AIC Milimani Mabalozi Choir
AIC Milimani Mabalozi Choir
  • 7
  • 41 737

วีดีโอ

Atajibu Tena | AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 7K2 หลายเดือนก่อน
"Wokovu unapatikana kwake tu; kwa maana hakuna jina jingine duniani ambalo wamepewa wanadamu kuwaokoa ila jina la Yesu, na ni kwa jina hilo peke yake tunaweza kuokolewa!" Matendo Ya Mitume 4:12 Tumepewa jina la Yesu Kristo, jina lililo juu ya majina yote, tulikiri na tuliite na hakika tutajibiwa. Mwamini Mungu leo kwamba ana jibu la maswali yako yawe ya maisha yako binafsi, ya kifamilia, ya kik...
Nitakushukuru Bwana| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 3.4K4 หลายเดือนก่อน
Tuseme nini kwa Mungu Baba Mwenyezi kwa wema wake, fadhili zake, upendo na ukarimu wake ulio mkuu, ila tumshukuru kwa mioyo yetu na matendo yetu. Barikiwa unaposkiza maandiko matakatifu ya Zaburi hii ya Daudi. Zaburi 9:1-6 "Nitamshukuru Bwana kwa moyo wangu wote; Nitayasimulia matendo yako yote ya ajabu; Nitafurahi na kukushangilia Wewe; Nitaliimbia jina lako, Wewe Uliye juu. Kwa sababu adui za...
Ee Mungu| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 8K5 หลายเดือนก่อน
Wimbo huu, ambao ndio wimbo mkuu wa albamu hii, unatuelekeza katika kulisifu na kuliinua jina la Mungu wetu aliye mkuu. Hakika wimbo huu unanukuu maandiko matakatifu ya Bibilia, maana ndio kielelezo cha imani yetu, kwenye kitabu cha Zaburi 19:1-2. Ungana nasi katika wimbo na kudensi tukikiri ukuu na uaminifu wa Mungu baba Mwenyezi Zaburi 19:1-2 "Mbingu zauhubiri utukufu wa Mungu, Na anga laitan...
Tazameni| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 16K6 หลายเดือนก่อน
Tazameni ni wimbo unaotokana na maandiko matakatifu ya Bibilia kwenye kitabu cha Isaya 40:10-11. Ni maombi na tamanio letu kwamba kupitia maneno ya wimbo huu tutaokolewa, tubarikiwe na tuhimizwe katika wokovu. "Tazameni, Bwana Mungu atakuja kama shujaa, Na mkono wake ndio utakaomtawalia; Tazameni, thawabu yake i pamoja naye, Na ijara yake i mbele zake. 11 Atalilisha kundi lake kama mchungaji, A...
Album Launch| Eeh Mungu Wangu| AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 1.1K6 หลายเดือนก่อน
Amakweli tuseme nini bali tumshukuru Bwana kwa wema wake na baraka na neema ambazo ametukirimia katika safari hii. AIC Milimani Mabalozi Choir inawakaribisheni rasmi katika uzinduzi wa kanda yetu, almaarufu, Eh Mungu Wangu, katika kanisa la AIC Milimani Nairobi KE, Jumapili hii ya tarehe 7 Julai. Ungana nasi katika ibada zote mbili tunaposimama kusherekea ushindi huu, baraka! Sauti: Tina Ogal M...
Tazameni (Teaser) | AIC Milimani Nairobi KE - Mabalozi Choir
มุมมอง 1.7K6 หลายเดือนก่อน
We are grateful to the Lord Most High through who's grace, provision and enablement. He has allowed us to walk the journey towards this upcoming new album. This and much more is coming soon to screens near you, continue to walk and pray with us towards this noble endeavour. #MabaloziChoir #AICMilimaniNairobiKE #Empoweredforgrowth

ความคิดเห็น

  • @robertkaoka4473
    @robertkaoka4473 วันที่ผ่านมา

    Wonderful combination of the vocals surely well balanced keep up can't tire to listen Instruments very well audible

  • @roselynengetich97
    @roselynengetich97 5 วันที่ผ่านมา

    Good work Mabalozi

  • @JamesKithekaJimmy
    @JamesKithekaJimmy 6 วันที่ผ่านมา

    Glory be to God.

  • @meshackmwanzia3751
    @meshackmwanzia3751 7 วันที่ผ่านมา

    Glory be to God. Kazi Safi.!!

  • @charlesmudoss
    @charlesmudoss 7 วันที่ผ่านมา

    Nice

  • @silanzuki8627
    @silanzuki8627 11 วันที่ผ่านมา

    So pleasant i this now choir melody and massage

  • @JoyMusau-l8s
    @JoyMusau-l8s หลายเดือนก่อน

    🎉Good job

  • @makaupixels
    @makaupixels 2 หลายเดือนก่อน

    this is amazing work.

  • @ericmwendwa6889
    @ericmwendwa6889 2 หลายเดือนก่อน

    We have just started the journey to greatness 🎉🎉

  • @fredmunyao5447
    @fredmunyao5447 2 หลายเดือนก่อน

    Music on another level

  • @stevesumbi3736
    @stevesumbi3736 2 หลายเดือนก่อน

    Praise be to the Almighty God for the good work you are doing.Go bless you as you bless others through this ministry.

