OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR
OFISI YA RAIS TAMISEMIM ZANZIBAR
  • 300
  • 308 591
WANANCHI KUVITUMIA VYEMA VITUO VYA ZIMAMOTO NA UOKOZI
Mkoa Kaskazini Unguja Zimamoto kiwengwa 25/12/2024
Waziri wa Kilimo Umwagiliaji, Maliasili na Mifugo Mh Shamata Shaame Khamis, ameutaka uongozi wa kikosi cha Zimamoto na Uokozi, kuvilinda vituo vinavyojengwa na kuwapatia elimu wananchi ya kujihami pale matukio ya Moto yanapotokea.
Akifungua kituo cha zimamoto na Uokozi katika shehia ya Kiwengwa Wilaya ya kaskazini B Mkoa wa kaskazini Unguja, amesema azma ya serikali ni kuona wananchi wanaishi katika maisha ya salama na kuwakinga na majanga mbali mbali.
Amesema serikali
itaendelea kukijengea uwezo kikosi hicho kwa kukipatia vifaa na Magari ya kisasa ya kufanyia kazi, huduma za uzimaji moto sambamba na kuumarisha mazingira bora kwa askari wa kikosi hicho.
Nae Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Issa Mahafudh Haji, amesema ujenzi wa kituo hicho umegharimu Jumla ya Shilingi Milioni Mia Tano ambapo kitarahisisha kuwafikia wananchi hasa katika eneo hilo lililozungukwa na hoteli za kitalii kwa kuweza kutoa huduma wakati wote.
Kamishna wa Kikosi cha Zimamoto na Uokozi Rashid Mzee Abdalla amesema kikosi hicho kimeshajenga maeneo mengine kama vile Tasini,Wete, Finya na Micheweni kisiwani Pemba na kwa Unguja ni Mahonda na Buyu.
mwisho
25/12/2024
มุมมอง: 92

