana sijui nini tatizo
Na kikatio cha nyama kinafanya nn hapo😢
kinakata maziwa 😃
Unapatikana wapi
nyumbani
Watu tayari wamemsahau yule mtanzania alieuwawa kivita mwanzoni mwa uvamizi wa urusi dhidi ya Ukraine
Lies, hivi unajua kua vyombo vya habari vya Western ni mashirika ya kijasusi kama ilivyo CIA na wengine tofauti ni kwamba vita ya vyombo vya habari vya western ni thru publishing fake issues against adui zake
Tafuta habari nyingine
Kamdanganye mama ako na mkeo au mumeo
Kama nikweli hapo napo Urusi inafeli
Umetumwa...
Sasa hapo Saudia anaulimik nini? Mtu kapita njia ya panya bimaana hatambuliki yeye atalala wapi? Sbb sisiote tulishafik pale siku za Hijj, utaratibu ni kila nchi hupewa sehemu ya kulala hata, hata iwe Arafat au Muzdalefa
Propaganda iliyojaa mavi
Watupe Visa
Kwa nguvu kivipi?
Mimya Mimya
Uongo huo na wewe unakubali kuutangaza
UNAFIRWA AU UNATAKAKUFIRWA?
Huo ni uongo mbona hayupo hata mmoja aliyerudishwa baada ya kukataa maana Angelitokea hata mmoja ulaya ingekua Habari kubwa sana.Kilichoko huko ni waafrika wenyewe hujiunga kwa hiyari.Acheni uongo jeshi la urusi hata robo ya wanajeshi wake hawajawatumia
Kwanza mimi nataman kujiunga na jeshi la urusi kuliko kujiunga na jeshi la mashoga urusi ndioo mkomboz wa Africa hao wengine wanyonyaji tu kama nawewe ni timu Russia gonga like zako hapo
asante kwa kutoa mtazamo wako
@@kyataonline5262 Ujinga ndiyo mauti ya kwanza ya mtu aliyekosa malezi bora. Siyo kosa lake, ni ushoga wa akili unao msumbua kiasi kwamba ameshindwa kujitambua. Ni kumsamehe ugonjwa akili ni changamoto kwa vijana wengi ktk Afrika
Hata urusi watu wanafirana sana wewe ni wale Hoya Hoya hujitambui jinga kabisa
Hawajahalalisha kisheria wewe hujui @@robertphilip385
😂😂😂😂😂sass mwanangu ndio unatuletea habar ila mbona habar zenyew unacopy 😂😂😂😂dah!halafu habar zenyew 😂😂😂😂zauzush mtupu
Huna akili kabisa tena huwenda wewe ni shoga mana sura yako inaonesha
😂😂😂😂yaani jamaa yuko serious kumbe anafloo utumbo tu
amesema ni uvumi sio msimamo wake nyie . ndio maana mnapelekeshwa bila kujijua
😂😂😂😂
asante sana kwa kudakia bila kuelewa
@@ruzedukajacques8885 asante sana kwa kuelewa
Laah, upo kwenye Dunia ya uongo wkt ulimwengu ushatoka huko, zamani mngetudanganya but now days you can't. Foolish news