YOSH TTV
YOSH TTV
  • 145
  • 39 818
NENO LA MUNGU KJTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA (12:22-28) EPS 76#
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI
KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA UWE BWANA NA MWOKOZI WANGU DAIMA NAOMBA HAYA YOTE NAKUAMINI KATIKA JINA LAKO AMINA.
มุมมอง: 61

วีดีโอ

NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 8 (PRO. THEOPHIL RWEBANGIRA)
มุมมอง 7119 ชั่วโมงที่ผ่านมา
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 8 (PRO. THEOPHIL RWEBANGIRA)
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA (12:16-21) EPS1 75#
มุมมอง 38วันที่ผ่านมา
JIFUNZE NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA KUANZIA SURA YA KWANZA HADI YA MWISHO USIKOSE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. USISAHAU: SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE.USISAHAU KUTEMBELEA FACEBOOK ACCOUNT YETU YOSH TTV. TUMTUKUZE MU …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 7 (PRO. THEOPHIL RWEBANGIRA)
มุมมอง 10714 วันที่ผ่านมา
JIFUNZE NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA KUANZIA SURA YA KWANZA HADI YA MWISHO USIKOSE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. USISAHAU: SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE.USISAHAU KUTEMBELEA FACEBOOK ACCOUNT YETU YOSH TTV. TUMTUKUZE MU …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA EPS (12:13-15) 74#
มุมมอง 6514 วันที่ผ่านมา
JIFUNZE NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA KUANZIA SURA YA KWANZA HADI YA MWISHO USIKOSE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. USISAHAU: SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE.USISAHAU KUTEMBELEA FACEBOOK ACCOUNT YETU YOSH TTV. TUMTUKUZE MU …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 6#
มุมมอง 9921 วันที่ผ่านมา
JIFUNZE NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA KUANZIA SURA YA KWANZA HADI YA MWISHO USIKOSE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. USISAHAU: SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE.USISAHAU KUTEMBELEA FACEBOOK ACCOUNT YETU YOSH TTV. TUMTUKUZE MU …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA EPS 73#
มุมมอง 7421 วันที่ผ่านมา
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 5#
มุมมอง 5628 วันที่ผ่านมา
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 5#
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA YOHANA EPS 29#
มุมมอง 72หลายเดือนก่อน
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA YOHANA EPS 29#
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA EPS 72#
มุมมอง 47หลายเดือนก่อน
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 4#
มุมมอง 96หลายเดือนก่อน
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA YOHANA EPS 28#
มุมมอง 128หลายเดือนก่อน
JIFUNZE NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA KUANZIA SURA YA KWANZA HADI YA MWISHO USIKOSE KUJIFUNZA NENO LA MUNGU. USISAHAU: SUBSCRIBE, COMMENT, SHARE & LIKE.USISAHAU KUTEMBELEA FACEBOOK ACCOUNT YETU YOSH TTV. TUMTUKUZE MUNGU NYAKATI ZOTE
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA EPS 71#
มุมมอง 70หลายเดือนก่อน
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA …
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 3#
มุมมอง 103หลายเดือนก่อน