วีดีโอ

UZINDUZI WA KIWANJA CHA KUFURAHISHIA WATOTO PAJE
มุมมอง 11619 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi Dkt. Khalid Salum Mohammed, amesema Serikali zote mbili zimekuwa zikitekeleza mkataba wa kimataifa wa haki ya mtoto, ikiwemo kumlinda na kumuwekea mazingira mazuri ya kuishi. Akizindua mradi wa kiwanja cha kufurahishia watoto Paje, amesema faida ya Mapinduzi ya Mwaka 1964, ni kuhakikisha watoto wanapatiwa stahiki zao, ikiwemo kulindwa, kupatiwa malezi b...
UFUNGUZI WA MAHANGA YA KULALA ASKARI WA KVZ PANGATUPU
มุมมอง 18819 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mh Lela Muhamed Mussa, amepongeza utekelezaji wa mradi wa nyumba 25 za kulala askari wa kikosi cha Valantia, ambao umezingatia thamani halisi ya fedha zilizotolewa zaidi ya shilingi milioni mia tatu. Akiweka jiwe la msingi katika chuo cha mafunzo cha cha KVZ Pangatupu ikiwa maadhimisho ya miaka 61 ya Mapinduzi ya Zanzibar, amewata askari kuthamini juhudi za S...
ASASI ZA KIRAIA KUSAIDIA SHUGHULI ZA KIMAENDELEO
มุมมอง 8621 วันที่ผ่านมา
Mkuu wa Mkoa Kaskazini Unguja, Mh Mattar Zahor Masoud, amesema Serikali kwa nia njema imeruhusu kuwepo asasi za kiraia, ili kusaidia juhudi za Serikali katika kuleta maendeleo na sio vyenginevyo. Akizungumza na Masheha wa mkoa huo Afisini kwake Mkokotoni, amesema zipo asasi nyingi za kiraia zimekuwa zikifanya vizuri katika kuongeza nguvu za kuiwezesha jamii kuweza kujiendesha na kujikimu kimais...
NGO's ZIWE NA MASLAHI KWA JAMII.
มุมมอง 6921 วันที่ผ่านมา
Mrajis wa jumuiya zisizo za kiserikali Ahmed Khalid Abdullah, amesema wataendelea kuziunga mkono jumuiya ambazo zinatoa michango ya kimaendeleo na kuwa na maslahi kwa jamii. Akizungumza na Masheha wa mkoa wa mjini Magharib, Skuli ya Tumekuja mwembeladu. amesema jumuiya zote zilizosajiliwa zinalazimika kuendelea kusimamia malengo yake na kufuata sheria, kulinda silka, mila na desturi za mzanziba...
UJUMBE WA SHIRIKA LA DELOITTE KUKUTANA NA WAZIRI MASOUD
มุมมอง 87หลายเดือนก่อน
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ mh Masoud Ali Mohammed, amesema Serikali itaendelea kutoa ushirikiano kwa Taasisi binafsi zinazojishughulisha kusaidia masuala ya kijamii ikiwemo kupambana na magonjwa ya kuambukiza. Akizungumza na Ujumbe wa Shirika la Deloitte inayodhaminiwa na Shirika la msaada la Marekani USAID, Ofisini kwake Vuga, amesema ...
WAZIRI MASOUD AZINDUA MPANGO MKAKATI 2025/2030
มุมมอง 145หลายเดือนก่อน
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ Mh. Masoud Ali Mohammed, amesema kuzinduliwa kwa mpango mkakati Wilaya ya Kati, utasaidia kuibua miradi mipya ya maendeleo. Akizindua mpango mkakati wa miaka mitano kuanzia 2025/2030, huko Uroa Pongwe Pwani, amewataka watendaji hao kuhakikisha kuwa mpango huo uende sambamba dira ya maendeleo ya nchi na isewe k...
MAFANIKIO YA MIAKA MINNE YA OR TAMISEMIM
มุมมอง 57หลายเดือนก่อน
MAFANIKIO YA MIAKA MINNE YA OR TAMISEMIM
UWASILISHAJI TAARIFA YA UTEKELEZAJI WA (OR) TAMISEMIM JULAI-SEPTEMBA 2024
มุมมอง 274หลายเดือนก่อน
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Masoud Ali Mohammed, amesema ofisi yake imepata mafanikio ya utekelezaji wa miradi zaidi ya hamsini ya maendeleo. Akiwasilisha taarifa ya utekelezaji kwa kipindi cha Julai hadi Septemba 2024, amesema miongoni mwa miradi hiyo ni ujenzi wa masoko, vituo vya wajasiriamali, ujenzi wa mahanga, nyumba na majengo ya...
UFUNGUZI WA MASOKO MWANAKWEREKWE NA JUMBI
มุมมอง 1572 หลายเดือนก่อน
UFUNGUZI WA MASOKO MWANAKWEREKWE NA JUMBI
UJENZI WA OFISI ZA SHEHIA
มุมมอง 1952 หลายเดือนก่อน
UJENZI WA OFISI ZA SHEHIA
TANGAZO LA UFUNGUZI WA MASOKO
มุมมอง 1832 หลายเดือนก่อน
TANGAZO LA UFUNGUZI WA MASOKO
TAWALA ZA MIKOA KUANZA KUTUMIA MUUNDO MPYA
มุมมอง 2462 หลายเดือนก่อน
