- 1
- 373
Kwaya ya Mt.Anna-Mtwivila(KAM)
เข้าร่วมเมื่อ 23 ม.ค. 2024
Karibuni katika channel ya Kwaya ya Anna Mtwivila, Wakihudumu Katika Parokia ya Mkimbizi.
Tunakukaribisha wewe mtazamaji wetu kusikiliza na kutafakari ujumbe wa neno la Mungu ambao wanakwaya watautoa.
## Sharing ## Is ## Caring
Tunakuomba share(kusambaza) na kujiunga(Subscribe) channel hii.
Asante na Mungu Awabariki

Teremka Bwana by G.C.Mkude Sekulu
Karibuni kusikiliza na kutafakari wimbo mzuri wa majilio utunzi wake G.C.Mkude Sekulu,ukiimbwa na kwaya ya watakatifu Joakimu na Anna Mtwivila (KJAM) parokia ya Tokeo la Bwana-Mkimbizi Jimbo katoliki la Iringa
มุมมอง: 380
Hongereni sana...
❤ najivunia kuwa mkatoliki
Hongereni sana Mtakatifu Anna,nawatakia kipindi chema cha majilio
Kazi nzuri wapendwa mnatuinjilisha vema Mmetabasamu vzuri inapendeza hakika🥰🤩
Asante mkuu