  • @jerrysonjulius7106
    @jerrysonjulius7106 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi nzuri xn utukufu kwa Mungu wetu

  • @brianmugoya3654
    @brianmugoya3654 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤❤❤❤

  • @JohnKyalojunior
    @JohnKyalojunior 2 หลายเดือนก่อน

    Congratulatins mabalozi,keep the fire burning.

  • @faithVictoryofficial
    @faithVictoryofficial 2 หลายเดือนก่อน

    Such a beautiful song❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 To God be all the glory

  • @HOSEANZIKU-bs6ni
    @HOSEANZIKU-bs6ni 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @larbankasingu7902
    @larbankasingu7902 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi safi ...kwa utukufu wa Mungu

  • @patspraise3599
    @patspraise3599 2 หลายเดือนก่อน

    Beautiful Music. The Soloist really nice voice. Blessings ya'll 🙌

  • @JamesKithekaJimmy
    @JamesKithekaJimmy 2 หลายเดือนก่อน

    Good work Mabalozi Choir for the song, God bless you.

  • @levenjael
    @levenjael 2 หลายเดือนก่อน

    Favorite song😊

  • @levenjael
    @levenjael 2 หลายเดือนก่อน

    Amen

  • @paulinetundu6346
    @paulinetundu6346 2 หลายเดือนก่อน

    Nice music. Mungu azidi kuwatumia

  • @Arielmuuo-u2m
    @Arielmuuo-u2m 2 หลายเดือนก่อน

    Wow ,Glory to God🙏🙏🙏

  • @richyblaice
    @richyblaice 2 หลายเดือนก่อน

    One of the favourite in the album😊 Just keep praying,God listens and answers prayers🙏

  • @abrahamchebet26679
    @abrahamchebet26679 2 หลายเดือนก่อน

    Inspiring

  • @BenjaminKyele
    @BenjaminKyele 2 หลายเดือนก่อน

    Kazi njema kabisa ❤.Mungu azidi na kuwainua kiwango kimoja hadi kingine.

  • @BenjaminKyele
    @BenjaminKyele 2 หลายเดือนก่อน

    Kudos .❤

  • @bentabitha3930
    @bentabitha3930 2 หลายเดือนก่อน

    A very nice song nicely done.....

  • @josephinekamene
    @josephinekamene 2 หลายเดือนก่อน

    Waau😂God is great

  • @irenechemtai5038
    @irenechemtai5038 2 หลายเดือนก่อน

    🎉🎉

  • @mangolifierarts8960
    @mangolifierarts8960 2 หลายเดือนก่อน

    Eeiiiy! What a fantastic praise. We're blessed❤️

  • @CollinsMbithi
    @CollinsMbithi 2 หลายเดือนก่อน

    🎉maswali yaako Mwamiini Mungu🫡 Good music amazing 😊

  • @stephenmwilu2503
    @stephenmwilu2503 2 หลายเดือนก่อน

    Yes, God'll answer at the right time🙏

  • @chepkemoiwinnie8064
    @chepkemoiwinnie8064 2 หลายเดือนก่อน

    What a great assurance that God will do again ❤

  • @elizangeke4172
    @elizangeke4172 2 หลายเดือนก่อน

    Praises unto Him ,,, His answer is yes and Amen

  • @TabithaChirchir
    @TabithaChirchir 2 หลายเดือนก่อน

    🥳🥳🥳🥳

  • @carolchepkoech6693
    @carolchepkoech6693 2 หลายเดือนก่อน

    God for sure answers prayers, Glory be to the Lord almighty!!

  • @Trevillahmunyui
    @Trevillahmunyui 2 หลายเดือนก่อน

    ❤❤❤

  • @meshackmwanzia3751
    @meshackmwanzia3751 2 หลายเดือนก่อน

    Glory be to God!!

  • @PhineasBaariu
    @PhineasBaariu 3 หลายเดือนก่อน

    Powerful👍👍

  • @markjunior5855
    @markjunior5855 3 หลายเดือนก่อน

    Super good

  • @balatoukaren271
    @balatoukaren271 4 หลายเดือนก่อน

    I Bless the LORD for you guys❤❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @dr.davidtarus8269
    @dr.davidtarus8269 4 หลายเดือนก่อน

    Mabalozi, thank you for blessing us with beautiful music. So encouraging!

  • @danielmakau7255
    @danielmakau7255 4 หลายเดือนก่อน

    We thank God for his faithfulness

  • @sharonchelangat4941
    @sharonchelangat4941 4 หลายเดือนก่อน

    Ameeen

  • @richyblaice
    @richyblaice 4 หลายเดือนก่อน

    "Kwa maaana umenifanyia hukumu ya haki"the annointed ones💥 Be blessed team!!

  • @levenjael
    @levenjael 4 หลายเดือนก่อน

    🙏🙌

  • @irenekoech7338
    @irenekoech7338 4 หลายเดือนก่อน

    Congratulations mabalozi choir,, glory to God

  • @JohnKyalojunior
    @JohnKyalojunior 4 หลายเดือนก่อน

    Wow Mabalozi kwaya hii ni moto sana be blessed🎉❤

  • @joymutanu4082
    @joymutanu4082 4 หลายเดือนก่อน

    Wow, congratulations AIC Milimani Nrb Mabalozi choir. Glory be to God 💪