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ, Mh Masoud Ali Mohammed amesema utumiaji wa muundo mpya katika Taasisi ni nyezo kuu katika utekelezaji wa majukumu kwa ufanisi. Akikabidhi muundo mpya wa Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, ofisini kwake vuga, kwa Wakuu wa mikoa, Wakuu Wilaya, Makatibu Tawala na Wakurugenzi wa Serikali za Mitaa, amesema kupi...
JKU NA KVZ KUJENGA SHELI MTONI
มุมมอง 2.5K2 หลายเดือนก่อน
Jeshi la Kujenga Uchumi Zanzibar na Kikosi cha Valantia , vinatarajia kujiongezea mapato zaidi baada ya kuanzisha ujenzi wa mradi mkubwa wa vituo vya kuuzia mafuta. Akitoa taarifa ya ujenzi wa kituo cha mafuta cha JKU kiliopo Mtoni, Mkuu wa Jeshi la Kujenga Uchumi Kanal Makame Abdallah Daima, amesema mradi huo utakiwezesha kikosi hicho kuweza kuchangia fedha katika mfuko mkuu wa Serikali. Aidha...
EPUKENI KUUZA VIWANJA KINYUME NA SHERIA
มุมมอง 1263 หลายเดือนก่อน
WILAYA YA KUSINI KAMISHENI ARDHI. 20/9/2024 Kamisheni ya Ardhi Zanzibar imewataka wananchi kuepuka makosa ya kupanga, kupima na kuuza viwanja bila kufata sheria ya haki ya matumizi ya ardhi inavyoelekeza. Akitoa elimu kwa masheha wa Wilaya ya Kusini huko Makunduchi, Mkurugenzi Mtendaji Kamisheni ya Ardhi Mussa Kombo Bakari, amesema mwananchi anaweza kufikishwa katika vyombo vya sheria na kupata...
Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani awataka wafanyabiashara kuhamia soko jipya Kipitacho
มุมมอง 943 หลายเดือนก่อน
Mkurugenzi Baraza la Mji Mkoani awataka wafanyabiashara kuhamia soko jipya Kipitacho
WAFANYA BIASHARA WA SAMAKI MKOANI WATAKIWA KUWA WASTAHAMILIVU KUPISHA UJENZI WA SOKO JIPYA
มุมมอง 683 หลายเดือนก่อน
WAFANYA BIASHARA WA SAMAKI MKOANI WATAKIWA KUWA WASTAHAMILIVU KUPISHA UJENZI WA SOKO JIPYA
MASHEHA WAPATIWA MAFUNZO
มุมมอง 433 หลายเดือนก่อน
MASHEHA WAPATIWA MAFUNZO
UJENZI WA OFISI ZA SHEHIA UNAENDELEA VIZURI
มุมมอง 3993 หลายเดือนก่อน
UJENZI WA OFISI ZA SHEHIA UNAENDELEA VIZURI
MAAFISA HABARI NA UHUSIANO OR -TAMISEMIM WATAKIWA KUWAJIBIKA IPASAVYO
มุมมอง 1533 หลายเดือนก่อน
MAAFISA HABARI NA UHUSIANO OR -TAMISEMIM WATAKIWA KUWAJIBIKA IPASAVYO
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI HANYEGWA MCHANA
มุมมอง 754 หลายเดือนก่อน
WAFANYABIASHARA WATAKIWA KUJITOKEZA KWA WINGI HANYEGWA MCHANA
WAJASIRIAMALI MTULE KUFANYABIASHARA BILA TOZO
มุมมอง 2144 หลายเดือนก่อน
WAJASIRIAMALI MTULE KUFANYABIASHARA BILA TOZO
MASHEHA WATAKIWA KUDHIBITI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI
มุมมอง 865 หลายเดือนก่อน
MASHEHA WATAKIWA KUDHIBITI VITENDO VYA UVUNJIFU WA AMANI
MKANDARASI WA KITUO CHA MABASI CHUINI ATOA TATHMINI YA UJENZI UNAVYOENDELEA.
มุมมอง 4.5K5 หลายเดือนก่อน
MKANDARASI WA KITUO CHA MABASI CHUINI ATOA TATHMINI YA UJENZI UNAVYOENDELEA.
UJENZI WA KITUO CHA MABASI YA ABIRIA CHUINI WAFIKIA ASILIMIA 90
มุมมอง 1.3K5 หลายเดือนก่อน
UJENZI WA KITUO CHA MABASI YA ABIRIA CHUINI WAFIKIA ASILIMIA 90
MAKAMO WA PILI AMETEMBELEA MASOKO YA MKWAJUNI NA CHAANI
มุมมอง 2145 หลายเดือนก่อน
MAKAMO WA PILI AMETEMBELEA MASOKO YA MKWAJUNI NA CHAANI
TUME YA UTUMISHI IDARA MAALUM KUFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA
มุมมอง 3595 หลายเดือนก่อน
TUME YA UTUMISHI IDARA MAALUM KUFANYA MAREKEBISHO YA SHERIA
KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZA SHEHIA ZATAKIWA KUIMARISHA ULINZI KATIKA MAENEO YAO.
มุมมอง 705 หลายเดือนก่อน
KAMATI ZA ULINZI NA USALAMA ZA SHEHIA ZATAKIWA KUIMARISHA ULINZI KATIKA MAENEO YAO.
WAFANYABIASHARA WASHAJIHISHWA KULITUMIA SOKO LA DONGE
มุมมอง 2386 หลายเดือนก่อน
WAFANYABIASHARA WASHAJIHISHWA KULITUMIA SOKO LA DONGE
WAFANYABIASHARA WALIOPISHA UJENZI SOKO LA MKWAJUNI KUPEWA KIPAUMBELE
มุมมอง 2656 หลายเดือนก่อน
WAFANYABIASHARA WALIOPISHA UJENZI SOKO LA MKWAJUNI KUPEWA KIPAUMBELE

