- 223
- 47 414
SLAY WITH LOARA MWANZA
เข้าร่วมเมื่อ 11 ก.ย. 2022
Bosses Karibuni
@slay_with_loara_mwanza Tunauza Mtumba safi Grade A kutoka China,Canada na UK kwa gharama nafuu kabisa
Tunazo nguo aina zote za wakaka,wadada pia watoto na masweta pia nguo za masherehe na mashela ya mtumba
Tunauza Jumla na rejareja pia Mabalo na nusu balo kwa baadhi ya mizigo
Tunapatikana Mwanza 0743133421
Tunatuma Mizigo Mikoa yote kwa uaminifu kabisa 🙏 ❤️
@slay_with_loara_mwanza Tunauza Mtumba safi Grade A kutoka China,Canada na UK kwa gharama nafuu kabisa
Tunazo nguo aina zote za wakaka,wadada pia watoto na masweta pia nguo za masherehe na mashela ya mtumba
Tunauza Jumla na rejareja pia Mabalo na nusu balo kwa baadhi ya mizigo
Tunapatikana Mwanza 0743133421
Tunatuma Mizigo Mikoa yote kwa uaminifu kabisa 🙏 ❤️
MIZIGO ILIYO TAYARI KUTUMWA
Ulishawahi Kuagiza Balo Za Nguo Ukaletewa Nguo Za Ovyo Au Pengine Usiletewe Kabisa (Kutapeliwa)Najua Inauma Na inavunja Moyo Wa Kuendelea Kununua Vitu Mtandaoni Lakini Vipi Nikisema SLAY WITH LOARA tunauwezo wa Kukupatia Mabalo mazuri, Nguo Classic Na Kwa Uaminifu Mkubwa 100%Uwe Mwanza Au Nje Ya Mwanza pia Nchi Jirani Sisi tunakuhakikishia kukupa balo safi kulingana na mazingira pia wateja wako.Ukituchagua sahau hasara/kufunga/kuacha biashara kwani mizigo yetu ni bomba Tuna balo kutoka China,Uarabuni,Uturuki,Canada na Uk za nguo za watoto,Wakaka na wadada(wamama) Tunauza balo za mtumba grade A na Cream AMBAYO HAIJACHAKACHULIWA Acha kupoteza pesa karibu kwetu upate kilicho bora Uwe miongoni mwa mashuhuda wa huduma zetu hutajutiaPia tuna nguo official pair kiroba (nguo za kiofisi za wadada na wamama Yaani suruali na shirt yake)Kiroba hiki HUTAKIPATA MAHALI POPOTE TANZANIA ISIPOKUA KWETU TU🔥🔥🔥🙌🏾🥰Tunapatikana Nyamanoro stand Mwanza,mwanzo wa barabara ya mawe ielekeayo kawekamo utaona Bango la SLAY WITH LOARA UTATUPATA HAPO 🥰WhatsApp na simu namba 0743 133 421Karibuni nyote
มุมมอง: 64
วีดีโอ
GIRL DRESS (GAUNI YA MTOTO)
มุมมอง 14414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Ulishawahi Kuagiza Balo Za Nguo Ukaletewa Nguo Za Ovyo Au Pengine Usiletewe Kabisa (Kutapeliwa)Najua Inauma Na inavunja Moyo Wa Kuendelea Kununua Vitu Mtandaoni Lakini Vipi Nikisema SLAY WITH LOARA tunauwezo wa Kukupatia Mabalo mazuri, Nguo Classic Na Kwa Uaminifu Mkubwa 100%Uwe Mwanza Au Nje Ya Mwanza pia Nchi Jirani Sisi tunakuhakikishia kukupa balo safi kulingana na mazingira pia wateja wako...
