- 2 205
- 651 123
J19 MICHEZO
Tanzania
เข้าร่วมเมื่อ 20 ก.ย. 2013
J19 MICHEZO Channel yako bora kwa taarifa za Michezo , Share, Like na Comment
Foll as on
Instagram reelCx2PaC1tm4h/?igshid=NzZhOTFlYzFmZQ==
Foll as on
Instagram reelCx2PaC1tm4h/?igshid=NzZhOTFlYzFmZQ==
KIPA WA T STARS MANULA AFUNGUKA NAMNA YA KUMCHAPA GUINEA
KIPA WA T STARS AFUNGUKA NAMNA YA KUMCHAPA GUINEA
มุมมอง: 14
วีดีโอ
YANGA KUMUACHA BALEKE, WAMALIZINA NA WINGA WA KIMATAIFA
มุมมอง 1212 ชั่วโมงที่ผ่านมา
Yanga wanafikiria kuachana na Striker Jean Baleke katika dirisha la dogo la January na nafasi yake kuchukuliwa na mchezaji mwingine wa kimataifa anayecheza nafasi ya winga!! ambaye tayari amemalizana na Yanga!!
MCHEZAJI ALIEPITIA YANGA ASAJILIWA FOUNTAIN GATE
มุมมอง 2612 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MCHEZAJI ALIEPITIA YANGA ASAJILIWA FOUNTAIN GATE MKATABA WA MWAKA MMOJA
SIMON MSUVA AFUNGUKA SABABU YA KUACHWA NA KOCHA.
มุมมอง 2414 ชั่วโมงที่ผ่านมา
SIMON MSUVA AFUNGUKA SABABU YA KUACHWA NA KOCHA.
KMC WAMEZIJIBU SABABU 5 ALIZOTOA ABDI HAMID MOALLIN.
มุมมอง 10514 ชั่วโมงที่ผ่านมา
MC wamezijibu sababu tano (5) alizotoa Kocha Abdi Hamid Moallin ambazo zimemlazimisha kuvunja mkataba na KMC. Mstahiki Meya wa Kinondoni Songoro Mnyonge ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi wa KMC na kuweka mambo hadharani kuhusu kocha Moalin anayetajwa kutua Yanga.
WAJUE WACHEZAJI WENYE UMRI MKUBWA ZAIDI LIGI KUU TANZANIA BARA 2024/25.
มุมมอง 4914 ชั่วโมงที่ผ่านมา
01.-Jina: Meddie Kagere UMRI: Miaka 38 Timu yake: Namungo FC 02.-Jina: Felly Mulumba UMRI: Miaka 37 Timu yake: Coastal Union 03.-Jina: Erasto Nyoni UMRI: Miaka 37 Timu yake: Namungo FC 04.-Jina: Shaban Kado UMRI: Miaka 36 Timu yake: Pamba Jiji 05.-Jina: John Bocco UMRI: Miaka 36 Timu yake: JKT Tanzania 06.-Jina: Ley Matampi UMRI: Miaka 35 Timu yake: Coastal Union 07.-Jina: David Luhende UMRI: M...
WAAMUZI WA TANZANIA WAPEWA SEMINA YA VAR
มุมมอง 1516 ชั่วโมงที่ผ่านมา
WAAMUZI WA Tanzania WAPEWA SEMINA ya VAR unayofanyika katika ukumbi wa Hotel ya King Jad Dar es Salaam
RC MTANDA BAADA YA PAMBA JIJIFC KUPATA USHINDI WA KWANZA
มุมมอง 2721 ชั่วโมงที่ผ่านมา
RC MTANDA BAADA YA PAMBA JIJIFC KUPATA USHINDI WA KWANZA
BONDIA ABDUL UBAYA ATOA YA 'MOYONI' BAADA YA KUFANYIWA 'KUBWA' NA RAIS.
มุมมอง 15614 วันที่ผ่านมา
BONDIA ABDUL UBAYA ATOA YA 'MOYONI' BAADA YA KUPOKEA MIL 5 ZA RAIS SAMIA
UKWELI KUHUSU KOCHA AMROUCHE NA UJIO WA AFCON 2027, WAZIRI 'AFUNGUKA'.
มุมมอง 7214 วันที่ผ่านมา
UKWELI KUHUSU KOCHA AMROUCHE NA UJIO WA AFCON 2027 WAZIRI 'AFUNGUKA'.