BWANA YESU NIMELISIKIA NENO LAKO NIMEFAHAMU NA KUKIRI KUWA WEWE NI MKUU JUU YA VYOTE WEWE NDIYE ULIYE TIA MISINGI YA NCHI NA MBUNGU NIKAZI YA MIKONO YAKO SASA NAOMBA UNISAMEHE DHAMBI ZANGU ZOTE UIFUFUE ROHO YANGU ILIYOKUFA NA UNIFANYE NIKUELEKEE WEWE TU FUTA JINA LANGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA MAUTI NA ULIANDIKE KATIKA KITABU CHA UZIMA UWE BWANA NA MWOKOZI WANGU DAIMA NAOMBA HAYA YOTE NAKUAMINI...
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA YOHANA EPS 27#
มุมมอง 150หลายเดือนก่อน
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA YOHANA EPS 27#
NENO LAMUNGU KUTOKA KATIKA LUKA MTAKATIFU (11:42-44) EPS 70#
มุมมอง 78หลายเดือนก่อน
NENO LAMUNGU KUTOKA KATIKA LUKA MTAKATIFU (11:42-44) EPS 70#
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA 11:37-41 EPS 69#
มุมมอง 83หลายเดือนก่อน
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA LUKA 11:37-41 EPS 69#
HISTORIA YA DAUDI MOSES MSENGI
มุมมอง 4.6Kหลายเดือนก่อน
HISTORIA YA DAUDI MOSES MSENGI
MUWAKILISHI WA SALAM ZA RAMBIRAMBI DR LUKIKO KATIKA SEHEMU ALIZO HUDUMU MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI
มุมมอง 412หลายเดือนก่อน
MUWAKILISHI WA SALAM ZA RAMBIRAMBI DR LUKIKO KATIKA SEHEMU ALIZO HUDUMU MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 2# (Theophil Rwebangira)
มุมมอง 77หลายเดือนก่อน
NENO LA MUNGU KUTOKA KATIKA KITABU CHA WAEBRANIA EPS 2# (Theophil Rwebangira)
RAMBIRAMBI ZA KIKUNDI CHA MAOMBI KATIKA MSIBA MZITO ULIO WAFIKIA WANAMAOMBI WA MPENDWA WAO DAUDI MOS
มุมมอง 153หลายเดือนก่อน
RAMBIRAMBI ZA KIKUNDI CHA MAOMBI KATIKA MSIBA MZITO ULIO WAFIKIA WANAMAOMBI WA MPENDWA WAO DAUDI MOS
DAUDI MOSES MSENGI NI SHUJAA MAMA MKUBWA ANAELEZEA JINSI ALIVYO KUWA
มุมมอง 644หลายเดือนก่อน
DAUDI MOSES MSENGI NI SHUJAA MAMA MKUBWA ANAELEZEA JINSI ALIVYO KUWA
BABA WA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI ASEMA MTOTO WAKE AMEENDA KWA YESU
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
BABA WA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI ASEMA MTOTO WAKE AMEENDA KWA YESU
MWILI WA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI UKIWASILI KATESH MKOANI MANYARA
มุมมอง 9K2 หลายเดือนก่อน
MWILI WA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI UKIWASILI KATESH MKOANI MANYARA
VILIO VIMETANDA NYUMBANI WAZAZI KWA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI
มุมมอง 5K2 หลายเดือนก่อน
VILIO VIMETANDA NYUMBANI WAZAZI KWA MAREHEMU DAUDI MOSES MSENGI
WIMBO WA HUZUNI WA CCT MZUMBE WAKIMUIMBIA MPENDWA WETU DAUDI MOSES MSENGI UTATOKWA NA MACHOZI
มุมมอง 2K2 หลายเดือนก่อน
WIMBO WA HUZUNI WA CCT MZUMBE WAKIMUIMBIA MPENDWA WETU DAUDI MOSES MSENGI UTATOKWA NA MACHOZI
YOSH TTV TUSIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA DAUDI MOSES MSENGI MTUMISHI WA MUNGU
มุมมอง 9792 หลายเดือนก่อน
YOSH TTV TUSIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA DAUDI MOSES MSENGI MTUMISHI WA MUNGU
MCHUNGAJI CHARLES MWAIKOLE JINSI ALIVYO MFAHAMU MPENDWA WETU DAUDI MOSES MSENGI KWA MAJONZI MAZITO
มุมมอง 9802 หลายเดือนก่อน
MCHUNGAJI CHARLES MWAIKOLE JINSI ALIVYO MFAHAMU MPENDWA WETU DAUDI MOSES MSENGI KWA MAJONZI MAZITO
NENO LA MUNGU KUTOKA KITABU CHA YOHANA EPS 26#
มุมมอง 6612 หลายเดือนก่อน
NENO LA MUNGU KUTOKA KITABU CHA YOHANA EPS 26#
NENO LAMUNGU KUTOKA KATIKA LUKA MTAKATIFU (11:29-32) EPS 68# (Pastor Enock Mwansele)
มุมมอง 642 หลายเดือนก่อน
NENO LAMUNGU KUTOKA KATIKA LUKA MTAKATIFU (11:29-32) EPS 68# (Pastor Enock Mwansele)