POLLY & SILK BLOUSE BALO NAMBA 1
มุมมอง 47วันที่ผ่านมา
Tunapatikana Nyamanoro stand Mwanza Tanzania 0743133421
LONG FASHION DRESS -MTUMBA
มุมมอง 125วันที่ผ่านมา
Ulishawahi Kuagiza Balo Za Nguo Ukaletewa Nguo Za Ovyo Au Pengine Usiletewe Kabisa (Kutapeliwa)Najua Inauma Na inavunja Moyo Wa Kuendelea Kununua Vitu Mtandaoni Lakini Vipi Nikisema SLAY WITH LOARA tunauwezo wa Kukupatia Mabalo mazuri, Nguo Classic Na Kwa Uaminifu Mkubwa 100%Uwe Mwanza Au Nje Ya Mwanza pia Nchi Jirani Sisi tunakuhakikishia kukupa balo safi kulingana na mazingira pia wateja wako...
CCR YA MTOTO YA UARABUNI PIA YA CANADA IPO🔥🔥✔️
มุมมอง 54วันที่ผ่านมา
BALO ZA NGUO NYEPESI ZA WAOTO 45kg 👇 - Zinakua mchanganyiko za KIKE NA ZA KIUME. Aya tuanze balo la 480,000/= sifa ya hii inatoa nguo nyingi za miaka 0 hadi 10 idadi 300 LA CHINA (CCR) ipo ya 660,000 hii pia ni grade one na ni nzuri tu kwa mtu mwenye wateja wa 5000-4000-6000🤝idadi 300-400 umri wake 0 hadi miaka 5 LA DUBAI (CR) Pia la uturuki 690,000/= lipo inatoa nguo 400-500 unaweza kuuza 5000...
BALO MIXER CREAM YA WATOTO
มุมมอง 6921 วันที่ผ่านมา
Balo Cream ya Watoto ya 950,000 pis 350-400 Ni kukata ,Kunyoosha na kupanga dukani Ila pia zipo balo kama BALO ZA NGUO NYEPESI ZA WAOTO 45kg 👇 - Zinakua mchanganyiko za KIKE NA ZA KIUME. Aya tuanze balo la 480,000/= sifa ya hii inatoa nguo nyingi za miaka 0 hadi 10 idadi 300 LA CHINA (CCR) ipo ya 660,000 hii pia ni grade one na ni nzuri tu kwa mtu mwenye wateja wa 5000-4000-6000🤝idadi 300-400 u...
KIROBA CHA SHIFFONI CREAM BLOUSE
มุมมอง 4621 วันที่ผ่านมา
Tunapatikana Nyamanoro Stand Mwanza 0743133421
KIROBA CHA PARTY DRESS CHA TSH 380,000
มุมมอง 126หลายเดือนก่อน
KIROBA CHA PARTY DRESS CHA TSH 380,000
SHIFFONI BLOUSE NAMBA 1- 550,000/= PIS 250+
มุมมอง 94หลายเดือนก่อน
SHIFFONI BLOUSE NAMBA 1- 550,000/= PIS 250
KIROBA CHA PARTY DRESS HA UTURUKI 380,000 TU
มุมมอง 1682 หลายเดือนก่อน
KIROBA CHA PARTY DRESS HA UTURUKI 380,000 TU
SUTI QUALITY ZA MTUMBA ZIPO KUANZIA 40,000 -60,000 TU
มุมมอง 872 หลายเดือนก่อน
SUTI QUALITY ZA MTUMBA ZIPO KUANZIA 40,000 -60,000 TU
FEEDBACK YA BALO LETU LA COTTON DRESS 450,000/= KWA MTEJA WA IGUNGA
มุมมอง 452 หลายเดือนก่อน
FEEDBACK YA BALO LETU LA COTTON DRESS 450,000/= KWA MTEJA WA IGUNGA
BALO LA LONG DRESS -PIS 100-110 KWA 750,000
มุมมอง 2683 หลายเดือนก่อน
BALO LA LONG DRESS -PIS 100-110 KWA 750,000
sauti sauti huna sauti
@@hassanomar4446 yeah
Umenifaa sana aseee, ushauri mzuri, very honestly, God bless you
@@nicholauscharles74 Amen
Samahani kipenzi,balo za shuka unauzaje
Bello ya pazia bei gani
Hiyo sina boss
What is the name of the bale?