ความคิดเห็น

  • @mohamedjuma1878
    @mohamedjuma1878 หลายเดือนก่อน

    Kwani hao masheha lazima wawe wazee

  • @hamidamussa-sy4fm
    @hamidamussa-sy4fm 2 หลายเดือนก่อน

    Sawa

  • @MalkDaffa
    @MalkDaffa 2 หลายเดือนก่อน

    Hongereni San

  • @NassoroHaji-i8k
    @NassoroHaji-i8k 2 หลายเดือนก่อน

    Hongeren sana Vikos vyetu vya Smz

  • @omarissamashaallahpresiden2920
    @omarissamashaallahpresiden2920 3 หลายเดือนก่อน

    Wakodisheni watu waeke mapembe ila soko hapo mmefeli

  • @bshhdxgdhjjdhd7627
    @bshhdxgdhjjdhd7627 3 หลายเดือนก่อน

    Namba zenu nataka

  • @Talltz
    @Talltz 3 หลายเดือนก่อน

    Jina langu farid abdalla Ali kwa jina la sanaa Fami toll

  • @Talltz
    @Talltz 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam alikum mm Ni msanii wa music kutoka Zanzibar naitaji kuitangaza idara maalum kupitia kipaji changu

  • @Talltz
    @Talltz 3 หลายเดือนก่อน

    Asalam alikum mm Ni msanii wa music kutoka Zanzibar naitaji kuitangaza idara maalum kupitia kipaji changu

  • @Mithlesalumkhamadi
    @Mithlesalumkhamadi 3 หลายเดือนก่อน

    Habar za asubuh nataka kitanda

  • @MadinaAhmed-u9z
    @MadinaAhmed-u9z 4 หลายเดือนก่อน

    Namim naitaj

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla5772 5 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana

  • @ameali5606
    @ameali5606 5 หลายเดือนก่อน

    Mvua ikinyesha ndan hamna sehem salama kwa sababu hawakueka miundombinu mizur... Tunaomba mueke saw mucje kumtia aibu mh Rais.

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782 5 หลายเดือนก่อน

    Mvua ikinyesha, ham kufanya upembuzi yakinifu ya mradi, Nia njema ila mipango mibovu

  • @harithwhite589
    @harithwhite589 5 หลายเดือนก่อน

    Mbona kipo kizamani zamani

  • @aishaaliothman7180
    @aishaaliothman7180 5 หลายเดือนก่อน

    Kwanyanya hakuna watu

    • @MgeniKhamis-g9t
      @MgeniKhamis-g9t 17 ชั่วโมงที่ผ่านมา

      Tuko mashetani

  • @hamadhamad3148
    @hamadhamad3148 5 หลายเดือนก่อน

    Ohh mashallah km hio ingekiepo mjini dajani wallah

  • @ameali5606
    @ameali5606 5 หลายเดือนก่อน

    Kuna haji kheir mmoja tuu dunian.... Huyu jamaa alkua anapga Kaz kwa bidii.

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 5 หลายเดือนก่อน

    Poleni

  • @BahatiHamis-z8q
    @BahatiHamis-z8q 5 หลายเดือนก่อน

    Hongera Doctor MWINYI

  • @is-hakaame
    @is-hakaame 6 หลายเดือนก่อน

    Huyu bi memi alikua ni mwalimu wa Skuli amenisomesha ila hongera kwake bi MEMI

  • @BakarAliy
    @BakarAliy 6 หลายเดือนก่อน

    Mhmmm poleni

  • @ameali5606
    @ameali5606 6 หลายเดือนก่อน

    Idara maalum haitobowi kuwa na tume ya utumish... Mtu ana darasa LA 7 unadhan anatatua nn uyo zaid ya ugovi

  • @salahhddindasuvic6447
    @salahhddindasuvic6447 6 หลายเดือนก่อน

    Nzuri sana

  • @hamisaLbsi
    @hamisaLbsi 6 หลายเดือนก่อน

    Soko zinasinzia kwa sababu wanauza vitu bei htr yaan soko kama supamaket ilo

  • @WanuOman
    @WanuOman 6 หลายเดือนก่อน

    Kweli tabu

  • @MeshackMadeha
    @MeshackMadeha 7 หลายเดือนก่อน

    Mungu awabariki sana na awaepushe watu wasiokuwa na nia njema na Serikali SMZ

  • @sadikfarhansadik6096
    @sadikfarhansadik6096 7 หลายเดือนก่อน

    Shida mmejenga sehemu ambayo hat ao watumiaji hawajaridhika kwann msiwashauri na kuwauliza wajengewe wapi hatimayake hata watu uko sokoni wanashwindwa kwenda

  • @AllyHassan-e2m
    @AllyHassan-e2m 7 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi munqu awabariki sana vionqozi wetu wote wa serikali kwa nia njema kwa wananchi wote wa zanzibar unquja na pemba

  • @musaakim2853
    @musaakim2853 7 หลายเดือนก่อน

    Tayari mshawatengezea ullaji wengine wengine ambao huitwa [manucipal] nalitakua chavu kama choo sio muda mrefu na watanganyika mamanitilie

  • @jakobongwara3038
    @jakobongwara3038 7 หลายเดือนก่อน

    Hongela saana viongozi kwakutenda haki

  • @IddiKhamis-u6c
    @IddiKhamis-u6c 8 หลายเดือนก่อน

    Manispaa wanashindwa kutekeleza usafi kwenye masoko. Wakati wafanya biashara wanalipa kodi ikiwemo na suala la usafi.