ความคิดเห็น

  • @SHUKURUMGANYIZI
    @SHUKURUMGANYIZI 15 วันที่ผ่านมา

    saf, kumbuka kunisubscribe

  • @yasintamwinuka7150
    @yasintamwinuka7150 26 วันที่ผ่านมา

    Pole sana baba

  • @EleekaOn
    @EleekaOn 27 วันที่ผ่านมา

    Polen sana hapa ni wapi?

  • @agneslucas5104
    @agneslucas5104 หลายเดือนก่อน

    To GOD Be the glory 😢

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    Leo ni mwezi umefikisha mwanangu hatupo nawewe kipenzi changu❤❤

  • @AgnessJoseph-b8t
    @AgnessJoseph-b8t หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    Umetuacha na huzuni kubwa baba😭😭😭😭

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    Kama ndoto mwanangu Daudi ilikuwa ghafla sana umetuacha 😭😭😭😭😭😭😭 hatakunyamaza nimeshindwa mwanangu Daudi ❤

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu Daudi rafiki yangu kipenzi umejuakuniumiza nashindwa kukubali kama haupo kweli jamani uwii

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    Mwanangu Daudi maumivu ulioniachia hakuna mwanadamu anaweza kuniondolea Mungu alokuchukua pekee anaweza 😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤❤❤wangu

  • @marthamsengi2266
    @marthamsengi2266 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭😭😭😭 Bado Naota ndoto mwanangu

  • @neemamwalyagile6570
    @neemamwalyagile6570 หลายเดือนก่อน

    Mungu akupe pumziko la milele mwanangu Daudi mwenye upendo na hekima. Hakika kifo chako kimeniumiza mno lakini kazi ya Mungu haina makosa. Ulale salama Daudi.

  • @francissimon5708
    @francissimon5708 หลายเดือนก่อน

    Barikiwa Sana Baba Mtumishi

  • @EstapeterSanday
    @EstapeterSanday หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka Moses

  • @EstapeterSanday
    @EstapeterSanday หลายเดือนก่อน

    Pole sana kaka Moses

  • @jinnahsameer
    @jinnahsameer หลายเดือนก่อน

    😢😢 nani huyu tena

  • @SaraRaphael-do8zp
    @SaraRaphael-do8zp หลายเดือนก่อน

    Pole san baba mungu akutie nguvu

  • @Pixxmoleli
    @Pixxmoleli หลายเดือนก่อน

    Mungu husika

  • @nicolausmufuruki7314
    @nicolausmufuruki7314 หลายเดือนก่อน

    Pumzika kwa amani

  • @neemaminja286
    @neemaminja286 หลายเดือนก่อน

    Heri wafu wafao ktk BWANA, ikawe furaha Mbinguni kwa malaika kwa kukupokea wewe,,,tukutane asubuhi iliyo njema David,🤲🧎

  • @neemaminja286
    @neemaminja286 หลายเดือนก่อน

    Mwenyezi Mungu azikumbuke sadaka zake za Hali na Mali ampokee na kumpumzisha milele Mbinguni

  • @neemaminja286
    @neemaminja286 หลายเดือนก่อน

    Poleni Sana Kaka, Mungu muweza wa yote awafariji kwa faraja kuu

  • @RehemaHilali
    @RehemaHilali หลายเดือนก่อน

    Mungu ndio kila kitu tumuombee mtoto wetu

  • @Madamsylvianyamanda
    @Madamsylvianyamanda หลายเดือนก่อน

    Amen baba🔥

  • @FelistaNdile
    @FelistaNdile หลายเดือนก่อน

    Amen, atakumbukwa daima.