MASHABIKI WAGOMA KUONDOKA WATAKA KUMUONA DEBORA FERNANDEZ
มุมมอง 1.2K14 วันที่ผ่านมา
MASHABIKI WA GOMA KUONDOKA WATAKA KUMUONA DEBORA FERNANDEZ
TAZAMA 'MTIFUANO' ULIOTOKEA, SINGIDA vs YANGA NBC PREMIUM LEAGUE
มุมมอง 75614 วันที่ผ่านมา
TAZAMA 'MTIFUANO' ULIOTOKEA, SINGIDA vs YANGA NBC PREMIUM LEAGUE
KOCHA WA TWIGASTARS ATOA SABABU YA KUCHAPWA NA MOROCCO
มุมมอง 10721 วันที่ผ่านมา
KOCHA WA TWIGASTARS ATOA SABABU YA KUCHAPWA NA MOROCCO
UJENZI WA KIWANJA ARUSHA MAMBO NI MOTO WAFIKIA 7% MASAA 24
มุมมอง 32221 วันที่ผ่านมา
UJENZI WA KIWANJA ARUSHA MAMBO NI MOTO WAFIKIA 7% MASAA 24
RAIS WA TFF, 'AFUNGUKA' BAADA YA KUITEMBELEA TAIFA STARS KAMBINI.
มุมมอง 13521 วันที่ผ่านมา
RAIS WA TFF, 'AFUNGUKA' BAADA YA KUITEMBELEA TAIFA STARS KAMBINI.
T STARS KIKOSI KITAKACHO INGIA KAMBINI MASHINDANO YA CHAN KOCHA AKITAJA.
มุมมอง 5621 วันที่ผ่านมา
T STARS KIKOSI KITAKACHO INGIA KAMBINI MASHINDANO YA CHAN KOCHA AKITAJA.
RAIS SAMIA AWAPA NGORONGORO HEROES MILIONI 20
มุมมอง 11228 วันที่ผ่านมา
RAIS SAMIA AWAPA NGORONGORO HEROES MILIONI 20
TAZAMA, BAADA YANGA KUICHAPA SIMBA, WAAMKA NA SUPU FUNGUA MDOMO
มุมมอง 15628 วันที่ผ่านมา
TAZAMA, BAADA YANGA KUICHAPA SIMBA, WAAMKA NA SUPU FUNGUA MDOMO
'KIMEUMANA' DODOMA, BAADA YA YANGA KUICHAPA SIMBA.
มุมมอง 62428 วันที่ผ่านมา
'KIMEUMANA' DODOMA, BAADA YA YANGA KUICHAPA SIMBA.
'SIRI' ILIYOFANYA NGORONGORO HEROES KUFUZU AFCON 2025
มุมมอง 109หลายเดือนก่อน
'SIRI' ILIYOFANYA NGORONGORO HEROES KUFUZU AFCON 2025
GAMOND, FADLU NA AWESU WAFUNGUKA HAYA, KUELEKEA OCT 19, 2024
มุมมอง 87หลายเดือนก่อน
GAMOND, FADLU NA AWESU WAFUNGUKA HAYA, KUELEKEA OCT 19, 2024
SEMINA YA CAF USALAMA VIWANJANI MSIGWA AFUNGUKA 'MAZITO'
มุมมอง 88หลายเดือนก่อน
SEMINA YA CAF USALAMA VIWANJANI MSIGWA AFUNGUKA 'MAZITO'
LIGI KUU DODOMA JIJIFC WANACHO FANYA MCHEZO NA COASTAL UNION
มุมมอง 88หลายเดือนก่อน
LIGI KUU DODOMA JIJIFC WANACHO FANYA MCHEZO NA COASTAL UNION
RC MAKONDA AWAKABIDHI COASTAL UNION UWANJA WA ARUSHA,
มุมมอง 333หลายเดือนก่อน
RC MAKONDA AWAKABIDHI COASTAL UNION UWANJA WA ARUSHA,
SEMAJI LA CAF NA UJUMBE KWA MASHABIKI KUELEWA DABI OCT 19.
มุมมอง 347หลายเดือนก่อน
SEMAJI LA CAF NA UJUMBE KWA MASHABIKI KUELEWA DABI OCT 19.
MANENO YA MSIGWA NA NAIBU WAZIRI FA BAADA YA T STARS 'KUPIGWA'
มุมมอง 307หลายเดือนก่อน
MANENO YA MSIGWA NA NAIBU WAZIRI FA BAADA YA T STARS 'KUPIGWA'
RAIS DKT SAMIA ALIPIA TIKETI 20,000 AFCON TANZANIA vs KONGO DRC
มุมมอง 79หลายเดือนก่อน
RAIS DKT SAMIA ALIPIA TIKETI 20,000 AFCON TANZANIA vs KONGO DRC
FEI TOTO AWEKEWA OFA MPYA NA AZAM, MSHAHARA Tsh 35m
มุมมอง 106หลายเดือนก่อน
FEI TOTO AWEKEWA OFA MPYA NA AZAM, MSHAHARA Tsh 35m
CHUJI AELEZEA KIPIGO CHA 5 DHIDI YA YANGA, SIMBA 5-0 YANGA. (2012)
มุมมอง 717หลายเดือนก่อน
CHUJI AELEZEA KIPIGO CHA 5 DHIDI YA YANGA, SIMBA 5-0 YANGA. (2012)
AHMED ALLY MECHI NA YANGA OCT 19, ''TUKICHEZA NA AZAM NI WATOTO WA 2000''
มุมมอง 393หลายเดือนก่อน
AHMED ALLY MECHI NA YANGA OCT 19, ''TUKICHEZA NA AZAM NI WATOTO WA 2000''
Matangazo ya mechi yote-twaomba tafadhali
Hiyo iko sawa ,Imeenda hiyo Good luck for the Boys. Taifa ⭐ Kazi iendelee.
