![Al Hijra Video Production](/img/default-banner.jpg)
- 69
- 764 367
Al Hijra Video Production
เข้าร่วมเมื่อ 1 ส.ค. 2016
UNAWAJUA WALIOMNUSURU MTUME MUHAMMAD (S.A.W) ?
Sh Othman Maalim akitupa SIRA ya Mtume Muhammad (S.A.W), unawajua waliomnusuru mtume ? basi upo sehemu sahihi ya kuwajua kina nani.
Cameraman kutoka Al Hijra Video Production ni Nabil Ally ( Prince Liban )
Usisahau ku subscribe ku like na ku share
Cameraman kutoka Al Hijra Video Production ni Nabil Ally ( Prince Liban )
Usisahau ku subscribe ku like na ku share
มุมมอง: 585
วีดีโอ
IJUE TAASISI MPYA YA RAUDHWA FOR HAJJ AND UMRAH
มุมมอง 1353 หลายเดือนก่อน
Angalia uzinduzi wa taasisi mpya yenye wazoefu katika kupeleka waislamu katika ibada ya Hijjah uliofanyika Masjid Noor Muhammad (S.A.W) - Kwa Mchina Mwanzo. Cameraman Kutoka Al Hijra Video Production ni Nabil Ally (Prince Liban)
KWANINI TUNAKUWA KATIKA HALI MOJA TU ?
มุมมอง 1266 หลายเดือนก่อน
Tunahitajika kubadilika waislamu na sio tu kubadilika kwa mwaka wa kiislamu, kila mwaka tunahitajika kubalika na kujitafakari pia. Cameraman kutoka Al Hijra Video Production ni Nabil (Prince Liban) usisahau ku Subscribe, like katika TH-cam yetu
ULIMI
มุมมอง 4169 หลายเดือนก่อน
Sh Othman Maalim akitupa tahadhari ya ulimi, kutosema kila kitu kabla kuchambua unachotaka kusema na wakati gani unasema Cameraman kutoka Al Hijra Video Production ni Nabil Ally ( Prince Liban ) Usisahau ku subscribe ku like na ku share
MATUKIO YALIOTOKEA KIPINDI CHA RAMADHAN
มุมมอง 715ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia MATUKIO KIPINDI CHA RAMADHAN , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina matukio mbalimbali yaliotokea kipindi hicho . Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe na ku comment
TUFANYE WEMA MLIPAJI YUPO
มุมมอง 5K2 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia KUFANYA WEMA , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina nini tunatakiwa kufanya pasi na kuangalia unaongeleaje na watu bali wewe endelea kufanya wema kwani mlipaji yupo . Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe na ku comment
TUNAPASWA KUWA NA ADABU TUNAPOWAZUNGUMZIKA MAULAMAA WAKUBWA
มุมมอง 9292 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia IKHTILAF , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kuwa inapotokea ikhtilaf na kutowakosea adabu maulamaa wakubwa . Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe na ku comment
NINI TUNATAKIWA KUFANYA ILI TUPATE MSAMAHA WA ALLAH KWA WIKI NZIMA ?
มุมมอง 2.8K2 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia MSAMAHA WA ALLAH , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kufanya ili kupata msamaha kwa wiki nzima bila sisi wenyewe kujua. Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe na ku comment
MIONGONI MWA MADHAMBI MAKUBWA NI UWONGO
มุมมอง 41K3 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa mada inayozungumzia uwongo , Mada hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kuwa wa kweli na madhara ya kusema uwongo. Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe
UKITAKA KUSHUKURU MTAZAME ALIYE CHINI YAKO
มุมมอง 72K3 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa mada inayozungumzia kushukuru , Mada hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kushukuru kwa neema tunazopewa kwa kuangalia walio chini yetu. Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe
MUISLAMU WA KWELI
มุมมอง 2.7K3 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia Muislamu wa kweli , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kuwa waislamu wa kweli. Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe
KITUNZE KIPAJI CHAKO
มุมมอง 3.3K3 ปีที่แล้ว
Sh Othman Maalim akitoa khutba inayozungumzia kipaji chako , Khutba hii aliitoa Masjid Nour Muhammad akituelezea kwa kina vipi tunatakiwa kukitunza kipaji. Cameraman kutoka Al Hijra Video production ambae ni Nabil Ally (Prince Liban). Usisahau ku subscribe
KISA CHA NABII MUSSA (A.S) - PART THREE
มุมมอง 51K3 ปีที่แล้ว
KISA CHA NABII MUSSA (A.S) - PART THREE