  • @SleepyOutdoors-zm2ys
    @SleepyOutdoors-zm2ys หลายเดือนก่อน

    Pumzika Kwa amani

  • @SleepyOutdoors-zm2ys
    @SleepyOutdoors-zm2ys หลายเดือนก่อน

    Ni huzuni sana jamani 😭😭😭

  • @henrychikafa2814
    @henrychikafa2814 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @NeemaKiria-wz5gh
    @NeemaKiria-wz5gh หลายเดือนก่อน

    Jaman Mungu awatie Nguvu

  • @amanifanuel9525
    @amanifanuel9525 หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭 R.I.P Daud

  • @Shalom803
    @Shalom803 หลายเดือนก่อน

    Gone too soon😢

  • @rosenoah7347
    @rosenoah7347 หลายเดือนก่อน

    Mchungaji poleni sana kwa msiba huu mzito 😭😭😭

  • @rosenoah7347
    @rosenoah7347 หลายเดือนก่อน

    😢😭😭😭😭😭 LORD 😭😭😭😭 What happened jamani?

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Too young to die😢😢

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 หลายเดือนก่อน

    Inasikitisha😢sana

  • @FroliantresphoryKamgisha
    @FroliantresphoryKamgisha หลายเดือนก่อน

    Jaman Mungu akulaze salama mwendo umeumaliza

  • @happyiskaka
    @happyiskaka หลายเดือนก่อน

    😭😭😭😭😭 Bado wewe ni MUNGU

  • @paschalinahharis9604
    @paschalinahharis9604 หลายเดือนก่อน

    Pole shemeji yangu Mungu awatie nguvu na familia! R.I.P. my son David

  • @fridathomz4248
    @fridathomz4248 2 หลายเดือนก่อน

    Shujaa na zaidi ya shujaaa mama.. tunajivunia sana kaka yetu. Katuongoza na kutufundisha vyema. 🙏

  • @annashao2920
    @annashao2920 2 หลายเดือนก่อน

    Baba usisikitike kwa nini Daudi amekufa kwa njia hiyo, suala sio aina ya kifo ni anakokwenda ndio hasa kwa muhimu. Hata mitume na mashaidi wa Yesu Kristo wa zamani walikufa vifo vya kikatili sana lakini wote wako na Yesu Kristo mbinguni

  • @suzaneliassimkwayi5817
    @suzaneliassimkwayi5817 2 หลายเดือนก่อน

    Rest easy my BF! 🙏🏾🕊️

  • @nyemomamba
    @nyemomamba 2 หลายเดือนก่อน

    Amen amen 🙏

  • @merrynyagawa8507
    @merrynyagawa8507 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu anabaki kuwa Mungu 🙏🙏🙏 Rest easy brother Daudi

  • @florahelly945
    @florahelly945 2 หลายเดือนก่อน

    Forever in our hearts ♥️ 🕊️

  • @saralsamwel353
    @saralsamwel353 2 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @JescaChaula-k7z
    @JescaChaula-k7z 2 หลายเดือนก่อน

    Daudi moses kaka yetu yupoo mikono salamaa lakini kuondoka kwake mapema ni kovu kubwa sanaa

  • @setasanga
    @setasanga 2 หลายเดือนก่อน

    Mungu amlaze pema peponi kipenzi chetu daudi

  • @davidchristina-u4o
    @davidchristina-u4o 2 หลายเดือนก่อน

    Rest in peace David

  • @stellarogath1876
    @stellarogath1876 2 หลายเดือนก่อน

    Umejua kutuumiza😢😢 pumzika kwa Amani Mtumishi wa Mungu.

  • @henrychikafa2814
    @henrychikafa2814 2 หลายเดือนก่อน

    Rest well brother