Pesa munaiba sana
wana zingua ss mafundi tunafanya kazi ila mishahara midogo san fund analipaa 12000 kwa siku
Thanks more Sir we believe project will complete on the right time.
Mbona hakuna mzazibari haha mmoja ???vipi tuna timu yetu au??
Sanaaaa
Dodoma jiji fc piga hao wagosi wa ndima Coastal union 3-1
Kweli kabisa mkuu
Nizamu yenu nyie mkajaze uwanja
ovyo!!!
Hiyo nazan 96 au 97
Hatar vikosi hivyo anafungwa yeyote, Nkamia ni simba lakin sku ya mechi ya simba na Yanga akitangaza uwez mjua,
Ankooo safi sana Kwa kwenda Mjini 😎
Pamoja
Kabla hujaiona jezi vizuri imetoka, unataka kukaza macho uone vizuri imekuja picha nyingine.
Mfarijini tu😢
huyo mwenyewe mamaake mlemavu mbona sisi hatusemi
8 zinakuhusu
Subiri siku yako ifike. Tiunacheka uchafu hatucheki kilema
Na tarehe nane mtafute akupe majibu nani ana kikosi Bora maana tarehe 3 niliwaona wamasai wanarukaruka tu sio timu
Inaonyesha chama anawauma sana hadi leo.
Hapo Dodoma si nikaribu na Mirembe hapo🤣🤣🤣🤣🤣
waoooo nkublii san wannguu
karibunii sna kidng arena
Jambo Jema sana
Hongera sana brother
Boss bwana ni mjanja sana.anajua kutafuta siku za kuishi miaka mingi
Bravo Dar young African
Hata uso wako unaonekana dhahili kuwa mnawaza kazi inayowakabili.
Unajitekenya na kucheka mwenyewe.
Nakubal sana blood
Nilimuona live na nilifanya nae fitness pamoja
Shukrani comment
🎉
Toa hao mafisadi wote Simba wanawaz utapel t ss mashabk nd tunaumia vunja bench lote anzish upy
Kazi iendelee
Saf
Aibu tupu izi Tanzania nikama wamerogwa😂
Huyu mwakinyo ndo anaemda kuisha
Ufala
Ukweli au sababu ilishaelezwa na bondia Mzanzibar ambaye alitangulia kwenye pambano kabla ya akina Mwakinyo. Nina hakika mabondia wengi wanavuja jasho huku watu wachache wakinufaika na pindi ukisimamia maslahi yako hao wanyonyaji wanatumia vyombo vya habari kwa upana wake kuwadaganya watu kuwa bondia fulani hafai ila ni wakati wa mabondia kuwa wazi na kuacha utumwa
Tunajua kila kitu kuhusu wewe Mzee champez wala usitumie nguvu nyingi kujielezea hao washenzi wanampango wa kukuhalibia lakini naamini mungu yupo atasimama na wewe kaka
Waziliwamichezo ukowap alafumatukiohaya mbona yanajiludia sana alafuuyo mwakinyo mbona kilasikuyeye kama kilabondia unaeletewa anakuwa amekuzid basi fanya kitukimoja achangumi naww ukawekungwi mama yako akupeajila yakufunda
Namkubali MCHUMIA TUMBO na kauli yake.......mapromota broken
Booooooo
Mwakinyo ni kama samia tuu kusifiwa kwingii hamna chochote
Mwakinyo ni mwizi tuu kama weezi wengine kwa nini mchukue viingilio
Chuki sio mtaji ndugu, pambano limeahirishwa na watu wengine unamlaumu na kumsema mwakinyo ambae kimsingi yeye hausiki na maandalizi na msimamizi WA pambano Hilo. Jambo linalomhusu yeye ni kujiandaa na kupigana mwengine sio Yake.
weweakili hunavingilio helaana pokea mwakinyo unaongea kamamlevi
Khaaaaaa uswaili tupu naujinga yani kila pambano lamwakinyo lazima liwe na vibweka
Kama mlilijua hili tunaomba hela zetu.
youtube.com/@ajoyoclassic5762?si=i1V8C3ON4vITHuRK
Duuh 😂 bongo ngumi labda za mitaani 😎sintokaa nitoe hamsini yangu nilipie kiingilio kwaajili ya ngumi 😢
Mapambano ya Mwakinyo huwa ni miyeyusho tu. Sijui kwann