  • @ameali5606
    @ameali5606 8 หลายเดือนก่อน

    Kwan serikal za mitaa bado zpo Zanzibar ??

  • @ameali5606
    @ameali5606 8 หลายเดือนก่อน

    Jesh na vlemba.... Wahind bwana😅😅

  • @bakaromar8979
    @bakaromar8979 9 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri

  • @khamishassan7775
    @khamishassan7775 9 หลายเดือนก่อน

    Tunaomba. Na sisi tuajiriwe. Rasmin. Mhesimiwa. Tunaomba maan tunapata. Tabu kwny uliz

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 10 หลายเดือนก่อน

    Kwa taarifa yenu waliopimwa ndotayari

  • @hamadyussuf5307
    @hamadyussuf5307 10 หลายเดือนก่อน

    Mukisha jaza watoto wenu ndio mutatangaza kuwadanganya watu, tushawazoea

  • @bolothedone
    @bolothedone 10 หลายเดือนก่อน

    Nimejenga taifa mika miwili 2kamili ila ajira zimetoka .vijana wa jku tumeachwa pending na wamechukuliwa vijana wa uvccm .ambao hawajui hata jeshi ni Nini uzalendo hawaujui .taratibu zakijeshi hawazijui ni raia wakawaida .tu mnamchukua kwamamaaake mnamuandikisha kwenye ajira kisa mtoto wa mkubwa...yule aloesota miaka 2 mvua jua .kapoteza muda kambini kujitoa .Leo hii serekali inamuona Bora raia wa chama ccm kuliko kijana wa jku mpiganaji ambae ameshapata mafumzo yakijeahi utimamu waakili uvumilivu na ushupavu et Leo munamuacha ...hii nchi matokea machafu yatatokea nawatakao sababisha matukio hayo niwale vijana waliojenga taifa kwa weledi Kisha ikaja ajira mukawanyima ndipo atakapoamua kufanya ujambazi nakumnasa iwe ngumu maana mafumzo yaujasiri mlishampa kitambo tu. SEREKALI HILI ANGALIENI SANA KUNA VIJANA MAKAMNINI WANASOTA NA JEMBE KWANINI? MUCHUKUE RAIA WA CHAMA CCM

  • @KhamisHaji-pw4jo
    @KhamisHaji-pw4jo 10 หลายเดือนก่อน

    Mkuu muakane wakuu wa police wanadharau vikosi vyetu vya ulinzi Zanzibar,,,,,mimi hawa police nazidi wabongo nahic kama hawajielewi,,,,, shame for them

  • @SmilingBanjo-ud6hp
    @SmilingBanjo-ud6hp 10 หลายเดือนก่อน

    Alafu mbona wakujenga taifa washing washaingia kambin zamani

  • @SmilingBanjo-ud6hp
    @SmilingBanjo-ud6hp 10 หลายเดือนก่อน

    Watu wakijiunga kwa ajili ya kujenga uchumi hawapigiwi simu private kuenda kama kikawaida wapeleke maombi Makaomakuu ya JKU apo mlifeli ndio mnaleta sababu izo miaka 4 bila kuajir

  • @khatibmako3500
    @khatibmako3500 10 หลายเดือนก่อน

    Kama wanapima nini na wengine wameshakwenda kujenga taifa twambieni vizuri

  • @mansurirectification
    @mansurirectification 10 หลายเดือนก่อน

    Watu awan ajira ndo maan wanaleta uvumi hii 21 century

  • @omarjustas9152
    @omarjustas9152 10 หลายเดือนก่อน

    😂😂😂😂😂hawajui ata kudanganya

  • @MahadSatar
    @MahadSatar 10 หลายเดือนก่อน

    😢

  • @MakameNdume
    @MakameNdume 10 หลายเดือนก่อน

    Mh mbona mutuacha njia panda apo munataka muuingize watu zenu tu wanaojenga taifa washaingia makmbin mwao tokea jumatatu ilopita

  • @mahmoudsaidy2677
    @mahmoudsaidy2677 10 หลายเดือนก่อน

    Salute Mkuu.

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 10 หลายเดือนก่อน

    Tunampelekea malalamiko wala hajali

  • @HassanSalmin-u7r
    @HassanSalmin-u7r 10 หลายเดือนก่อน

    Ayo maneno ana yasema nchani mwa ulimitu