Kongowe Safina Choir Official
Kongowe Safina Choir Official
  • 9
  • 15 622
NIKODEMO - AICT KONGOWE SAFINA CHOIR(Official Music Video)
#gospelmusic #gospel #gospelsongs #nikodemo #likowapipendo #tanzaniamusic #youtubeshorts #youtube #youtubevideo #tanzania #injili #nyimbozainjili #yesu #jesus #jesuschrist
มุมมอง: 890

วีดีโอ

MAADHIMISHO YA MIAKA 23 YA KWAYA YA SAFINA - AICT KONGOWE (SAFINA DAY)
มุมมอง 1474 หลายเดือนก่อน
Tunamshukuru Mungu wa mbinguni tarehe 24.09.2023 tulipata kibali cha kufanya ibada kubwa ya kumshukuru BWANA Yesu kwa miaka 23 ya ya kwaya yetu tukihudumu kwa kutangaza injili kwa njia ya uimbaji.
GETHSEMANE - AIC Kongowe Safina Choir (Official Music Video)
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Kazi ya msalaba inakumbukwa sana kutokana na matokeo yake ya ukombozi wa mwanadamu kupitia kifo cha Bwana Yesu. Yesu alitangaza msamaha wa dhambi kwetu baada ya kukamilisha kazi aliyotumwa na Baba yake. Lakini mambo yote yalianzia katika bustani ya gethsemane ambapo Yesu aliomba aondolewe mateso lakini kwa mapenzi ya Mungu pekee. Habari hii inapatikana katika Mathayo 26:36-27:60. Wimbo huu itak...
AIC KONGOWE SAFINA CHOIR - NAMWONA. (Official Music Video)
มุมมอง 1.2Kปีที่แล้ว
Ni wakati wa kumbukizi za tukio muhimu kuwahi kutokea ambalo lina historia kubwa katika maisha ya watu wengi hasa jamii ya waaminio. Kumbukizi ya kuzaliwa kwa Mwokozi wa ulimwengu “Yesu Kristo Mwana wa Mungu.” Tarehe 25 ya mwezi December kila mwaka wakristo kote duniani huadhimisha tukio hili muhimu. Wapo ambao humpokea Yesu kama Bwana na Mwokozi wao katika mikutano ya Noel na idadi kubwa ya wa...
Liko_wapi_pendo? - AIC Kongowe Safina Choir (Official Music Video)
มุมมอง 2.4Kปีที่แล้ว
Katika maisha yetu kama wakristo kuna wakati tunaishi tukiyaangalia mambo ya mwili sana kuliko mambo ya rohoni (1 Wakorintho 3:1-9) kama vile visasi, chuki, magomvi, n.k. Mambo haya yamewafanya wakristo wa leo kuwa watu wa kawaida kama walivyo wamataifa maana hakuna tofauti kati yao. Lakini Bwana Yesu alifundisha kuwa upendo ndicho kitu cha pekee kitakachowafanya wacha Mungu kustahimili katika ...
Ole_wa_Ulimwengu - AIC Kongowe Safina Choir Official Video 5k
มุมมอง 3.1K2 ปีที่แล้ว
Yesu alipokuwa katika kitimiza majukumu yake ya kuhubiri injili kwa watu wote, alikutana na watu mbalimbali walikuwa wametendewa mambo mabaya na walikuwa wamejawa na visasi. Lakini katika yote Yeye (Yesu) aliwakumbusha kuwa kusamehe ndio tiba ya maumivu yao hata kama walipita kwenye tanuru la moto wa mabaya bado wangepona na kusonga mbele (Math 18:21-22), huku akiwaonya wale wanaowatendea wenza...
Sensa -AIC Kongowe Safina Choir Official Video
มุมมอง 6K2 ปีที่แล้ว
Kila nchi hufanya zoezi la sensa ya watu na makazi ili kuweza kupata takwimu halisi ya idadi ya watu wake ili kuweza kuwahudumia. Watu hao ni pamoja na; 1. Makundi maalumu (wazee, watoto, wenye ulemavu na wenye mahitaji maalumu) 2. Vijana n.k Kufahamu huko kutaiwezesha serikali kupanga mipango ya maendeleo na pia kuweza kufuatilia utekelezaji wa mipango hiyo. Karibu usikilize wimbo huu Umeandik...
AIC Kongowe Safina Choir-Tafuteni amani live church performance
มุมมอง 5033 ปีที่แล้ว
Tunakutia moyo wewe mkristo kuitafuta amani na watu wote. Wimbo huu unatoka katika vitabu vya Waebrania 12:14, Isaya 55:6-8
AIC Kongowe Safina Choir-Nadhiri
มุมมอง 7353 ปีที่แล้ว
Unapomwekea Mungu nadhiri, hakikisha unaiondoa. Mhubiri 5:1-5

ความคิดเห็น