Long fashion dress
Nguo nzur
@@AzizaAza-q8w Asante
Huz dishdash zako unchku awap blo
Asante sana. Tupe mawasiliano yako
0743133421
Uko wap dada nataman kujifunza
@@ZawadDeus Nyamanoro Mwanza
Tunataka nusu balo la short sport za kike tunapataje
Nitumie namba Yako tuongee Kwa WhatsApp nipo hapa Dar
Unapatikana wapi
@@HappynessiMwangingo Nyamanoro Mwanza
sauti ipo chini una madini sema sauti boresha kwa upande sauti please
@@Oceancooperate sawa boss
yani dada unaboa kwenye sauti ebu angalia kwenye video hii sauti ilivyo chini jitahidi kuzingatia voice yako
@@Oceancooperate mbona nimeanza na pole boss na nimeelezea naumwa kikohozi 😂
ushauri mzuri lakini sauti yako ipo chini sana jitahidi kuwa unazingatia sauti yako
Sawa boss
Unaeza leta Kenya balo ama
Ndio boss
Country of origin
Turkey
Balo nzuri sana country kani
Vp dada naweza PATA belo ya taulo
@@Steve-q8m nina bathrobe pekee boss
Nataka Kuuza Nguo za watoto wa kike na wa kiume Je Nikitaka balo naangaliaga vigezo gan..
Naitaj balo na ni shi ngap
@@PrinceHaleem-s8g la kitu gani
❤❤🙏🙏kipenz
@@fortunatusanyilebuli318 shukrani
Uzid kubarikiwa pamoja nakaz yamikono yako mpendwa
Besty napataje mzigo npo sengerema
Big mac unazo
Uko wapi naomba namba nahitaji❤🎉🎉🎉
❤❤
Dada namba
Weka phone number
Ety. Vip nitapta unitumie
Hey Nimekua nikikufuatilia sana for more than 9 months Bale zako zinakua Safi sana Na hua Napenda kua nikinunua Bale kwako shida Ni Niko Kenya na sijui naeza ongea Na wewe vipi for more information
Umewin kweli. Balo zuri
mambo dada upo wapi kenya au tanzania
@@zenawahindi2425 poa Mwanza Tanzania
ukipta mda ongelea nguo za wakaka
❤❤Asante kipenz
Karibu ❤
Mim natka ilo ila nikopemba nipateje
Mbon hain siruar
@@MariaBogoki kitu gani
Hua Unadelivery Andi wapi
@@joymwende3571 popote
Label ni gani
Asante sana barikiwa
Amen
Samahani kujua balo zuri utajuaj
Weka namba yako ya simu madam
@@hamisstimu 0743133421
@@loaras96 ubarikiwe saana
How much for a quality chiffon blouse bale
480,000 Tsh
Mnapatikana wapi guys
@@AgripinaMalio nyamanoro Mwanza
Ukipata mda ongelea na duka la nguo za watoto🙏
Jeeee kwa walo kuwa znz unatuma pia
@@AmeirhajjRamadhan-e1h ndio boss
Mambo hilo balo la gauni siwezi kupata nusu yake?
@@cherryabwao3404 hapana boss
Kuna bale ya nguo ya watoto wa kiume from 0- 12
@@ROSEMULEI hapana boss
Naomba mawasiliano please nipo kahama shy
@@SekelwaPhilipo 0743133421
@@loaras96 asante nitakucheck
Dada nahitaji kuanza ila sijajua mahali pakupata mzigo
@@RaphaelChacha-x9g karibu tuwasiliane 0743133421
@@loaras96 ahsante nita kuchek
@@loaras96 ahsante nita kuchek
Asante sana Mungu akubariki
@@LuccyJoseph-n4i Amen